unamsingizia mie nina wifi mmoja tu,hao wengine wanajigonga wenyewe........mtake radhi tafadhariHalafu hivi huyo kaka yako mbona muhuni sana?
Yan kila mwanamke humu ndani ni wake nahisi alobaki ni wewe tu dada yake...je ana matatizo gani?
Namuona mara yuko na Mrembo by Nature mara ladyfurahia mara nanii mara yule lol
Mwambie atazeeka meeen!
We kwani chako au umehifadhi tuKwani chako?
Hahahaaaa huyu jamaa ni mtoto eti na kamwe sifuti kauli yangu coz hata dada yake beibe nasty anajua haya!unamsingizia mie nina wifi mmoja tu,hao wengine wanajigonga wenyewe........mtake radhi tafadhari
Nenda ukaeruzi na kudadisi yanayojiri chini ya pichuz kwikwikwiii
Ila usiende mwaya hadi utakapopata pa kujisitiri sawa mtoto mzuri eeeh
Hahahaaaa huyu jamaa ni mtoto eti na kamwe sifuti kauli yangu coz hata dada yake beibe nasty anajua haya!
Halafu hivi huyo kaka yako mbona muhuni sana?
Yan kila mwanamke humu ndani ni wake nahisi alobaki ni wewe tu dada yake...je ana matatizo gani?
Namuona mara yuko na Mrembo by Nature mara ladyfurahia mara nanii mara yule lol
Mwambie atazeeka meeen!
Iga mfano wangu please.
Nakumbuka siku niliyoenda lol nilikutana na watu wanamaneno wewe teh
Utadhani keyboards zinajitype zenyewe hahaaaa
Khaaaa
Yan huwa naimagine wakiwa nyumbani mwao wanakuwaje?
Utakuta wengine wapoleeeeee hahahaaa
Chezea keyboard na jina fake?
Hahahahaa mbona unalalamika alikuahidi full Network Coverage ila ukaishia No Network Connection na ushaagiza chipusi?:embarassed2:
Hahahahaaa ana Swaga kijana...so nawewe ukaingia mzimamzima?Kabla ya mtoko wa juzi tulishatoka kimya kimya weee ilikuwa bab kubwa, ila aliniboa tu kujisifia eti baba yake ni trilionea hapa, sijui tunaenda dubai na mengine mengi kibao. Ila sina uhakika kama hyo trip ya dubai itakuwepo tena kwa haya yaalotokea juzzi
Hahahahaaa ana Swaga kijana...so nawewe ukaingia mzimamzima?