Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

Nina wasiwasi sana na taarifa za Mwananchi, maana magazeti mengine ya jana
hayakuripoti kama Mbowe kamtangaza Dr Slaa kuwa mgombea.
Zaidi ya yote, Mwananchi limekuwa likimpigia sana Zitto parapanda

Mkuu Wimana nadhani unakumbuka miezi michache iliyopita lilivyowalisha maneno wabunge machachari wa Chadema Halima Mdee na Joshua Nassari kwamba wametangaza kumuunga Mkono Zitto Kabwe katika harakati zake za kuingia Ikulu.Kwa unafiki mkubwa gazeti hilo lilitoa mpaka Nukuu ya Uongo kutoka kwa wabunge hao.Lakini kilichoshangaza watu kesho yake wabunge hao walikanusha vikali habari hiyo na kutaka waombwe radhi.

Kwa hiyo wala watu hawashtuki wanavyoona habari za kijinga na za kupikwa kama hizi.
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa imenunuliwa sijui!yaan kichwa cha habari haiakisi habari yenyewe!wapi vipande viwili hapo?

Nahisi wewe ulikuwa mmoja wa wanafunzi wagumu kuelewa kama umeshamaliza shule, lakini kama bado basi walimu wako wanapata tabu ku-deliver message darasani. Unataka kuona vipande vya nguo au mbao au nini? Hujaona mawazo yanakinzana kwenye habari hiyo hapo juu iliyoandikwa na Mwananchi? Au umeshangaa gazeti lenu kuripoti habari zenu negatively? Read between lines, then perceive the inherent message, that is how you are required to read a piece of writing ok?
 
Gazeti la mwananchi lina maslahi na mtia nia mmoja wa Chadema katika kuusaka uraisi. Sina shaka hiyo heading pamoja na habari nzima itakuwa imeandikwa na kuhaririwa na mtia nia ndipo sasa ikaingizwa mtamboni kuchapwa.
Wacha waendelee na sarakasi zao tu lakini watambue kwamba sisi wenyewe tunajua nani atakayepeperusha bendera ya Chama chetu.
Na jambo la bahati nzuri ni kwamba hakuna vipande wala mapande ndani ya Chadema.

Mkuu Mwita Maranya umenena vema.Eti kikundi haramu cha kumpindua Mbowe-PM7 ndicho nacho kinadhani kinaweza kugawa Chadema makundi.Wakawaambie pale Lumumba kwamba tumewakuta wenyewe wako macho.
 
Last edited by a moderator:
yani uko sahihi kabisa ....kikubwa watu wanahoji mbona zitto alipotangaza nia ya urais 2015 mbowe ,mtei,dr.slaa walitokwa na povu lenye kutu lakini iweje leo wao ndo watangaze nia ndo waonekane wako sahihi..lakini zito akaonekana anakigawa chama

Si lazima kila siku utumie akili ya kuazima. Mbowe na Dr. Slaa hawajawahi kutoa tamko lolote kumpinga Zitto alipotangaza nia ya kutaka uraisi.

Lakini pia si Mbowe ama Dr. Slaa aliyetangaza kuwania uraisi 2015. Mbowe amekwenda mbali kwa kutangaza kuwa hana mpango wa kugombea uraisi 2015.

Sasa kama ni povu la kutu basi wewe ndiye linatiririka mithili ya bomba la maji machafu mitaa ya kariakoo.
 
SOMA TANZANIA DAIMA DEC 31,2012 Mbowe alihutubia mkutano jimboni Karatu juzi na kusema kuwa kazi yake itakuwa kusimamia kupata viongozi bora wa kupeperusha bendera ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Kauli hiyo ya Mbowe ilimaliza uvumi uliokuwepo kuwa huenda angegombea, ila aliweka bayana kuwa mgombea wao wa mwaka 2010, Dk. Willibrod Slaa, bado anatosha kugombea wadhifa huo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya ya kuwapatia wabunge wengi

Sidhani hata kama unajielewa unachoandika hapa. Mimi nazungumzia uandishi wa Mwananchi, wewe unaniambia nisome Tanzania Daima! Sasa Tanzania Daima ndio wataconfirm uandishi wa Mwananchi au? Kweli mpaka shule zifunguliwe tunakazi! (msemo huu kwa hisani ya Baba V)
 
Last edited by a moderator:
Nahisi wewe ulikuwa mmoja wa wanafunzi wagumu kuelewa kama umeshamaliza shule, lakini kama bado basi walimu wako wanapata tabu ku-deliver message darasani. Unataka kuona vipande vya nguo au mbao au nini? Hujaona mawazo yanakinzana kwenye habari hiyo hapo juu iliyoandikwa na Mwananchi? Au umeshangaa gazeti lenu kuripoti habari zenu negatively? Read between lines, then perceive the inherent message, that is how you are required to read a piece of writing ok?

