Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,811
- 22,514
Kumbe nyumba ilikuwa bado inajengwa kwa kutumia matofali ya kuchoma na uchomaji huo ulikuwa unafanyika hapohapo saiti.
Watakao kamatwa ni wanachama wa Chadema badala ya kufanya uchunguzi makiniDhuluma, hujuma na kila tone linaongeza nguvu na ari kusaka uhuru na haki toka mkoloni mweusi.Poleni sana wahanga. Nashauri CDM wawe na utaratibu kuratibu wahanga na kutangaza Watanzania wema tuwasitiri.