Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
​tena wakaangukie njia pandaYaani washindwe, walegee, watapetape waanguke!!!!!!!!!!!
​tena wakaangukie njia pandaYaani washindwe, walegee, watapetape waanguke!!!!!!!!!!!
Shem, it is serious I am sick, very sick.
Lady doctor huo mtindo wa kujifunika wewe mablanket yote ufe si unaona sasa.
​tena wakaangukie njia panda
tena ya clocktower mchana kweupeee
AMINA!!
nisamehe bure mpenzi, maana nilichanganyikiwa ujue nikawa natiririka tu.