Unajitia upofu kwa ujinga tu
 
Si lazima kila siku utumie akili ya kuazima. Mbowe na Dr. Slaa hawajawahi kutoa tamko lolote kumpinga Zitto alipotangaza nia ya kutaka uraisi.

Lakini pia si Mbowe ama Dr. Slaa aliyetangaza kuwania uraisi 2015. Mbowe amekwenda mbali kwa kutangaza kuwa hana mpango wa kugombea uraisi 2015.

Sasa kama ni povu la kutu basi wewe ndiye linatiririka mithili ya bomba la maji machafu mitaa ya kariakoo.

Hawa wahaini walipodanganyana kuanzisha PM7 walidhani ni kazi rahisi kumpindua Mbowe.Wakachemsha mbaya.
 
Nina wasiwasi sana na taarifa za Mwananchi, maana magazeti mengine ya jana
hayakuripoti kama Mbowe kamtangaza Dr Slaa kuwa mgombea.
Zaidi ya yote, Mwananchi limekuwa likimpigia sana Zitto parapanda
ha ha ha ha ha vipande vipande...pokea ukweli usilipake matope gazeti.. hayo ni maneno ya MZEE MWENYE CHAMA MTEI
 
Mkuu Mwita Maranya umenena vema.Eti kikundi haramu cha kumpindua Mbowe-PM7 ndicho nacho kinadhani kinaweza kugawa Chadema makundi.Wakawaambie pale Lumumba kwamba tumewakuta wenyewe wako macho.

Mkuu Molemo hao wahuni walipokuwa wana operate gizani angalau wangeweza kutusumbua. Sasa jua limewawakia ghafla wamepoteana bila kutarajia na sielewi ni kwanini mganga wao hakuwachanja dawa za kuwafanya wasionekane wanapokuwa kwenye mishemishe zao. Bahati nzuri sasa tunawafahamu kwa majina yao na hawajui kesho yao itakuwaje.
Mkuu nimeng'atwa sikio na mdau mmoja eti wameanza kumpigia simu Ben Saanane wakitaka kuonana nae kwa siri. Sijui kama umeinyaka hiyo?
 
Last edited by a moderator:
si lazima kila siku utumie akili ya kuazima. Mbowe na dr. Slaa hawajawahi kutoa tamko lolote kumpinga zitto alipotangaza nia ya kutaka uraisi.

Lakini pia si mbowe ama dr. Slaa aliyetangaza kuwania uraisi 2015. Mbowe amekwenda mbali kwa kutangaza kuwa hana mpango wa kugombea uraisi 2015...
Sasa kama ni povu la kutu basi wewe ndiye linatiririka mithili ya bomba la maji machafu mitaa ya kariakoo.

unapingana na ukweli?????... Mzee mtei ashatoa kauli dr.slaa ashapita na kikao tayari ha ha ha ha hii ndo chadema saccos bwana ....
 
Chama alikianzisha mzee mtei na ndio mwenyewe haki na chama chake hakuna mwingine ..... Wengine mnapiga kelele tu ... Mtei na mkwee mbowe kashesema dr.slaa 2015...... Hakuna demokrasia ndani ya cdm...
 
yani hadi 2015 kili chombo cha habari mtakiita maneno mabaya ya kila aina ..... Mana cdm mmezoe kusifiwa kwenda mbele...sasa mkiandikwa kinyume basi hicho chombo cha habari kimenunuliwa.... Hata tanzania daima nalo limenunuliwa na ccm sasa mana nalo limetoa hiyo taarifa .

Ndugu Kibe ulisoma vizuri gazeti la Tanzania Daima la jana? Nakualika urudie tena kulisoma ndipo utoe hoja zako. Kifupi Gazeti la Tanzania Daima la jana halikuandika mada hiyo kama unavyoelewa ww na kama ambavyo mwandishi wa gazeti la mwananchi alivyoliweka. Waliosma mada hii kwenye magazeti haya mawili na mengineyo watakubaliana na mimi kuwa mwandishi wa mwananchi alienda nje ya kile alichosema Mh. Mbowe, kwamba hatagombea uraisi na kwamba atahusika kusimamia kupata viongozi bora wa kupeperusha bendera ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini, bila kutaja kuwa mteule wa kiti cha urasi kwa chadema ni Dr.Slaa.
 
