Umeimalizia kibabe dah!🤣Hofu yao ni kubwa; wanahisi mama yao anaweza kurudishwa mavumbini kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaandaliwa namna ya kumrudisha mavumbini ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao, imeonekana
Wewe ni tishio kwa Genge lao Kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Hofu yao ni kubwa; wanahisi mama yao anaweza kurudishwa mavumbini kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaandaliwa namna ya kumrudisha mavumbini ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao, imeonekana
Wewe ni tishio kwa Genge lao Kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Aitoe wapi Amani ya moyo mkuu, damu aliyomwaga ya watanzania wenzetu ni nyingi mno, inaaminika ni zaidi ya watu elfu saba wameuliwa tangu maandamano yaanze,Carlos The Jackal unaona malkia ana amani ya moyo?
Kwa hali hii huenda wakarekebisha hicho kipengere cha sheria bungeni kuzuia makamu wa Rais kuwa Rais endapo Rais anakuwa katangulia mbele ya haki, wanajua ikiwa Nchimbi anakuwa Rais watafungwa jela wote na kufisiwa mali zao walizopora na kuficha popote DunianiHana Amani yoyote, hofu yao imezidi baada ya Kukumbuka Katiba Mbovu inaruhusu Makamo kua Rais .
Sasa Kwa kuzingatia Mauaji waloyafanya, Kupora Uchaguzi, wamefikia hitimisho la kuanza kutafuta Makamo mwingine ,ili ikitokea Mama yao Kafa, Wapate Rais wa Genge lao.Huyoe
Wamekufa wengi wale jamaa wenye midevu mingi wameua watu kwa wingi wa ajabuAitoe wapi Amani ya moyo mkuu, damu aliyomwaga ya watanzania wenzetu ni nyingi mno, inaaminika ni zaidi ya watu elfu saba wameuliwa tangu maandamano yaanze,
Nchimbi amekataa mbinu ya kuwabambikia chadema kesi kesi za uongo hataki Serikali ya kesi kesi anataka Serikali ya umoja wa kitaifa isiyo na vinyongo toka kwa wananchiNchimbi inatakiwa ajilinde kwelikweli. Akikaa vibaya tu imekula kwake. Na ajue anafatiliwa kwa karibu mno. Asimuamini yoyote
Hapo kwenye kubadili kipengele cha makamu wa Rais kuja kuwa Rais ikiwa kitatokea chochote kisichotarajiwa nasikia nikweli , huu mjadala upo active sana hata sasa kwenye kamati nyingi za ulinzi na usalama .Kwa hali hii huenda wakarekebisha hicho kipengere cha sheria bungeni kuzuia makamu wa Rais kuwa Rais endapo Rais anakuwa katangulia mbele ya haki, wanajua ikiwa Nchimbi anakuwa Rais watafungwa jela wote na kufisiwa mali zao walizopora na kuficha popote Duniani
💯%Nchi imejeruhiwa sana yafaa itibiwe kwa kufanya maridhiano na walioathirika sana ilibidi walipwe fidia kuombwa msamaha, Serikali ya ccm iache kuzidisha chuki kwa kuendelea kamata kamata watu hovyo kuwabambikia kesi za uongo , Serikali ya kupenda kesi kesi ni serikali ya hovyo kwani hakuna binadamu atawapenda viongozi watesi waonevu wanaotumia mda mwingi kuonea watu badala ya kuleta maendeleo
Sasa Polisiccm wanasaka vyeo sifa kwa kuwaonea watu yafaa hilo jambo la kishetani likomeshwe mara moja
Watu wanasononeka sana badala ya kusaka mbinu za kuwafariji wao wapo busy kuzidisha chuki zaidiWatavurugana tuu kati yao, wamemwaga damu nyingi sana zisizo na hatia, ila sisi hatusubiri hilo kupata mabadiliko