Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

Mbowe alisema Dr Slaa atapewa fursa ya kugombea lakini yeye binafsi hatagombea. Mazingira ya kauli ya Mbowe ni baada ya magazeti na vyombo vingi vya habari kusema Mbowe na Dr slaa wapambana kwa ajili ya nafasi ya urais. Kuweka sawa kasema yeye hapana ila Dr Slaa atapewa nafasi tena kutokana maoni ya wananchi walio wengi.

Sasa hao wanaotaka kuchanganya habari lengo lao nini.

Ni mpango maalum huo.Wamepanic baada ya Mbowe kutoa kauli thabiti ya kiuanamapinduzi.
 
Mtoi aliuita mtego kwa vile Mwannachi iliripoti. Sasa kwa vile na Tanzania daima wamekariri, atakuja aseme; Kwa vile chama kimeamua basi ndio ivo ivo! Kuweni huru guys kutoa maon yenu hata kama yanapingana na chama. Hiyo ndiyo itakayosaidia kujenga taasisi yenye nguvu inayoweza kisimama peke yake badala ya kutegemea majina.

Mohamedi Mtoi,
Sijui yeye na Prof Baregu sijui nani mwenye nafasi Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mtoi aliuita mtego kwa vile Mwannachi iliripoti. Sasa kwa vile na Tanzania daima wamekariri, atakuja aseme; Kwa vile chama kimeamua basi ndio ivo ivo! Kuweni huru guys kutoa maon yenu hata kama yanapingana na chama. Hiyo ndiyo itakayosaidia kujenga taasisi yenye nguvu inayoweza kisimama peke yake badala ya kutegemea majina.

Ni aibu kuwa Masalia.Utachemsha tu.
 
mwenyekiti hawezi kuzungumza jambo bila baraka za vikao vya chama.”-mzee mtei

swali:kwako mzee mtei kama mkigundua kwamba kijana(mbowe) hakupata baraka za vikao mtamchukulia hatua gani labda?
 
[h=5]wengine kumuunga mkono zitto kuwamgombea urais 2015 ni laana na haramu! Ila mbowe kumuunga mkono slaa agombee urais 2015 ni ruru na ukomavu wa kisiasa! Tukiiacha hali hii iendelee kwa kuogopa kwamba utaniitwa mnafiki au umetumwa na ccm tutaishia kuzalisha maidiamini dada ndani ya taifa la amani.[/h]
 
Gazeti la mwananch sikuhizi wanaandika habari ya kuisifia chadema kesho yake wana ikandia,hiyo wanaifanya makusudi ili kuwagawa wananch,hako kamtindo nimejaribu kukafuatilia nimebaini hilo na nimejilisha kabisaa.mwananchi limekaa kimtego mtego na kwanguvu za allah hawato weza mwisho wake watakua kama gazeti la uhuru na mzalendo habari leo jambo sijui nini vile nk, magazeti yamebaki mawili tu,TANZANIA DAIMA NA MWANA HABARI hayo mengine ni yaudaku kama ya shigongo wa ccm

TANZANIA DAIMA DEC 31,2012 ( [TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #ffffff"][/TD]
[TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]ila aliweka bayana kuwa mgombea wao wa mwaka 2010, Dk. Willibrod Slaa, bado anatosha kugombea wadhifa huo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya ya kuwapatia wabunge wengi.
Msimamo huo wa Mbowe, jana ulitawala katika mijadala ya wananchi kwenye mazungumzo ya kawaida na mitandao ya kijamii, huku wengi wakimuunga mkono na kudai si king'ang'anizi wa madaraka.)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Gazeti la mwananch sikuhizi wanaandika habari ya kuisifia chadema kesho yake wana ikandia,hiyo wanaifanya makusudi ili kuwagawa wananch,hako kamtindo nimejaribu kukafuatilia nimebaini hilo na nimejilisha kabisaa.mwananchi limekaa kimtego mtego na kwanguvu za allah hawato weza mwisho wake watakua kama gazeti la uhuru na mzalendo habari leo jambo sijui nini vile nk, magazeti yamebaki mawili tu,TANZANIA DAIMA NA MWANA HABARI hayo mengine ni yaudaku kama ya shigongo wa ccm

Ni mtego wao wa siku nyingi wanautumia.
 
chadema acheni kuweweseka,onyesheni ukomavu wa kidemokrasia kwa njia ya vitendo,mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti yalishapitwaga na wakati
 
[h=5]wengine kumuunga mkono zitto kuwamgombea urais 2015 ni laana na haramu! Ila mbowe kumuunga mkono slaa agombee urais 2015 ni ruru na ukomavu wa kisiasa! Tukiiacha hali hii iendelee kwa kuogopa kwamba utaniitwa mnafiki au umetumwa na ccm tutaishia kuzalisha maidiamini dada ndani ya taifa la amani.[/h]

Masalia mmechemsha Mbaya.
 
Sijui hata nichangie nini. Nitarudi...
 
Nasikia mna vikao tangu juzi kuona ni namna gani mtakabiliana na kauli thabiti ya Mbowe.

Mkuu Molemo, soma kauli za Prof Baregu, na Dr Kitila Mkumbo.

