Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

endelea kujifariji,Ben ni shushushu anajaribu kuhadaa umaa kwa kusema uongo.But very soon nchi itazizima.Mm si kama wewe kazi kulialia.
MM SIMWANASIASA,Nakazi na ninamaisha yangu.Nakuonea huruma kazi ua udobi wa nguo za Josephine utaacha lini

An old hero has no admire, sasa umechoka ile mbaya nondo zako zote kapuni du...............! Kweli kamanda Ben Saanane ni kisiki cha mpingo.
 
Last edited by a moderator:
Moolemo ameshachukua nafasi,babu ni kijana anayekula totoz ni balaa.Yaani laana ya upadri hii inamtesa sana

Ongea maswala yenye mantiki kwa uchumi wa nchi yetu uluoliwa kama mchwa na baba zako CCM, mambo ya totoz hayatusaidii sisi.
 
KIBE, unakosea sana kutizama mchango wangu kwa hisia za kichama. Weka mbali CCM na Chadema na maswala yao ya uraisi. Soma habari as a neutral person. Angalia heading, soma content, then tell me if u r getting anything out of it. Yaani ni ile heading tuu ili wauze. Na nimesema hii ni tabia ya mwanachi siku za karibuni. Hata kastatement kamoja kanaundiwa bonge la heading!

SOMA TANZANIA DAIMA DEC 31,2012 Mbowe alihutubia mkutano jimboni Karatu juzi na kusema kuwa kazi yake itakuwa kusimamia kupata viongozi bora wa kupeperusha bendera ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Kauli hiyo ya Mbowe ilimaliza uvumi uliokuwepo kuwa huenda angegombea, ila aliweka bayana kuwa mgombea wao wa mwaka 2010, Dk. Willibrod Slaa, bado anatosha kugombea wadhifa huo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya ya kuwapatia wabunge wengi
 
mbowe katumwa na mwenye chama mzee mtei.

hapo maamuzi yameamuliwa nyumbani kwenye familia. chama cha demokrasia uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hawajui maana ya demokrasia
 
NOTE:Itakua Jf na vyombo vingine vyote vya habari kipindi maalumu.Watanzania waoe sasa chui na simba waliojivika ngozi ya kondoo.
Inasikitisha sana,Mungu nisamehe

Kuweweseka ni kubaya sana, Jiandae tu kuwa katibu mwenezi wa CHAUUMA.
 
Tatizo linaanzia kwenye nukuu potofu ya magazeti kuhusu alichosema Mbowe kule Karatu. Ninachofahamu ni kwamba Mbowe alisema yeye binafsi hatagombea urais na kwamba Dk Slaa anafaa kugombea tena. Hakumtangaza Dk Slaa kuwa mgombea kama gazeti la Mwananchi linavyopotosha kwa makusudi, labda kwa maelekezo ya rafiki yao ZZK. Ndio maana somewhere katika hotuba yake amesema mgombea atachaguliwa na vikao vya chama wakati ukifika.
 
Zitto amelewa mvinyo,na anawayawaya,macho yake ni mekundu,anatembea kama mtu anayetaka msaada na huruma ya watembea kwa mguu, anatembea huku anaongea peke yake,anafikiri anaongea kwa sauti ya chini kumbe anapayuka na kila mtu anamsikia,watu wanamshangaa hawamuelei,wanajiuliza huyu ni kweli amelewa,anatutania,au tulikuwa hatumfahamu kumbe ndo alivyo.???!!!
 
w umeuona huo mgawanyiko wa vipande viwili???
coz zzk hajasema lolote, mtei na heche wamekubaliana na kauli ya mwenyekt wao, huo mgawanyiko upo wapi??
mi nimelisoma nkabaki hata sielewi
Watanzania tulikuwa tukiliheshimu sana gazeti la mwananchi nani moja kati ya magazetizi ambayo hununuliwa sana na wananchi. Lakini kwa sasa gazetihili limeanza kuonekana kuwa ni gazeti la udaku. Naamini kuwa limeanza kukosacredibility yake kwa wananchi. vipi mmeanza kazi sawa na gazeti la Uhuru?

