PostGE2025 Genge la Abdul linamuona Nchimbi kama tishio

PostGE2025 Genge la Abdul linamuona Nchimbi kama tishio

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hana Amani yoyote, hofu yao imezidi baada ya Kukumbuka Katiba Mbovu inaruhusu Makamo kua Rais .

Sasa Kwa kuzingatia Mauaji waloyafanya, Kupora Uchaguzi, wamefikia hitimisho la kuanza kutafuta Makamo mwingine ,ili ikitokea Mama yao Kafa, Wapate Rais wa Genge lao.
Wanamtaka nani?
 
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.

Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.

Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.

Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.

Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.

Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Asipowahi atawahiwa
 
Kuua raia wasio na hatia, kuwazika kibabe!

Kosa la karne, wahuni wote waliopita kama Musollini hawakufanya hivo!
 
Kwani jiwe alikuwa Mlutheri?
Magufuli alikuwa mkatoliki. Samuya hawapendi wakatoliki ndio maana alimuua Magufuli na sasa anapanga kumuua Nchinvi. Na angejua dini yake kabla ya uteuzi, asingemteua kamwe kuwa makamu wa rais. Kama hampendi namshauri amtengue badala ya kumuua. Huyu mama ana roho mbaya sana.
 
Na hilo genge la akina Abdul linafikiri litaiteka Tanganyika miaka yote.?

Leo hii Uganda au Congo hakuna takataka iliyosalia toka utawala wa Iddi Amin au Joseph Desire Mobutu.

Na hata watu hao wawili walioogopa hawakuzikwa kwenye nchi zao.
 
Back
Top Bottom