unatafuta kufia kwenye kidonda au unataka kutufungisha ndoa ya mkeka na mtu.......
mi mwenyewe nimemshtukia ila nataka nipate uhakika kabisa kama hisia zangu ni sahihi au lah
Usimsikie huyo njegele...
Ohoo.... we mwana we..! utakuja simulia hapa...
wivu tu unakusumbua,kisa hujakaribishwa ww...........................hivi Erickb52 huyu mzee alikuwa koloni la nani.........si unajua wanawakeni jeshi kubwa tumuandalie mtego.
Mbona unaanza kuharibu sala wewe.... tulia bhana...
sihitaji kuchanwa viwembe wakati sura yenewe hailipi bora umtaje mapeeeema kabla sijamwaga mboga.