DuhhFuraha ya dunia
Yaah al sahaf alikuwa wakati wa bush mdogo sawa kabisa kurekebisha hiliScud ni Vita ya Bush Sr na Al Sahaf ni Vita ya Bush Jr
Must be in hell fire forever, Killed millions of innocent people.....Unampangia pa kwenda? Je ukimkuta anapiga mvinyo na malaika si utapigwa butwaa? Yaani ulimchukia kwa "kumdunda" yule muhuni Saddam?
Waarabu wapi watashangilia? Kuwait ilipovamiwa na Iraq unajua kwamba Syria, Saud Arabia walikuwa upande gani? .Vitu vingine muwe manafikir kabla ya kuongea. Shujaa ameondoka, RIp na dunia itamuenziBush Sr alianzisha mchakato Wa kupiga Iraq na baadae mtoto akaja kumalizia. Hii imesababisha nchi nyingi za kiarabu kutokalika. Kufa kwa nguli huyu Wa vita itawafanya waarabu washangilie!?
Mueleze maneno haya na stone tangawizi atambue Kuna kufa, asijisahauAlijua ataishi milele mungu amuhukumu kwa yale yake aliyoyatenda!
He was willing to compromise in matters of war and government. It left a bad taste in people’s mouths, but he built a solid coalition to contain Iraq, and his taxes on the rich helped close the budget deficit.
Cc to Steve NyerereAliekuwa Rais wa Marekani kipindi cha mabomu ya Scud afariki Dunia.
=====
Rais Mstaafu George Bush Sr afariki dunia Ijumaa jioni kama ilivyotangazwa na mwanae George W Bush kwa niaba ya familia.
Bush alikuwa Rais wa 41 wa Marekani kati ya mwaka 1989 na 1993 baada ya kuwa makamu wa Rais wa Ronald Reagan kwa mihula miwili.
Mwezi April alilazwa chumba cha wagonjwa mahututi akiwa na maambukizi kwenye damu, ikiwa ni wiki baada ya kifo cha mkewe Barbara.
Mijitu inasema eti alidhanu ataishi milele... Kivipi? Kuipiga Iraq? Yeye alikuwa anasimamia maslahi ya nchi yake. Na kweli Marekani ni ever strong. Huko kuishi milele ni yako tu...By the way, ukifika umri wa miaka 94 hata maisha yanakuwa hayana maana tena. Yaani hapa ameishi na kupitiliza. Angefariki akiwa na 60 au70 hapo labda sala yako ingekuwa na maana. Lakini 94....? Unasema alifikiri ataishi milele? Mbona hiyo miaka ni kama milele? Kama yote yaani...? Wewe mwenyewe hata 60 hutoboi!
By the way again, Magu naye anafanya mambo km vile atakuwa rais milele. Haamini kuna siku atajikuta naye behind bars?
Ha ha ha,Duuuuuuh noma kweli M.A.P Bush Snr Nakumbuka Sana Mabomu ya SCUD (SAID SWEDI)
Aliyefariki George H.W.Bush siyo mwanae George W.Bush rais wa 43 wa Marekani.Nitamkumbuka kwa Operation DESRT STORM!
Enzi zile akitaka kumng'oa Sadam Hussein
Wewe wa juzi kumbe, Baba ndo alianzisha vita mwaka 1993. Aliingilia mgogoro wa Iraq na Kuwait. Kipindi hicho nakumbuka nilikuwa namuuliza maswali mengi sana baba yangu. Kuhusu mabomu ya Scud na Nyukilia.