*get well soon arushaone*

*get well soon arushaone*

heeeeee.........ana alimonia!!! tafadhali zingatia sana matibabu
Lady doctor mbona hujanitaja? haya uguza pole mamito na mungu akupe nguvu na subira katika kumuuguza mpenzio. Arushaone tunza sana afya yako na get well soon!

cc cocolico .............haaa sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Arushaone
Nakuombea kwa Mungu upone haraka...Mungu ni mwema kila wakati atakurejeshea afya yako as soon as possible.
Get well soon mkuu!
 
Last edited by a moderator:
heeeeee.........ana alimonia!!! tafadhali zingatia sana matibabu
Lady doctor mbona hujanitaja? haya uguza pole mamito na mungu akupe nguvu na subira katika kumuuguza mpenzio. Arushaone tunza sana afya yako na get well soon!

cc cocolico .............haaa sosoliso

AMINA!!
nisamehe bure mpenzi, maana nilichanganyikiwa ujue nikawa natiririka tu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom