Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Hawa wananchi wamekuwa wasumbufu sana. Sijui nani anawapa kiburi, nadhani suluhisho ni kujenga ukuta mnene kuzunguka mgodi ili wasikaribie kabisa. Hizo risasi naona haziwaingii kabisa.
Wanasiasa wa Chama cha magamba wanaendelea na kazi ile ile ya kufanya ujambazi wa kisiasa mpaka kwenye machimbo na kuendelea kuwafanyia usanii wa siasa hadaa kila kukicha hadi wananchi wanakosa uvumilivu. Hadi lini tutaendelea hivyo?
Hawa wananchi wamekuwa wasumbufu sana. Sijui nani anawapa kiburi, nadhani suluhisho ni kujenga ukuta mnene kuzunguka mgodi ili wasikaribie kabisa. Hizo risasi naona haziwaingii kabisa.
Mambo mengine watanzania mnajitakia wenyewe! Hiyo serikali mnayoilalamikia inawasumbua na kuua raia si mliiweka madarakanni kwa kura zenu wenyewe? Tesekeni tu hadi mtakapopata akili!madini yetu yamekua laana kwetu
Bibie kwanza niambie sheria ni nini na ni kwa ajili ya nani.Wakiwachiwa wavamie bila sheria nchi itakuwa haikaliki, kila ataetamani akionacho atataka kukivamia bila kufata sheria na kanuni zilizopo.
Fitna moja kubwa katika dunia ni "mali".
Kinachotakiwa ni Serikali kuwa makini katika kugawa sehemu za wachimbaji wakubwa na sehemu za wachimbaji wadogo, ambako kila mmoja atafata sheria na kanuni zilizo wazi. Na nna uhakika sheria na kanuni hizi zipo, kwa kuwa zipo, tatizo ni nini? Amma usimamizi usiotosha, amma kucheleweshwa kwa kutolewa vibali, hukumu na miongozo ya malalamiko kwa sehemu husika amma kuna kikundi cha watu kilichoandaliwa kuanza kuchochea hizi fujo,
Hili la mwisho lina maana zaidi na kama kipo kitajulikana, watajulikana na watasulubiwa kwa mujibu wa sheria.
Wakiwachiwa wavamie bila sheria nchi itakuwa haikaliki, kila ataetamani akionacho atataka kukivamia bila kufata sheria na kanuni zilizopo.
Fitna moja kubwa katika dunia ni "mali".
Kinachotakiwa ni Serikali kuwa makini katika kugawa sehemu za wachimbaji wakubwa na sehemu za wachimbaji wadogo, ambako kila mmoja atafata sheria na kanuni zilizo wazi. Na nna uhakika sheria na kanuni hizi zipo, kwa kuwa zipo, tatizo ni nini? Amma usimamizi usiotosha, amma kucheleweshwa kwa kutolewa vibali, hukumu na miongozo ya malalamiko kwa sehemu husika amma kuna kikundi cha watu kilichoandaliwa kuanza kuchochea hizi fujo,
Hili la mwisho lina maana zaidi na kama kipo kitajulikana, watajulikana na watasulubiwa kwa mujibu wa sheria.
Hao wananchi hawana akili, kama madai yao yapo serikalini kwanini wavamie mgodi? Hii ndiiyo shida ya miafrika kuchukulia kwamba chanzo cha matatizo yetu ni wawekezaji. Mwekezaji naye ana kila haki ya kujilinda na nadhani kuna umuhimu wa kujenga ukuta ili kuepuka usumbufu wa aina hii.
''Kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni yake''- Katiba ya JMT
Kwenye movie ya SARAFINA walimkamata yule kibaraka wakampa kipigo halafu wakachoma moto, nadhani kuna mijitu humu ndani inastahili the same punishment! Haiwezekani tunaongea kitu halafu mpuuzi mmoja anahoji ujinga, laiti ungejua!