Isipokuwa kama dollar ilishushwa thamani. Mimi nazungumzia 1966 nikiwa pale Aga Khan. Dola moja ilikuwa ni shilingi saba za Kitanzania. Hata enzi za mkoloni pauni ilikuwa ni shillingi 20 kote Kenya, Uganda na Tanzania.Uko mbali sana ndugu yangu hata mwaka 1974, ndio mara yangu ya kwanza kusafiri nje ya Tanzania Pauni moja ilikuwa haijafika bei hiyo.
Bado nasubiri ile quote uliyosema kuwa nilikuwepo Mkapa alipomuua Nyerere.FJM
Hiyo ni Subject ingine itabidi tuanzishie thread yake kwa sasa tujikite zaidi na Biafra na Mwl Nyerere.
Ritz, nakushauri sana kabla yakuandika jambo ufanye utafiti wako japo kidogo.
Nenda kasome historia ya Waingereza wakiwa Nigeria tangu 1922 wakati Nyerere anazaliwa. Halafu angalia Nigeria ilianza na majombo 4 kwanini yameongezeka mara tatu!
Soma harakati za Nigeria katika uhuru mwaka 1960, wakati ambapo Nigeria ilifunika tofauti za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kwa taarifa yako Nigeria ni taifa lililogawanyika sana katika maeneo ya kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Hili la Waislam na Wakristo siyo tatizo pekee la Nigeria. Hata waislam katika majimbo yao au wakristo wanatofauti sana.
Haya sisomi wala kusimuliwa nimeyaona mwenyewe na namshukuru mungu.
Then, soma historia ya Nnandi Azikiwe, Balewa, Obafemi Awololo, Yakoub Gown! kabla hujafika 'biafran'.
Ukipata uelewa wa Biafran, enenda zaidi kusoma habari za akina Murtala Mohamed, Obasanjo, Othman Shehu Shagari, Muhamd Buhari, Abdisalaam, Sani Abacha ili uelewe tatizo kubwa la Nigeria ni nini.
Hoja yako kuwa Nyerere aliunga mkono kwasababu ya dini inaweza kuwa sawa kwasababu ukishaaminishwa kuwa Nyerere alikuwa mwanaume kwasababu ya dini hakuna anayeweza kukuzuia kuamini! watu wanaweza kukusaidia kujitambua tu
Jibu la swali lako ni kuwa, Nyerere aliunga mkono Waisrael kwanza. Baada ya wao kuanza kuwafukuza Wapaelstina kwasababu zile zile zilizomfanya aunge mkono, Nyerere akavunja uhusiano na Israel na wala si kulaani tu.
Sijui kama unajua ubalozi wa PLO pale Upanga! Na marehemu Yaser Arafat hakusita kukutana na Nyerere fursa ilipotokea,
Sasa hapo udini uko wapi?
Nyerere alivunja uhusiano na Uingereza mwaka 1965 kwasababu UK ilimtambua Ian Smith ambaye ni mkristo.
Serikali ya Nyerere iliunga mkono wapiganaji wa POLISARIO.
Alikuwa rafiki na mshirika mzuri wa Marehem Huari Boumodiane wa Algeria kwenye waislam.
Aliunga mkono kwa silaha, makazi na askari juhudi za kumuondoa mreno ambaye ni Mkatoliki kweli kweli kule Angola na Msumbiji.
Na mwisho nikumbumbushe maneno ya Nyerere kuhusu Biafra katika bandiko langu lililotangulia. Kwa ufupi amesema sababu zilizomfanya aunge mkono Biafra ni zile zilizomfanya aunge mkono Isreal kuhusu haki ya wanadamu kuishi.
Na ndizo sababu hizo hizo zilimfanya aunge mkono Palestina.
Ritz, kama kuna mtu amekufundisha kumchukia Nyerere bila sababu hiyo ni hiari yako,lakini basi hiari hiyo usiisukimize kooni kwa wengine. Kuna vijana wanataka kuelewa wape nafasi waweze kuchambua na kuwa na fikra zao.
I think you are simply on a mission to discredit Mwalimu Nyerere. It seems that you have some grudges against him. One can get such conclusions from your recent threads including that of Arusha declaration.
How old are you?
Were you there, in a party organized by your mdingi when he was tipped for PM post (before Sokoine) only to be dissapointed later when Sokoine was announced as PM? If you were there, then I can understand your grudges.
