William,
By the time vita inaanza kati ya Ojukwu na Gowon, suala halikuwa waasi kujitenga. Suala wakati huo lilikuwa ni MAUAJI YA WAIBO. There was a pogrom. A million Ibos and more were slaughtered. Wewe unashikilia kuunga mkono waasi. Katika bandiko langu #49 nimeainisha juhudi alizochukua Nyerere kuzima mauaji. OAU haikufanya kitu, Gowon hakufanya kitu. The killing was the motivating factor. Kama Biafra ingejitenga bila kuwepo mauaji ya Waibo katika majimbo mengine ya Nigeria nina hakika usingemsikia Mwalimu Nyerere akisema kitu au akichukua hatua yoyote. Kama kujaribu kuzuia mauaji ya watu kwa misingi ya kikabila ni makosa, then Nyerere is guilty. Na kama huelewi kuwa motive haikuwa kuunga mkono kujitenga kwa Biafra, licha ya yote niliyosema na vitabu vilivyoandikwa, wewe endelea kushikilia msimamo wako kama Nyerere was wrong kwa sababu kwako hiyo ni kama dini. Refer kwa ile topic yako ya kwa nini Azimio la Arusha was dead wrong. Hutaki kuelimika, unataka kusokomeza imani zako kwa wengine hasa kuhusu utawala wa Mwalimu na sasa juhudi za Freeman Mbowe. Lakini tupo hapa, ukitulisha pumba tutamwaga somo!
Mkuu Jasusi, uzee dawa, nashukuru kwa shule uliyotoa kama nilivyokuwa naielewa.
Kwa wasomaji Jasusi hakumaanisha kuonyesha 'rights or wrongs' za Nyerere. Jasusi alikusudia kujibu swali ambalo lenyewe tu halijitoshelezi. ''Kwanini Nyerere aliunga mkono Biafran'' ina mapungufu kwasababu watu walitaraji 'background' halafu ndiyo ije conclusion kama aliyoleta mtoa mada kuwa 'kulikuwa na tatizo katika policies'
Endapo mtu ataandika jina na conclusion sijui kama tutakuwa tumefikia lengo la maana ya majadiliano
Kabla sijaingia katika hoja za Jasusi, napenda kumkosoa mchangiaji mmoja aliyedai kuwa maamuzi ya kuunga mkono Biafran ni ya Nyerere na siyo wananchi. Mchangiaji amesahau kuwa serikali iliyopo madarakani ndiyo wananchi.
Benjamin Mkapa anaheshima kubwa sana Zimbabwe kwasababu alisimama kidete kuzuia commonwealth kumtenga Mugabe. Si kila mtanzania anakubaliana na hilo lakini Mkapa ndiye mkuu wa serikali na kauli yake ilikuwa ya Tanzania
Kuhusu Biafran Jasusi ameeleza sababu za Tanzania kuunga mkono. Soma nukuu zifuatazo
The people of Biafra have announced their willingness to talk to the Nigerian authorities without any conditions. They cannot renounce their secession before talks, but they do not demand that Nigerians should recognize it; they ask for talks without conditions. But the Federal Authorities have refused to talk except on the basis of Biafran surrender. And as the Biafrans believe they will be massacred if they surrender, the Federal authorities are really refusing to talk at all. For human beings do not voluntarily walk towards what they believe to be certain death. .....
Nor is this the first time the world has seen a reduction in political unity. We have seen the creation of the Mali Federation, the creation of a Union between Egypt and Syria, and the establishment of the Federation of Rhodesia and Nyasaland. And we have also seen the dissolution of all these attempts at unity, and the consequent recognition of the separate nations which were once involved
When more than twelve million people have become convinced that they are rejected, and that there is no longer any basis for unity between them and other groups of people, then that unity has ceased to exist. You cannot kill thousands of people, and keep killing more, in the name of unity. There is no unity between the dead and those who killed them; and there is no unity in slavery or domination
Surely, when a whole people is rejected by the majority of the state in which they live, they must have the life to life under a different kind of arrangement which does secure their existence. States are made to serve people; governments are established to protect the citizens of a state against external enemies and internal wrong-doers
Tanzania has recognized the State of Israel and will continue to do so because of its belief that every people must have some place in the world where they are not liable to be rejected by their fellow citizens. But the Biafrans have now suffered the same kind of rejection within their state that the Jews of Germany experienced. Fortunately they already had a homeland. They have retreated to it for their own protection, and for the same reason - after all other efforts had failed - they have declared it to be an independent state.
In the light of these circumstances, Tanzania feels obliged to recognize the setback to African unity which has occurred. We therefore recognize the State of Biafra as an independent sovereign entity, and as a member of the community of nations. Only by this act of recognition can we remain true to our conviction that the purpose of society, and of all political organization, is the service of Man."
Mwalimu alinukuliwa akisema.
Sina uhakika kama alikuwa sahihi au la, ninachojua alitetea uamuzi wa nchi tena kwa hoja, endapo kuna mwingine mwenye hoja dhidi ya Nyerere basi aziweke hapa ili watu wapate shule na wafanye conclusion based on the fact.
Nyerere ameonyesha nchi zilizokuwa pamoja na zikajitenga na Tanzania ilizitambua. Ameonyesha mauaji ya Ibo kama alivyoeleza Jasusi na amehitimisha kwanini anunga mkono. Mwenye counter arguement aje hapa.
Tusisahau kuwa Nyakati za Mwalimu Tanzania iliheshimika katika maamuzi hata yasiyopendeza watu.
Kwakweli ni aibu sana kusikia kuwa eti serikali za siku hizi zinajaribu kufanya mazuri kuliko ya mwalimu.
Tena J.Kikwete ndiye kabisa ameshindwa kusema neno kuhusu misimamo akijificha nyuma ya 'Msimamo wetu ni kama wa OAU'
Kwa wale wa enzi, msimamo wa Tanzania ndio ulikuwa msimamo wa kanda na pengine Africa. Hii haikutokea kwasababu Nyerere aliweza tu kufungua kinywa, la hasha! ni kwasababu misimamo ilikuwa ni juu ya hoja tena nzito.