Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
- Thread starter
- #41
Non senseNiko Mbeya leo nimetoka Mikumi.
Nimepanda coaster zilizokodiwa na mashabiki wa Yanga na Simba.
Zinarudisha mashabiki hao Irnga na Mbeya.
Yaani watu wamepagawa kwa ushabiki, hiyo hali ngumu unayoisema ni yako wewe.
Kumbuka hawa ni watu wa kawaida tu wamechangishana mpk wamekodi mabasi kwa starehe zao tu.
Sasa ww endelea kuomboleza Msiba wenu tahamaki umezeeka kwa chuki zako