In short, kuna mengi yanasemwa bila kuwa na jibu la moja kwa moja kuhusu kwanini tuliunga mkono vita ile. Kuna wengine wanaspeculate kwamba Nyerere aliunga mkono wale kwasababu walikuwa wakristu wenzake. Hii inawezekana japo inaonekana ni hoja nyepesi. Ila kupata picha read za books and discuss with elders like your dad who happened to be a reknown diplomat of those days.
Mleta mada umegusa pazuri sana.
Sakata la Zanzibar, iliyoungana tu na Tanganyika linakuwa mwao watu kutaka kujitenga na muungano. Biafra iliyokuwa part and parcel ya Nigeria, si kwa kuungana, walipotaka kujitoa (secession) Nyerere aliwaunga mkono kwa hali na mali. Nakumbuka makopo ya kuchangisha pesa za Biafra tukilazimishwa mashuleni kuyabeba na kwenda kufanya umatonya, nasema kulazimishwa kwa kuwa hakuna aliyeweza kukataa. Tukipita kuomba omba mitaani kuwaombea Biafra kwa kushinikizwa na Nyerere.
Ilikuwa ni udini mtupu wa Nyerere na hakuna zaidi.
Nyerere alikuwa ni kanisa kwanza, Tanzania baadae. Mnafikiri kwanini anapigiwa debe na wakristo wenzie ili apewe utakatifu?
Lakini Mwenyeezi Mungu ni mkubwa, hakuna alichofanya chochote kikawa na mafanikio si siku hizo si baadae, kwa kuwa alichokisema ni kingine na aliyonayo moyoni ni mengine. Mungu hatazami matamshi yetu, hutazama nia zetu.
- Wewe ni msomi, so unapaswa kuelewa effect za binadam waliozoea kuishi kwenye failed policies, akiondoak kiongozi wa zile poilicies itawachua muda mrefu sana kuanza kujiamini, maana tatizo kubwa la kuzoea kuishi kwenye failed policies ni unapoteza kujiamini!
William.
Kweli nimeamini Nyerere ndio mjanja pekee Tanzania. Bado anaendelea kutuumiza vichwa na bado ataendelea kutuumiza vichwa kama tunapeleka mambo kwa hizi fikra tulizonazo.
William, nashukuru umejibu.
Kwa maneno yako hayo CCM hawajiamini, na itawakuchukuwa muda mrefu kuweza kujiamini kwa sababu aliyekuwa anawapa majawabu (failed policies?) hayupo. Mwl Nyerere alikufa 1999, leo ni 2012, CCM wanahitaji miaka mingapi ili waweza kujiamini tena?
Kwa kifupi William unachosema hapa ni kwamba CCM wanaongoza hii nchi kwa mtindo wa 'auto pilot'. Kila kitu kilikuwa set na Mwl Nyerere toka 1960s, na kukitokea hitilafu kazi inakuwa moja tu - kupaza sauti kuwa marehemu alikosea! Hakuna cha kusema labda tuangalie kama oil imepungua, au engine imechoka au hata technology imebadilika hivyo tusuke machine kwa mtindo wa kisasa zaidi! no no no.... marehemu alitakiwa atengeze "timeless policies". Increadible!
Labda nikuulize, unaamini CCM ya sasa (CCM minus Nyerere aliye hai) wana uwezo wa kuongoza hii nchi?
- Hapo umesema moja la msingi kwamba alikuwa mjanja sana kwamba hata alipokosea tunashindwa kujadili kwa uwazi mpaka leo akiwa hayupo, kwa hilo ni kweli alikuwa mjanja sana!!
William.
- Sasa mkuu kweli tunadikie mate na wino upo? Si wananchi wamepiga kura mara ya mwisho na kuchagua CCM au?
Willaim.
kuna watu mko ccm kwa sababu ya njaa na hofu ya kufanyiwa umafia mkihama.
pole sana kwa kupigia debe mzoga (serikali ya sasa ya ccm)
Siku zinavyozidi kwenda nazidi kumdharau William!
