Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,244
Aliekuwa Rais wa Marekani kipindi cha mabomu ya Scud afariki Dunia.
=====
Rais Mstaafu George Bush Sr afariki dunia Ijumaa jioni kama ilivyotangazwa na mwanae George W Bush kwa niaba ya familia.
Bush alikuwa Rais wa 41 wa Marekani kati ya mwaka 1989 na 1993 baada ya kuwa makamu wa Rais wa Ronald Reagan kwa mihula miwili.
Mwezi April alilazwa chumba cha wagonjwa mahututi akiwa na maambukizi kwenye damu, ikiwa ni wiki baada ya kifo cha mkewe Barbara.