*get well soon arushaone*

*get well soon arushaone*

Baba V alileta mapenzi tokea tangu na tangu,yashanipiga sasa sina budi nielewe,siwezi kung'ang'ania wala sio fungu langu,japo ni shida ila nitabaki mwenyewe,ila mpe shukrani kwa kuniumiza Madame B MWAMBIE MI BADO MUTOTO NAUMIZA KIDONDA CHANGU,Namkumbuka baby Nasema kutwa nzima moyo unanidundadunda,ninasaga rhumba,mkimuona mkimuona Baba V Madame B , Nasema
pole sana Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Arushaone,,,,, Nakuombea upone haraka.... tuko pamoja Lady docta nakuombea nawe pia usichoke kumhudumia mgonjwa!.
 
Last edited by a moderator:
Baba V alileta mapenzi tokea tangu na tangu,yashanipiga sasa sina budi nielewe,siwezi kung'ang'ania wala sio fungu langu,japo ni shida ila nitabaki mwenyewe,ila mpe shukrani kwa kuniumiza Madame B MWAMBIE MI BADO MUTOTO NAUMIZA KIDONDA CHANGU,Namkumbuka baby Nasema kutwa nzima moyo unanidundadunda,ninasaga rhumba,mkimuona mkimuona Baba V Madame B , Nasema
pole sana Arushaone

hii singo yakusifu ama ya kuabudu Chimbuvu?
 
Last edited by a moderator:
Kweli jioni hii najihisi niko poa ila kila usiku ndio nasikia maumivu sanasana ndani ya kwapa la kulia na ni kama vichomi vikali sana. Ahsante kwa sana kwa kujali KOKU.
Arushaone hebu kunywa vitunguu swaumu nilibanwa vichomi usiku mmoja ilinipa nafuu sana
 
Last edited by a moderator:
You are always welcome Arushaone.....unaendeleaje kwa sasa?

Kweli jioni hii najihisi niko poa ila kila usiku ndio nasikia maumivu sanasana ndani ya kwapa la kulia na ni kama vichomi vikali sana. Ahsante kwa sana kwa kujali KOKU.
 
Kweli jioni hii najihisi niko poa ila kila usiku ndio nasikia maumivu sanasana ndani ya kwapa la kulia na ni kama vichomi vikali sana. Ahsante kwa sana kwa kujali KOKU.

Pole sana, ukiangalia dawa unazotumia zinasaidia? Au km huoni nafuu kwa nini usirudi hospitali wakapiga hata x ray au wakakubadilishia dawa?
 
Baba V alileta mapenzi tokea tangu na tangu,yashanipiga sasa sina budi nielewe,siwezi kung'ang'ania wala sio fungu langu,japo ni shida ila nitabaki mwenyewe,ila mpe shukrani kwa kuniumiza Madame B MWAMBIE MI BADO MUTOTO NAUMIZA KIDONDA CHANGU,Namkumbuka baby Nasema kutwa nzima moyo unanidundadunda,ninasaga rhumba,mkimuona mkimuona Baba V Madame B , Nasema
pole sana Arushaone

Papaa Chimbuvu, nashukuru sana!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana, ukiangalia dawa unazotumia zinasaidia? Au km huoni nafuu kwa nini usirudi hospitali wakapiga hata x ray au wakakubadilishia dawa?

Nilikwenda Seliani Hospital leo, baada ya vipimo wameniambia nimalize dose hii kwanza then ndio niende tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom