Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
ladydoctor bado upo kanisani?Ukitoka basi njoo utuambie huyo mgonjwa Arushaone anaendeleaje!
mmepona jameni vp updates
Mh nina shaka maana huyo mgonjwa anavyopenda kumdukua nesi wake.. sidhani kama nafuu itapatikana..
sasa akimdukua hatapona kifua kitabana tena namuombea sana
ladydoctor bado upo kanisani?Ukitoka basi njoo utuambie huyo mgonjwa Arushaone anaendeleaje!
Asante Lady doctor,mbarikiwe
Mkuu Arushaone
Mambo ya mchina keyboard mgogoro!
Usijali mkuu, mchina kawashika pabaya sana hata hiyo nchi ulipo (siitaji) najua wanapasua kichwa kujiuliza why walizembea sana kuwekeza kwenye bara la Africa..
BTW naendelea vizuri sasa, nitamuona daktari next Friday.