Sensation seeking.Hello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Wana run na mandinga za babao, kushiba kwa mamao……Hello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Nakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na Team Teza kiongozi wao alikuwa Mtangazaji wa EATV Tbway360(Alijita hilo jina kwasababu ya kuChora mzunguko(drifting)) ,nakumbuka alikula bonge la BUYU makumbusho TEZA yake ikawa valuvalu ,vijana wengi walikula MABUYU sana na TEZA ila kwasasa wameshajifunza baada ya members wao wengi kufariki.Hello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Hawa wa sasa wanakimbia sana. Kuna vijana wanaongozana wana BMW M3, Golf R na Audi hawa msafara unakimbia 250-300kphNakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa na Team Teza kiongozi wao alikuwa Mtangazaji wa EATV Tbway360(Alijita hilo jina kwasababu ya kuChora mzunguko(drifting)) ,nakumbuka alikula bonge la BUYU makumbusho TEZA yake ikawa valuvalu ,vijana wengi walikula MABUYU sana na TEZA ila kwasasa wameshajifunza baada ya members wao wengi kufariki.
Bado utoto unawasumbua ,ngoja waione NGONDOIGWA itawapa Somo kama wenzao wa TIMU TEZA.Hawa wa sasa wanakimbia sana. Kuna vijana wanaongozana wana BMW M3, Golf R na Audi hawa msafara unakimbia 250-300kph
Bongo hata 180km/hr roho mkononiPamoja na kuwa una hoja ILA
magari yanayo fika 300km ni machache sana Tanzania
Ni Zaidi ya hatari ,huku bongo inatakiwa max iwe 60kph.Bongo hata 180km/hr roho mkononi
Kuna dogo Mkenya yuko hospitali Baltimore Maryland , US, mwezi mmoja huu sasa, kimsingi yupo katika coma.Hello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Kiasi sio haba kama 15yrs agoSasa hivi barabara ni nzuri mkuu?
Kuna jamaa namfahamu yuko kwenye wheel chair sasa hivi alipinduka na gari. Hatari sana.Kuna dogo Mkenya yuko hospitali Baltimore Maryland , US, mwezi mmoja huu sasa, kimsingi yupo katika coma.
Kajiweka kwenye risk ya kico kirahisi sana.
Kwa mchezo huu huu wa kukimbizana magari. Na hospitali za US zilivyo expensive nafikiri bill yao itafikia over a million dollars karibuni.