William Mkuu, hoja yako (pengine) ni nzuri lakini imekuja wakati ambapo tuna mengi muhimu "ya sasa" ya kujadili. Kwa hivyo sitaki kujiingiza katika kuhakiki kama TZ ilipatia au ilikosea kuunga mkono unaowaita "waasi ndani ya serikali halali", hasa kwa suala lililotokea mwaka 1967, (what a coincidence) mwaka ambao tulianzisha sera za Azimio la Arusha, baadaye likaja Azimio la Zanzibar, bila ya kusahau donda ndugu la Muungano wa 1964, marekebisho ya katiba ya 1977. kuingiza mfumo wa vyama vingi 1992... ubinafsishaji, sera ya madini, ukubwa wa serikali, madaraka mikoani, sera ya elimu.... na madudu mengine mengi yanayoendelea hadi leo, yanayohitaji kujadiliwa na kurekebishwa SASA.- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.
- Eti ni kwa nini Tanzania tuliunga mkono Waasi wa Nigeria waliokuwa wanaongozwa na General Ojukwu, kwenye kiu yao ya kujitenga na Nigeria Federation? Ninakumbuka tukiwa wadogo Shuleni, tulivyokuwa tunaimbishwa nyimbo za kumsifu Ojukwu, why? I mean ni policies ngapi huko nyuma we were wrong maana inaonekana ni nyingi sana that ni vigumu sana sasa kurekebisha njia!
- JE have we ever apologize to the Nigerians kwa makosa yetu ya kuuunga mkono uasi wa Ojukwu, dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo?
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William J. Malecela.
- Kwa hiyo na wewe upo huko uliko kwa sababu hizi na sio kwa sababu una imani na chama, pole snaa!
William.
Mkuu shukran sana a hili nimeliona sana hapa JF wala sii William pekee isipokuwa ndio mada za Wadanganyika leo hii kuzungumzia yaliyopita. Mada zote humu ni swala lilotokea leo, jana, juzi au mwaka fulani hakuna kabisa mada inayozungumzia mbele ya matatizo na tunaweza vipi kuyakinga au kupambana nayo tukienda mbele. Katika mbio za kisiasa, watu wanataka tusimame na ku freeze bongo zetu kisha turudishe kumbukumbu miaka 30 au 40 iliyopita kumtafuta mchawi halafu sijui ili iweje?.William Mkuu, hoja yako (pengine) ni nzuri lakini imekuja wakati ambapo tuna mengi muhimu "ya sasa" ya kujadili. Kwa hivyo sitaki kujiingiza katika kuhakiki kama TZ ilipatia au ilikosea kuunga mkono unaowaita "waasi ndani ya serikali halali", hasa kwa suala lililotokea mwaka 1967, (what a coincidence) mwaka ambao tulianzisha sera za Azimio la Arusha, baadaye likaja Azimio la Zanzibar, bila ya kusahau donda ndugu la Muungano wa 1964, marekebisho ya katiba ya 1977. kuingiza mfumo wa vyama vingi 1992... ubinafsishaji, sera ya madini, ukubwa wa serikali, madaraka mikoani, sera ya elimu.... na madudu mengine mengi yanayoendelea hadi leo, yanayohitaji kujadiliwa na kurekebishwa SASA.
Kwa maslahi ya ustawi wa Taznania kisiasa, kiuchumi na kijamii, ninaunga mkono hoja yako kuwa TZ ilifanya madudu, lakini kwa nini tujadili madudu ya 67 ya Nigeria wakati tuna "lori la shehena ya madudu" nchini? Tujadili haya, tuwafumbue macho viongozi wetu wakubali kutibu pale palipooza. Maisha ya sasa yanakwenda mbio sana, ukipoteza hatua moja tu wenzako wanakuacha nyuma miaka mia moja. Tanzania tumeachwa nyuma ya 1961 tulipopata "uhuru" - Tujadili haya.
Nadhani wewe ndio unajichanganya kutokana na kutokujua, ngoja nikupe darsa kidogo..
Unaposema kwa nini tusingewaunga mkono Israel tuwaunge mkono Palestine, wewe kwa akili yako unadhani Waisrael ni Wakirstu Waisrael dini yao ni Jewish, tena Israel kuna Wakiristu wachache sana wanazidiwa hata na Waislam kwa wingi...Wakirstu ni 2.1% na Waislam 16.9%.
Inawezekana Palestine kuna Wakiristu wengi kuzidi Israel kwa mfano maeneo ya Bathlehem.
Wengi wenu huwa mnajidanganya kuwa Waisrael ni Wakiristu hawa jamaa kwanza wanauchukia sana Ukiristu soma vitabu vyao ndio hutajua.
Wakuu Nyerere alimuunga mkono Ujukwu kwa sababu ya imani za kidini. Hakuna sababu nyingine. Hutaki unaacha