George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

Wa Iraq siyo huyo aliyefariki nibaba yake ndiye Wa vita vya squad mtoto yupo ndiye alipiga Iraq
Wewe wa juzi kumbe, Baba ndo alianzisha vita mwaka 1993. Aliingilia mgogoro wa Iraq na Kuwait. Kipindi hicho nakumbuka nilikuwa namuuliza maswali mengi sana baba yangu. Kuhusu mabomu ya Scud na Nyukilia.
 
Huyu ndio aliewashindwa kina Saddam Hussein mpaka akaamua kumuuzia kesi mwanae ndio aka deal nao?
 
Raisi wa 41 wa Marekani George W. H Bush ameaga dunia

George H.W. Bush, the 41st president of the United States and the father of the 43rd, was a steadfast force on the international stage for decades, from his stint as an envoy to Beijing to his eight years as vice president and his one term as commander in chief from 1989 to 1993.

The last veteran of World War II to serve as president, he was a consummate public servant and a statesman who helped guide the nation and the world out of a four-decade Cold War that had carried the threat of nuclear annihilatio.

Sourse: The Washington Post
Umeandika george w. H bush then chini umeandika george h. W. Bush ivi wajua hao ni watu wawili tofauti?
 
Wote baba na mtoto waliipiga Iraq alianza baba akaja kumalizia mtoto.
Safi sana, Baba ndo aliyeianzisha hiyo vita mbaya iliyoifanya Iraq kuwa kama ilivyo Leo mpaka kuzalisha kina Islamic states, ugaidi.
 
[emoji5][emoji3][emoji2]
Screenshot_2018-12-01-08-39-38-1.jpeg
 
Pole sana kwa wote walioguswa na msiba huu.... Ni Bush aliyebadili kabisa ramani ya US na kuharibu nchi za waabaru ambao nadhani sasa wamefurahi na sidhani kama watampa pole Bush Jr.
 
Back
Top Bottom