George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

It was 1991 by that time nilikuwa JKT, nakumbumbuka scad zingine zilikuwa zinaelekezwa Israel, Ila Israel ilitengeneza anti scud ikawa inaya divert kwenda palestina sijui kama ilikuwa kweli.
Mimi nakumbuka tu waliposema litapigwa bomu la Nyukilia eti dunia nzima tutapotea. Nilikuwa sielewi sielewi. Ila Scud za Saddam zilitisha. Kusema ukweli Saddam Hussein aliresist vizuri ile vita.
 
Niliwahi sema humu:

World is fair only once you or someone else is dead and never otherwise.

Leo umelimwengu umekuwa fair kwani hata majabali,kama ilivyo kwa wanyonge,nao wameonja mauti.
 
Wewe wa juzi kumbe, Baba ndo alianzisha vita mwaka 1993. Aliingilia mgogoro wa Iraq na Kuwait. Kipindi hicho nakumbuka nilikuwa namuuliza maswali mengi sana baba yangu. Kuhusu mabomu ya Scud na Nyukilia.
Yaah enzi za umaarufu wa scud na patriot mpaka mmoja wa wachezaji wetu akapewa jina la scud wakati wa vita hiyo ya ghuba. Akatokea mtu aliitwa el sahaf huyu alikuwa waziri wa habari alikuwa na majigambo na mikwara isiyo mithilika
 
Sasa nadhani Trump atachailia mafile yote ya jinsi John F. Kennedy alivyouliwa maana mastermind wa plan kafa
 
Yaah enzi za umaarufu wa scud na patriot mpaka mmoja wa wachezaji wetu akapewa jina la scud wakati wa vita hiyo ya ghuba. Akatokea mtu aliitwa el sahaf huyu alikuwa waziri wa habari alikuwa na majigambo na mikwara isiyo mithilika
Said Sued Scud wa Yanga huyu. Vita vya Ghuba vilikuwa popular sana.
 
Mijitu inasema eti alidhanu ataishi milele... Kivipi? Kuipiga Iraq? Yeye alikuwa anasimamia maslahi ya nchi yake. Na kweli Marekani ni ever strong. Huko kuishi milele ni yako tu...By the way, ukifika umri wa miaka 94 hata maisha yanakuwa hayana maana tena. Yaani hapa ameishi na kupitiliza. Angefariki akiwa na 60 au70 hapo labda sala yako ingekuwa na maana. Lakini 94....? Unasema alifikiri ataishi milele? Mbona hiyo miaka ni kama milele? Kama yote yaani...? Wewe mwenyewe hata 60 hutoboi!

By the way again, Magu naye anafanya mambo km vile atakuwa rais milele. Haamini kuna siku atajikuta naye behind bars?
 
Lakini mwanzo ulikuwa upi ?Nimesema asingeingilia Iraq mwanzoni, probably mtoto nae asingekuja na issue ya Saddam kumiliki silaha za maangamizi. Tumia ubongo wako vizuri.Hivi unajua kuwa kipindi cha vita ya Iran vs Iraq hawa US walimsupport Iraq ?Huyu Bush asingeanzisha mgogoro na Iraq wala ile Bush mtoto asingeyaleta tena.
Hivi unajua chanzo cha Bush Sr kwenda Vitani na Iraq mwaka 1991 au unadhani aliivamia tuu kama alivyofanya Mtoto wake 20 March 2003? Kama ulikuwa hujui basi fahamu kuwa Iraq alichukua kimabavu eneo la Kuwait lenye utajiri wa Visima vya mafuta na ndipo hapo USC ikampa Saddam Hussein Ultimatum ya kuondoa Majeshi yake Kuwait haraka iwezekanavyo,alivyokaidi ndio USC ikatoa declaration ya Vita kuondoa Majeshi ya Iraq nchini Kuwait na hapo ndipo Vita vikaanza na sio Marekani pekee aliekuwepo bali hata Nchi za Uarabu na Kiislamu zilikuwepo kwenye hiyo Vita.
 
Back
Top Bottom