George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

Kasome usikurupuke
Vita vyote vya Bushs walivyopigana Mashariki ya kati vimenikuta nikiwa na akili timamu, Bush senior alipigana na Sadam kule Kuwait 1990/91, Kush Junior 2003 kaivamia Iraq we ndo kasome uelewe
 
Nitamkumbuka kwa Operation DESRT STORM!
Enzi zile akitaka kumng'oa Sadam Hussein
 
Mwanzilishi ndo huyu kaka, kasome historia. KULIKUWA NA MABOMU YA SCUD ambayo Saddam Hussein aliyapiga. Huyu George Bush ndo aliyeanzisha vita vya Ghuba ya Uajemi kwa kuingilia mgogoro kati ya Kuwait na Iraq. George W.Bush yeye alikuja na ille issue kwamba Saddam Hussein anamiliki silaha za mass destructions.
It was 1991 by that time nilikuwa JKT, nakumbuka scud zingine zilikuwa zinaelekezwa Israel, Ila Israel ilitengeneza anti scud (patriot) a surface-to-air missile (SAM) ikawa inaya divert kwenda palestina sijui kama ilikuwa kweli.
 
Nani hajui historia?madhara ya Vita ya kwanza ya Ghuba chini ya Marehemu Bush Sr yalikuwa madogo sana ukilinganisha na Vita ya pili ya Ghuba chini ya Bush Jr hapo mpaka leo Iraq haijatulia.
Lakini mwanzo ulikuwa upi ?Nimesema asingeingilia Iraq mwanzoni, probably mtoto nae asingekuja na issue ya Saddam kumiliki silaha za maangamizi. Tumia ubongo wako vizuri.Hivi unajua kuwa kipindi cha vita ya Iran vs Iraq hawa US walimsupport Iraq ?Huyu Bush asingeanzisha mgogoro na Iraq wala ile Bush mtoto asingeyaleta tena.
 
Back
Top Bottom