GE2025 George SimbaChawene can be the best PM if appointed

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mbukoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
523
Reaction score
553
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
 
Alishatatua tatizo gani??
 
Kila mtu anajipigia promo kwa aina yake.
 
Utadhani ni wewe unayejipigia promo! Nafasi ile inamtaka mfano wa Kassimu! Mkali asiye na mchezo na watumishi wazembe! Mwenye uwezo wa kufuatilia miradi na kuwawajibisha wanaokwamisha miradi.
 
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Sijasoma thread yote lakini kwankichwa tu cha habari, nakubaliana na wewe 100%
 
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Labda awe PM wa mabasi ya champion
 
Waziri mkuu ndiye mtendaji na mratibu wa shughuli zote za serikali, PM ajaye anaweza kuwa DMB
 
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;

1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana uhimilivu wa hoja kinzani.
3. Ana uwezo na utayari wa mijadala hasa kwenye hoja ngumu za kitaifa.
4. Nafikiri ni mcha Mungu.
5. Ni mnyenyekevu katika matamshi yake. (Sisi watanzania wa kawaida tusingependa kugombezwa ovyo na kutwezwa utu wetu).
5. Nafikiri mtajwa ni mzalendo.
6. Ninamtakia mafanikio.
Mbukoi Mbokom.
Je ataruhusiwa kuingia na pombe ofisini? Kama hivyo itakuwa sawa
 
Back
Top Bottom