Wakuu Nyerere alimuunga mkono Ujukwu kwa sababu ya imani za kidini. Hakuna sababu nyingine. Hutaki unaacha
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.
- Eti ni kwa nini Tanzania tuliunga mkono Waasi wa Nigeria waliokuwa wanaongozwa na General Ojukwu, kwenye kiu yao ya kujitenga na Nigeria Federation? Ninakumbuka tukiwa wadogo Shuleni, tulivyokuwa tunaimbishwa nyimbo za kumsifu Ojukwu, why? I mean ni policies ngapi huko nyuma we were wrong maana inaonekana ni nyingi sana that ni vigumu sana sasa kurekebisha njia!
- JE have we ever apologize to the Nigerians kwa makosa yetu ya kuuunga mkono uasi wa Ojukwu, dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo?
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William J. Malecela.
Jokakuu,Kimbunga,
..kwa kumbukumbu zangu Nyerere pia aliwahi kupeleka majeshi kusaidia serikali ya Comoro.
..sasa sote tunaelewa kule Comoro wanachi wake ni wa imani gani.
..pia alisaidia Frelimo dhidi ya Wareno ambao wanajinasaba zaidi na Ukatoliki.
..hapa Tanzania alitaifisha shule za Kanisa nyingi zikiwa za kanisa Katoliki.
..I think Nyerere is such a complex figure huwezi kumfungia kwenye "boksi" moja.
NB:
..mtizamo wa Mwalimu kuhusu Ukristo na Kanisa unapatikana ktk hotuba yake ya "The Church and Society" aliyoitoa kwa watawa wa Maryknoll.
Biafra alikuwa anatetea dagaa?
Zomba,
No 3) umenoa. $1 ya Kimarekani ilikuwa ni shillingi saba. Pauni moja ilikuwa ni shillingi 20.
No4) pia ni misinformation. Azimio la Arusha limetangazwa Februari 1967. Tumetangaza kuitambua Biafra April 13, 1968.
Wapi na wapi?
Jibu muhamasishaji (UAMUSHO) acha kung'ata ulimi. Umweulizwa Tanzania ilikuwa inawunga mkono wapalestina kwa sababu ni wakrito?
Zomba,
No 3) umenoa. $1 ya Kimarekani ilikuwa ni shillingi saba. Pauni moja ilikuwa ni shillingi 20.
No4) pia ni misinformation. Azimio la Arusha limetangazwa Februari 1967. Tumetangaza kuitambua Biafra April 13, 1968.
Wapi na wapi?
Robo tatu ya Dunia inawaunga mkono PLO kwa sababu wanaporwa ardhi yao wanauwawa na Israel wanafanyiwa dhulma nyingi ndio maana unaona Waperstine wanapewa hifadhi karibia dunia nzima, wapo Chile, Canada, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Urusi, Saudia Arabia, Dubai, Argentina, Jordan, Lebanon, na sehemu zingine za dunia nchi zote hizo zimeamua kutoa hifadhi kwa Palestine sababu wanajua wanadhulumiwa haki yao..
Biafra ilikuwa ni uasi ndio maana nchi nyingi za ulaya Urusi, Uingereza, Czechoslovakia, ziliwasaidia majesi ya shirikisho kuzima huo uasi...Urusi na Chzechoslovakia walitoa ndege mpya za jeshi kuwashambuilia waasi.
Usifananishe mgogoro wa Mashariki ya kati na mgogoro wa Biafra Nigeria, kama utakuwa upande wa Israel basi wewe unatakuwa Jewish.
Kama robo tatu ya Dunia inawaunga mkono PLO maana yake robo moja ya Dunia haiwaungi mkono. Sasa, kwa nini Tanzania ikachagua kuungana na robo tatu na sio hii robo iliyobakia? Kuna sheria pengine iliyolazimisha Tanzania kusimama upande wa robo tatu ya Dunia?
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.
- Eti ni kwa nini Tanzania tuliunga mkono Waasi wa Nigeria waliokuwa wanaongozwa na General Ojukwu, kwenye kiu yao ya kujitenga na Nigeria Federation? Ninakumbuka tukiwa wadogo Shuleni, tulivyokuwa tunaimbishwa nyimbo za kumsifu Ojukwu, why? I mean ni policies ngapi huko nyuma we were wrong maana inaonekana ni nyingi sana that ni vigumu sana sasa kurekebisha njia!
- JE have we ever apologize to the Nigerians kwa makosa yetu ya kuuunga mkono uasi wa Ojukwu, dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo?
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William J. Malecela.
Hiyo robo hawafungamani na upande wowote ndio maana unaona ni nchi moja tu duniani Marekani peke yao ndio wanawaunga mkono Israel sababu nimekuambia ni Jewish wenzao...Nyerere aliwaunga mkono waasi wa Biafra sababu ya dini ukitaka chukuwa ukitaka acha.
Ritz, nakushauri sana kabla yakuandika jambo ufanye utafiti wako japo kidogo.
Compromise wa MWalimu hata siku moja hamuwezi kukubali alipokosea, lazima mje na hadithi nyingi za ujanja ujanja, badala ya kukubali tu kwamba kwenye hiyo policy tulikosea na sio hiyo zipo nyingi sana tulikosea ndio maana mpaka leo Taifa linayumba yumba tu!
William.
Kwa hiyo Nyerere alikuwa na sababu tofauti kwa Biafra na Palestina, sio? Je, how about Western Sahara? sababu nayo ni ipi?
Kwa hiyo Nyerere alikuwa na sababu tofauti kwa Biafra na Palestina, sio? Je, how about Western Sahara? sababu nayo ni ipi?
FJM
Hiyo ni Subject ingine itabidi tuanzishie thread yake kwa sasa tujikite zaidi na Biafra na Mwl Nyerere.
FJM
Hiyo ni Subject ingine itabidi tuanzishie thread yake kwa sasa tujikite zaidi na Biafra na Mwl Nyerere.
Nzi, walishabilisha sera hawa wasanii wala wasizuge. Inaitwa Economic Diplomacy. Sasa hivi Tanzania stands for nothing.Mzee W. J. Malecela, kuna tofauti kati ya sera (policy), tamko (statement) na msimamo (stand). Sasa suala la serikali ya JMT kuunga mkono na kutambua eneo la Biafra si sera bali ni msimamo wa serikali hiyo ulitolewa kwa njia ya tamko katika kushinikiza madai ya waibo. Suala hilo halikuwa policy issue kwa serikali ya Tanzania,kwani sera haina budi kutungwa ikiwa na madhumuni ya kufanikisha malengo fulani yenye kuheshimu imani za wale ambao malengo hayo yatakuwa yana faida kwao.
Suala la Biafra lilikuwa ni msimamo ulioamuliwa na serikali ya Tanzania tu.