Andikeni mambo yenye mantiki sio kuweka ubabaishaji. Ni gazeti hili tu ndoliliandika kuwa Mbowe amteua Slaa 2015. Kwani ni mwandishi wa mwananchi tualiyekuwa kwenye mkutano ule?

Mbonamagazeti yote yaliandika kinyume chacke..? Anzi gageri la Tanzania Daima janaliliandikajuu ya Mbowe kutogombea uraisi na kaziyake ni kuhakikisha kuwa Cdm inapata viongozi wazuri. Mwananchi unatupelekawapi sasa?

Leo tena mmekuja na hii stori ambayo haiendani kabisa na kichwa chahabari, vipi? Nini hakiendi tena vizuri kwenye kazi zenu za uandishi?

Heshimuni michango yenu ya kiuandishi iliwananchi tuendelee kuliheshimu gazetilenu! Acheni mfumo wa udaku!
 
dec 31,2012..katafute usomea acha uvivu kama vijana wa chadema . au ingia kwa google search TANZANIA DAIMA..UTAPATA KAMA huna ela ya kununua gazeti...

Kiongozi,hapa si Mbowe wala chadema waliomtangaza mgombea wa chadema wa uraisi mwaka 2015 kama reference yako ni kauli hii hapa chini.

Kauli hiyo ya Mbowe ilimaliza uvumi uliokuwepo kuwa huenda angegombea, ila aliweka bayana kuwa mgombea wao wa mwaka 2010, Dk. Willibrod Slaa, bado anatosha kugombea wadhifa huo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya ya kuwapatia wabunge wengi.

Hata mimi nina mawazo kama ya Mbowe na hakuna anayepuuza mchakato wa kidemokrasia kumpata mgombea bora wa urais wa chama uchaguzi ujao.Si Mbowe wala chadema waliotangaza mpaka sasa mgombea wa uraisi 2015 na wala hawajasema hakutakuwa na mchakato wa kidemokrasia kama wachache mnavyotaka kupotosha.Huyo mgombea wenu kipenzi achukue fomu wakati ukifika na Dr.Slaa pia,kisha na mwingine hata kama ni wewe then tuwapitishe kwenye michakato ya kidemokrasia.

Atakayeshinda apeperushe bendera na watakaoshindwa wamuumne mkono mshindi bila kinyongo kuhakikisha CCM hawatoki.By the way nikuulize,kwanini huyo mgombea wako kipenzi hata CCM wanamtaka?Huoni ameshapitwa kwa vigezo vya ushindani tayari kabla hata ya mchakato?Inakuwje adui akupendekezee kiongozi wa vita dhidi yake mwenyewe?
 
Sijaielewa habari mkuu CHADEMA imegawanyika vipi? mana kichwa cha habari haiendani na habari yenyewe ipotezeeni hilo gazeti
 
mti wenye matunda mazuri ni nadra kuepuka kurushiwa mawe!
 
Eti reliable evidence, hebu tupe basi za Kagoda, Meremeta, EPA, RICHMOND, DOWANS, n.k. Hayo ndiyo yanayolitesa taifa; au una mengine mapya, kwamba CDM wanatorosha twiga wetu.

Bila kutueleza huo wizi ambao unadirect effect na economic well being ya mtanzania tutakuona kenge tu!![/QU acha alete evidence tujue yupi mkweli kati ya kundi lenu na hilo jingine<japo mnakataa eti hakuna mgawanyiko>, hayo ya EPA,KAGODA etc ni kazi inayotakiwa kufanywa na vyombo vya dola.usimtoe nje ya mada kwani unaogopa nn jamaa akileta evidence hapa?
 
watanzania tulikuwa tukiliheshimu sana gazeti la mwananchi nani moja kati ya magazetizi ambayo hununuliwa sana na wananchi. Lakini kwa sasa gazetihili limeanza kuonekana kuwa ni gazeti la udaku. Naamini kuwa limeanza kukosacredibility yake kwa wananchi. Vipi mmeanza kazi sawa na gazeti la uhuru?