You obviously were an adult capable of understanding National Politics in 1995 when again, your mdingi was removed at some stages, from the list of CCM presidential nominees. You never and will never forgive Mwalimu for that, will you?
Ndahani, Nilimuuliza William kwa nini ameleta/ameuliza hili swali la udhaifu wa sera za Nyerere miaka ya 1960s kipindi hiki, lakini sijapata jibu. Na ninavyoona jibu halitatolewa au likitolewa litakuwa nusu nusu. But with time tutajua equation nzima ya hili swali.Tukifuatilia kwa undani kila mtu aliyefanya madudu kuna watu wengi wataumbuka. Kuna tatizo la kusahau. Vile vijiji vya ujamaa vilijengwa kwa mkono wa chuma na kuna baadhi ya watekelezaji wa siasa zile waliwaumiza sana wananchi. Najiuliza, ni Nyerere aliyewatuma kwenda kufagia fagia wananchi au kuwahamishia kwenda kwenye vijiji vya ujamaa?
Nyerere ninacho kiona hakulea lazy boys...ndo hao wanakuja na kila aina ya hadithi. Ntakubaliana nao iwapo tu wataonyesha kwa mfano kipi kizuri ambacho wao wamefanya na kinafahari kutuelezea. Hadithi hizi mbona tunazisikia toka kabla ya uhuru na hazina mpango wowote.
Uzuri wa dunia yetu, inarekodi ya kila kitu to the last dot. Hakuna ambaye ataukimbia ukweli huu, iwe ni Nyerere au yoyote yule awaye.
Mimi binafsi nimempinga Nyerere si mara moja au mbili. Nikiwa nafanya hivyo huwa nampinga kwa hoja nikiwa na mantiki. Simpingi tu kwasababu nimeaminishwa nimpinge.Mkuu wangu Nguruvi3.
Watu waliwapinga mitume wa Mungu, wewe hutaki watu wampinge Nyerere mkuu wangu siwezi kuwa mtumwa wa kifkra mkuu wangu mie nasimamia ninachokiamini nakashauri tu kama michango yangu inakukera ipotezee tu kama mie ninavyo ipotezea michango yako mkuu wangu.JF Daima
Kikwete ni kibaraka wa nchi za magharibi. Anajikweza sana hasa kwa Wamarekani. Wakamuumbua na Wikileaks.Mimi binafsi nimempinga Nyerere si mara moja au mbili. Nikiwa nafanya hivyo huwa nampinga kwa hoja nikiwa na mantiki. Simpingi tu kwasababu nimeaminishwa nimpinge.
Unaulizwa maswali hujibu sasa tukueleweje. Kama una hoja za kumpinga ziweke hapa. Kama huna hoja ni vema ukatulia na duku duku lako. Inaweza kuwa mlikuwa na ugomvi binafsi na hilo jamvi halitaingilia.
Inasikitisha sana kuona mtu anasema tu bila kuwa na ushaidi wa kile anachokisema. Nina uhakika hufahamu Ojukwu ni wajimbo gani na Biafra ipo wapi vinginevyo usingeweka udini wa Kaskazini na Kusini.
Hatuwezi kukaa kimya thread ikianzishwa kwa mstari mmoja na hukumu hapo hapo. Yes, kama alikosea tuonyeshe wapi!
Ritz umeulizwa, je, kuna udini kule Sahara magharibi? ilikuwaje Nyerere aunge mkono Waisrael halafu wapalestina?
Ni kweli Israel na Palestina zina watu wenye imani tofauti, lakini wananchi wengi wanaelewa tu ukristo na usilam pengine ikishadidiwa na ukweli kuwa madai ya Arab league ni uonevu dhidi ya waislam na si Ardhi na sehemu za historia.
Ritz umeonyeshwa mfano wa msumbiji na Angola, hujajibu.
Kusema kuwa Kikwete anamsimamo zaidi ya Nyerere ni ' intellectual abuse'
Kikwete ni kibaraka wa nchi za magharibi. Anajikweza sana hasa kwa Wamarekani. Wakamuumbua na Wikileaks.
Kusema Kikwete ana msimamo ni kiroja cha mwaka. Huyu hana tofauti na wale machifu wa zamani waliokuwa radhi kuuza raia wao kwa shanga na kanga. Huo ndio uongozi Afrika inaohitaji katika karne hii? Please!
