Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

Ukisoma vyema kabisa utaona umakini wa wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hao ambao kimantiki wanakubaliana na kauli ya Mwenyekiti ambaye alisema wazi kuwa kwa nafasi yake ataongoza vikao ili kusimamia chama kipate wagombea sahihi, huku akitilia mkazo kwenye nafasi ya urais kuwa ni nafasi nyeti ambayo chama kupitia vikao hakiwezi kuifanyia mzaha.

Hapa ndo ninaposhindwa kuelewa.kwa hii habari mwenyekiti wanasema kamtaja Slaa ndo mgombea wa uraisi na si kama ulivyoandika wewe.ina maana ndani ya CDM mwenyekiti anaweza kumtangaza mgombea pasi na vikao?!
 
Huo udaku peleka Lumumba.

we ni mshabiki wa CDM hushabikia kinachokufurahisha hata kama ni kinyume na taratibu za chama chenu. Hivi hukuwepo kwenye lile kundi lililokuwa linasukuma gari ya Mtikila baada ya mikutano ya jangwani na sera za gabachori? una fit kundi hilo
 
SIDHANI HATA KAMA BREAKFAST YENYEWE UMEPATA,AU JUMA TATU HII UMEFUNGA SWAUMU ILE YA SUNNAH YA KIPENZ CHETU S,A,W?
UNAJICHANGANYA CHANGANYA NA KUWEWESEKA KAMA VILE UMEANGUSHA SINDANO KARIAKOO KWENYE MSONGAMANO WA WATU NA UNAHAHA KUINAMA INAMA UKIITAFUTA HUKU WALE WAPITA NJIA WAKIKUGASI GASI NA KUKUONDOLEA UMAKIN
MKUMBO SI YUKO UPANDE WA ZIITO?

au ww hujui

Tunaongelea Chadema sasa vipande viwili mambo ya Mtume yametoka wapi. Hivi nyie Pro-Chadema mbona mnawachukia sana Waislam.
 
Siwazi vitu vidogo hivyo,aliyekwambia mm chadema nani?na Uanchama wa kampuni ya mtu ndio nini?Bomu linalokuja wewe na vifaranga vyako kwisha kwisha

Kwa ufinyu wa Akili zenu ndiyo maana Mwl.wangu Dr Kitila alimwagiza Ben Saanane kulisambaratisha mara moja kundi lenu haramu la kumpindua Mbowe-PM7
 
Last edited by a moderator:
Pro-magamba wote ni washabiki wa Prezzo, so tafsiri yao ya haraka ni kuwa Slaa ametangazwa kuwa mgombea na by implication ndiye Rais ajaye. Dr. Slaa kuingia kunako nguvu 2015 hilo ndilo wanaloogopa kuliko ukoma.

Well Zitto & Shibuda wana agenda zao kwa hiyo si vibaya CHADEMA wakalichorea mstari hili la mgombea urais kwa tikiti yao mapema iwezekanavyo. Propaganda zote chafu za CCM ni kupinga Slaa/CHADEMA kutwaa dola.
 
Nitajie Tanzania daima la lini limethibitisha kuwa Mbowe amemtaja Slaa kama mgombea urais chadema.

dec 31,2012..katafute usomea acha uvivu kama vijana wa chadema . au ingia kwa google search TANZANIA DAIMA..UTAPATA KAMA huna ela ya kununua gazeti...
 
Mko uchi wa mnyama tangia Kamanda mkuu Ben Saanane awavue nguo mchana kweupe.

Mnajifariji sana kudhani Tuntemeke ni hao wapuuzi wenu,Tuntemeke hata mkinitengenezea zengwe kwamba ni kundi toka ccm sitaacha kuwabanjua.
yaani wewe ndio kabisa,Bomu linalikua nchi nzima itazizima,Acha kazi ifanyike kwanza,Tve na redio zote zimeshaandaliwa kuanika ukweli wamambo.Tuntemeke ni jiwe
 
Eti mlikuwa mnalipiwa kila kitu na Kamanda mkuu Ben Saanane.Si ajabu alikuwa anawalipia hata kodi ya vyumba vyenu.

endelea kujifariji,Ben ni shushushu anajaribu kuhadaa umaa kwa kusema uongo.But very soon nchi itazizima.Mm si kama wewe kazi kulialia.
MM SIMWANASIASA,Nakazi na ninamaisha yangu.Nakuonea huruma kazi ua udobi wa nguo za Josephine utaacha lini
 
Mnajifariji sana kudhani Tuntemeke ni hao wapuuzi wenu,Tuntemeke hata mkinitengenezea zengwe kwamba ni kundi toka ccm sitaacha kuwabanjua.
yaani wewe ndio kabisa,Bomu linalikua nchi nzima itazizima,Acha kazi ifanyike kwanza,Tve na redio zote zimeshaandaliwa kuanika ukweli wamambo.Tuntemeke ni jiwe

Pindua Mbowe Group-PM7

Your days are numbered!
 
Tuntemeke sema sema usiogope vibaraka sema baba,tumekaa mkao wa kula kusambaza kila blog unayoyasema hasa kufichua ufisadi wa wazito chamani
 
endelea kujifariji,Ben ni shushushu anajaribu kuhadaa umaa kwa kusema uongo.But very soon nchi itazizima.Mm si kama wewe kazi kulialia.
MM SIMWANASIASA,Nakazi na ninamaisha yangu.Nakuonea huruma kazi ua udobi wa nguo za Josephine utaacha lini

Pindua Mbowe Group-PM7.

Mmechemsha mbaya.
 
tunaongelea chadema sasa vipande viwili mambo ya mtume yametoka wapi. Hivi nyie pro-chadema mbona mnawachukia sana waislam.

mm ni chadema pia ni muislam

siwez kumchukia kipenz cha allah s,a,w na waislam wenzangu kwa ujumla

nani kakuambia chadema kuna chuki dhidi ya uislam??
 
KIBE, unakosea sana kutizama mchango wangu kwa hisia za kichama. Weka mbali CCM na Chadema na maswala yao ya uraisi. Soma habari as a neutral person. Angalia heading, soma content, then tell me if u r getting anything out of it. Yaani ni ile heading tuu ili wauze. Na nimesema hii ni tabia ya mwanachi siku za karibuni. Hata kastatement kamoja kanaundiwa bonge la heading!
 
Last edited by a moderator:
endelea kujifariji,ben ni shushushu anajaribu kuhadaa umaa kwa kusema uongo.but very soon nchi itazizima.mm si kama wewe kazi kulialia.
Mm simwanasiasa,nakazi na ninamaisha yangu.nakuonea huruma kazi ua udobi wa nguo za josephine utaacha lini

tuntemeke mbona una wivu sana na josephine kuish na dr slaa??
Kama unaona anafaidi si uombe nafasi nawewe yawezekana ukafikiriwa na kupata pumziko lako la moyo??
 
Back
Top Bottom