Get Well Soon Kipipi

aaah wapi najua una kafoleni kakisimama kanaanzia mbagala hadi kimara stop over

Usidanganywe na watu, ukiskia Mr. Clean ndo mimi, sina kashfa yoyote zaidi ya kumdhulumu konda nauli maramoja tu...
 
Usidanganywe na watu, ukiskia Mr. Clean ndo mimi, sina kashfa yoyote zaidi ya kumdhulumu konda nauli maramoja tu...

hahahahaha mdhulumaji nae anajiita mr clean........ngoja nikusanye data zako kwanza...........afu mwenyekiti kujiliza liza hapa huoni aibu cc Nicas Mtei mwenyekiti ananitaka kimahusiano.......
 
Last edited by a moderator:
Aaah wapi
Kifanyio chake kimekidhi viwango kama cha Erickb52?
Yani hapa hunitoi ng'ooo

nakutumia picha PM ukithaminishe...kitu mpingo kinakamata stesheni zote...ukikipata hakika hutajuta
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwani kuna nini kati yenu?
Mbona hizi moves sizielewi elewi..!! Erickb52 em njoo huku unipe maelezo maana mara kifanyio mara sijui vipi...uje unambie unataka nini hasa
Hakuna lolote mke wangu
Tunasogoa tu na hawa jamaa zangu ingawa Paloma ananimendea
 
Last edited by a moderator:
Kwani napaswa kukufanya sasa hivi au baadae?
Paloma kuwa na subira mama sasa hivi Chocs yupo na anatufuatilia kwa karibu sana
Mwenzio alinyofolewa kucha
Wewe utanyofolewa nanii...
Nshakwambia achana na wake za watu husikii
Kweli sikio la kufa.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…