Bado kauli ya Zitto, nikuchochea kuni mbichi ili moto uzidi kuwaka.
 
Last edited by a moderator:
Mpaka sasa siamini kama Hon.Mbowe alitaja jina la Dr.Slaa kuwa ndiye mgombea wa chadema.Nimeelewa kuwa alichokisema ni kuwa yeye(Mbowe) hatagombea urais na badala yake atakisaidia chama kupata wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo ya urais.Alienda mbele zaidi na kusema umakini unahitajika hasa kwenye nafasi ya urais ambayo inahitaji mgombea bora na makini na kwamba haipaswi kufanyiwa majaribio.

Binafsi naamini Slaa anafaa lakini sipuuzi mchakato wa kidemokrasia utakaompata mgombea bora hata kama matokeo yatakuwa kinyume na mapenzi yangu.Nafikiri twende mbali zaidi na kuelewa alichokisema Mbowe pale Karatu.Watu wenye access tunaomba mtuwekee clip ya video tusikie hasa alichokitamka mwenyekiti kisha tuanzie hapo.

Mkanganyiko upo hata kwa wajumbe wa kamati kuu waliotoa maoni yao kwenye gazeti hili.Wakati Mtei anasema Mbowe ametangaza maamuzi ya vikao halali(kwa maana ya kwamba yeye(Mtei) anaamini kuwa Mbowe ametamka hayo maneno),akina Mkumbo na Kitila wao wanasema mgombea atapatikana kwa vikao halali huku Baregu akihakikisha kabisa kuwa so far hakuna kikao kilichofanyika kumteua au kumpendekeza yeyote.Kwa maneno mengine akina Baregu na Kitila hawaamini kuwa Mbowe ametamka maneno hayo.

Nasisitiza kuna haja ya kuielewa kauli ya Mbowe na kuithibitisha kwa clips.Magazeti yanaweza kuwa yameamua kupotosha kwa makusudi na mzee Mtei nina wasiwasi ametoa maoni hayo akiamini kabisa kuwa ndivyo ilivyo.Alipaswa kujua Mbowe amesema nini kwa uhakika kabla ya kutoa maoni yake.

Inawezekana Mbowe hakutaja jina ila sifa hizo za mgombea anayetakiwa anazo Slaa basi watu wakaconclude tu kuwa Mbowe amemtaja Slaa kwa mawazo yao na ikizingatiwa ilikuwa ni Karatu,nyumbani kwa Slaa.
 
Alisema zitto ntagombea urais mzee mtei,mbowe na wengine povu liliwatoka sana leo mbowe kasema dr.slaa atagombea mzee mtei kafurahi na kusisitiz vikao ndo vimempitisha ..... Ndo cdm inajengwa hivyo haki ya wengi katika chama inazimwa na haki ya mmoja katika chama inakuwa juu
 
Kuwa kwenye kundi la kumpindua Mbowe PM7 ni zaidi ya Utoto.

Nadhani unafikiri mimi ni muuza chai kama wewe! Its Freshthinking, wenye mawazo mgando nikiwagundua huwa najitenga nao. All the best bro, nitakuwa nakusoma tu kujiepusha na shari.
 
Mkuu Molemo, soma kauli za Prof Baregu, na Dr Kitila Mkumbo.

Bado kauli ya Zitto, nikuchochea kuni mbichi ili moto uzidi kuwaka.
Ritz nafuraha sana sasa tunaona anguko la CDM mapema zaidi ya mategemeo yetu, hao wanaoendelea kuingiza vichwa chini ya mchanga ni zile juhudi za mbuni kuukimbia ukweli.
 
Tufanye sawa ni masalia na nimebadilisha ID kwa idadi ile unayoitaka wewe. Sasa tujadili hoja ikiwa ya kiuuzi achana nayo.

CHADEMA ni chama cha DEMOKRASIA sawa? Utaratibu wa CDM katika uteuzi wa wagombea ni upi? Kama Mbowe alichokifanya ni sehemu ya utaratibu, sema hivyo. Kama sio utaratibu pia unatakiwa kutamka hivyo. DR Kitila Mkumbo na Pro Baregu wamesema hawana uhakika kama Mbowe amesema kweli. Hii inamaanisha ikiwa amesema kweli, wanakwambia kuwa MBOWE amekosea. Kuweni majasiri wa kusema ukweli. Hizi zama tulizo nazo tunahitaji Freshthinking ili taifa lipige hatua.

Kilichokuwepo: Mbowe anautaka Urais sambamba na Dk Slaa (Kwa hiyo kuna mgogoro)
Mbowe: Dk Slaa anatosha, mimi siutaki Urais (Ujumbe kwa waliokuwa wanatengeneza mlinganyo wa mgogoro)
Dk Slaa: Watu wakitaka nitafanya hivyo (Taratibu za vikao haziaanza)
Prof. Baregu: Vikao havijaanza
Dk Mkumbo: NI kauli binafsi ya Mwenyekiti (vikao havijaanza)
Mtei: Ninamunga mkono Dk Slaa (Anaamini alisema kwa vikao)

HITIMISHO: Mtei amezeeka, ila kilichokuwa kinafanyika ni kuwajibu waliokuwa wanadhani Mbowe naye anautaka Urais
 
Back
Top Bottom