Andikeni mambo yenye mantiki sio kuweka ubabaishaji. Ni gazeti hili tu ndoliliandika kuwa mbowe amteua slaa 2015. Kwani ni mwandishi wa mwananchi tualiyekuwa kwenye mkutano ule?

Mbonamagazeti yote yaliandika kinyume chacke..? Anzi gageri la tanzania daima janaliliandikajuu ya mbowe kutogombea uraisi na kaziyake ni kuhakikisha kuwa cdm inapata viongozi wazuri. Mwananchi unatupelekawapi sasa?

Leo tena mmekuja na hii stori ambayo haiendani kabisa na kichwa chahabari, vipi? Nini hakiendi tena vizuri kwenye kazi zenu za uandishi?

Heshimuni michango yenu ya kiuandishi iliwananchi tuendelee kuliheshimu gazetilenu! Acheni mfumo wa udaku!

yani hadi 2015 kili chombo cha habari mtakiita maneno mabaya ya kila aina ..... Mana cdm mmezoe kusifiwa kwenda mbele...sasa mkiandikwa kinyume basi hicho chombo cha habari kimenunuliwa.... Hata tanzania daima nalo limenunuliwa na ccm sasa mana nalo limetoa hiyo taarifa .
 
kiongozi,hapa si mbowe wala chadema waliomtangaza mgombea wa chadema wa uraisi mwaka 2015 kama reference yako ni kauli hii hapa chini.



Hata mimi nina mawazo kama ya mbowe na hakuna anayepuuza mchakato wa kidemokrasia kumpata mgombea bora wa urais wa chama uchaguzi ujao.si mbowe wala chadema waliotangaza mpaka sasa mgombea wa uraisi 2015 na wala hawajasema hakutakuwa na mchakato wa kidemokrasia kama wachache mnavyotaka kupotosha.huyo mgombea wenu kipenzi achukue fomu wakati ukifika na dr.slaa pia,kisha na mwingine hata kama ni wewe then tuwapitishe kwenye michakato ya kidemokrasia.

Atakayeshinda apeperushe bendera na watakaoshindwa wamuumne mkono mshindi bila kinyongo kuhakikisha ccm hawatoki.by the way nikuulize,kwanini huyo mgombea wako kipenzi hata ccm wanamtaka?huoni ameshapitwa kwa vigezo vya ushindani tayari kabla hata ya mchakato?inakuwje adui akupendekezee kiongozi wa vita dhidi yake mwenyewe?

atapitishwaje huyo mwingine wakati Tayari mwenyekiti wa cdm ameshamtolea chapuo dr.slaa ,mzee mtei mwenye chama tayari ameshatoa tamko..
 
sijaielewa habari mkuu chadema imegawanyika vipi? Mana kichwa cha habari haiendani na habari yenyewe ipotezeeni hilo gazeti

unataka utafuniwe umezeshwe au unajiti upofu?????
 
hapa kuna jambo watu wanashindwa kuling'amua kwamba mnaweza kutofautiana kwa kujenga hoja ambazo kimsingi ni hoja kabla ya msimamo wa pamoja kitu ambacho ni kizuri ndicho kinachoendelea ndani ya cdm na si ugomvi kama magamba yanataka ieleweke pia kuna kutofautiana kwa shari(MFUMO WA KAWAIDA KWA MAGAMBA) Mfn.harakati zao za dodoma za kutaka kumng'oa mwenyekiti wao n.k.nahitmisha kwa kusema kwamba naomba gazeti kesho waweke na mimi maoni yangu kuwa pia namuunga mkono Dr. SLAA OVER!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom