leo ndo mnao hilo bz limeandika mpasuku wa chadema???.... muulizeni mzee mtei kikao kimefanyika lini cha kumteu dr.slaa,, na mbowe akiwa kama mwenyekiti kwa nini leo atangaze mgombea wa urais ..haoni kama anakula mate yake mwenyewe ambayo kila siku anahubiri demokrasia ndani ya chadema.... ZITTO alitangaza nia povu liliwatoka mbowe ,mtei,dr.slaa leo katangazwa dr.slaa kuwa ndo mgombea hakuna shida... ukweli uko wazi ndani ya cdm hakuna demokrasi hata kidogo... wenye chama ni mbowe,slaa,mzee mtei na sasa anaingizwa lema...