Hiyo umeisema wewe si mimi.- Una maana Mwalimu walikuwa kibaraka wa Wachina na Warusi?
William
- Una maana Mwalimu walikuwa kibaraka wa Wachina na Warusi?
William
Ndahani, Nilimuuliza William kwa nini ameleta/ameuliza hili swali la udhaifu wa sera za Nyerere miaka ya 1960s kipindi hiki, lakini sijapata jibu. Na ninavyoona jibu halitatolewa au likitolewa litakuwa nusu nusu. But with time tutajua equation nzima ya hili swali.
- Yaani unaendelea kutoa maoni kwenye thread ambayo majibu yako hayajajibiwa, that is super mkuu, waacha wenye hoja waendele tu kukata ishus hapa!
William.
Mimi binafsi nimempinga Nyerere si mara moja au mbili. Nikiwa nafanya hivyo huwa nampinga kwa hoja nikiwa na mantiki. Simpingi tu kwasababu nimeaminishwa nimpinge.
Unaulizwa maswali hujibu sasa tukueleweje. Kama una hoja za kumpinga ziweke hapa. Kama huna hoja ni vema ukatulia na duku duku lako. Inaweza kuwa mlikuwa na ugomvi binafsi na hilo jamvi halitaingilia.
Inasikitisha sana kuona mtu anasema tu bila kuwa na ushaidi wa kile anachokisema. Nina uhakika hufahamu Ojukwu ni wajimbo gani na Biafra ipo wapi vinginevyo usingeweka udini wa Kaskazini na Kusini.
Hatuwezi kukaa kimya thread ikianzishwa kwa mstari mmoja na hukumu hapo hapo. Yes, kama alikosea tuonyeshe wapi!
Ritz umeulizwa, je, kuna udini kule Sahara magharibi? ilikuwaje Nyerere aunge mkono Waisrael halafu wapalestina?
Ni kweli Israel na Palestina zina watu wenye imani tofauti, lakini wananchi wengi wanaelewa tu ukristo na usilam pengine ikishadidiwa na ukweli kuwa madai ya Arab league ni uonevu dhidi ya waislam na si Ardhi na sehemu za historia.
Ritz umeonyeshwa mfano wa msumbiji na Angola, hujajibu.
Kusema kuwa Kikwete anamsimamo zaidi ya Nyerere ni ' intellectual abuse'
Pole pole, karibu nawe utahitimu kuwa great thinker siku moja. Lakini umesahau element moja muhimu katika darsa lako.Mkuu wangu tatizo lako unadhani kila kitu hunajua wewe ngoja na mie nikupe darsa kidogo ili twende sawa.
General Chukweuemeka Odumengwe Ojukwa, kazaliwa 1933 mjini moja unaitwa Zungeru.
Biafra ipo Kusini Mashariki ya Nigeria wakazi wake wengi ni kabila la Waigbo.
Uasi wa kijeshi Nigeria ulianza miaka ya 1966 baada ya Waziri Mkuu wa kipindi kile Abubakar Tafawa Balewa, kutoka Kaskazini kuuliwa na wanajeshi. General Mkuu wa jeshi la Nigeria Johnson Aquiyi, Muigbo. Akachukuwa uongozi wa nchi.
Uasi mwingine ukafanyika kikundi kutoka Kaskazini walimuaa General Johnson Aquiyi, na General Yakubu Gowon akachukuwa uongozi wa jeshi.
Baada ya apa ndio kisa kikaamia Biafra baada utawala mpya wa General Gowon, kubadilisha muundo wa utawala Biafra walikuwa wanapinga na hawataki utawala wa wanajeshi Waislam...nimekupa darsa kidogo hujue kumbe na mie najua.
Na mie nakuuliza swali kwa nini nchi tano tu duniani ziliutambua utawala wa Biafra nchi zenyewe ni Tanzania, Zambia, Gabon, Haiti, Code d Ivoire?
Inaonyesha kuwa Tanzania tunaweza kuendelea kuzunguka kwenye hiyo vicious circle kwa muda mrefu sana iwapo watu wanaotuongoza na wale wanaotaka kutuongoza na kutuwakilisha nje ya nchi hata hawajui tulikotoka.