ndugu zangu, haya magazeti ni yawafanyabiashara, usitegemee kila siku yakaandika kukufurahisha wewe.
usishangae siku moja gazeti unaloliamini sana kikaandika kinyume na matumaini yako.
kwa sasa gazeti la tanzania daima kwa wanachedema mnaona ndio gazeti la ukweli, lakini kumbukeni gazeti hilo linamilikiwa na mtu. ipo siku mtu huyo atakufa au kubadilika kimtazamo hayo yanayoandikwa leo na kukufurahisha yataondoka.
tuchukue mfano mdogo. zitto anataka kugombea uenyekiti wa chadema ambapo atagombea na freeman na akashinda zitoo gazeti la tanzania daima litabaki kuandika mazuri ya chadema.
tulipofikia sasa tunatakiwa kuwa na gazeti linalomilikiwa na chama.

sasa tuje kwenye mada ya hapo juu. hauhitaji kuwa na akili sana kuona ulinganigu wa kichwa cha habari na habari yenyewe. sababu zifuatazo zinatosheleza.
1. kundi la kwanza ni zitto aliyejitangaza mwenyewe na la pili ni silaa aliyetangazwa na freeman
2. mtei kasema vikao na prof mwesiga kasema hakuna vikao vilivyopitisha
3. chadema sio chama cha mtu mmoja kwamba akisema yeye hakuna kupingwa.

nashindwa kuelewa kosa la mwandishi ni nini. kwani mlitaka aweke kichwa gani hapo.
kubalini hata msichokipenda.
ccm walikuwa wanasema hakuna makundi lakini wenye akili kidogo tu wameona walokofika.
chadema imepata umaarufu kwa sababu ya makundi ndani ya ccm.
unafikiri kusingekuwa na makundi wangejua juu ya ufisadi, sijui uswizi na mambo mengine .
angalieni makundi hayo hayo yatasababisha matatizo chadema.
kwa wenye akili kidogo wanaangaika kutatua lakini kwa ninyi wenye akili nyingi mnaangaika kukanusha vitu vya kweli.
sasa zito huyo anautaka uwenyekiti na zaidi uraisi sijui mtamfukuza badala ya kujipanga kumshinda katika michakato ya kichama.
 
ndugu kibe ulisoma vizuri gazeti la tanzania daima la jana? Nakualika urudie tena kulisoma ndipo utoe hoja zako. Kifupi gazeti la tanzania daima la jana halikuandika mada hiyo kama unavyoelewa ww na kama ambavyo mwandishi wa gazeti la mwananchi alivyoliweka. Waliosma mada hii kwenye magazeti haya mawili na mengineyo watakubaliana na mimi kuwa mwandishi wa mwananchi alienda nje ya kile alichosema mh. Mbowe, kwamba hatagombea uraisi na kwamba atahusika kusimamia kupata viongozi bora wa kupeperusha bendera ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini, bila kutaja kuwa mteule wa kiti cha urasi kwa chadema ni dr.slaa.
soma tz daiam la leo dec 31,2012
 
ndugu zangu, haya magazeti ni yawafanyabiashara, usitegemee kila siku yakaandika kukufurahisha wewe.
usishangae siku moja gazeti unaloliamini sana kikaandika kinyume na matumaini yako.
kwa sasa gazeti la tanzania daima kwa wanachedema mnaona ndio gazeti la ukweli, lakini kumbukeni gazeti hilo linamilikiwa na mtu. ipo siku mtu huyo atakufa au kubadilika kimtazamo hayo yanayoandikwa leo na kukufurahisha yataondoka.
tuchukue mfano mdogo. zitto anataka kugombea uenyekiti wa chadema ambapo atagombea na freeman na akashinda zitoo gazeti la tanzania daima litabaki kuandika mazuri ya chadema.
tulipofikia sasa tunatakiwa kuwa na gazeti linalomilikiwa na chama.

sasa tuje kwenye mada ya hapo juu. hauhitaji kuwa na akili sana kuona ulinganigu wa kichwa cha habari na habari yenyewe. sababu zifuatazo zinatosheleza.
1. kundi la kwanza ni zitto aliyejitangaza mwenyewe na la pili ni silaa aliyetangazwa na freeman
2. mtei kasema vikao na prof mwesiga kasema hakuna vikao vilivyopitisha
3. chadema sio chama cha mtu mmoja kwamba akisema yeye hakuna kupingwa.

nashindwa kuelewa kosa la mwandishi ni nini. kwani mlitaka aweke kichwa gani hapo.
kubalini hata msichokipenda.
ccm walikuwa wanasema hakuna makundi lakini wenye akili kidogo tu wameona walokofika.
chadema imepata umaarufu kwa sababu ya makundi ndani ya ccm.
unafikiri kusingekuwa na makundi wangejua juu ya ufisadi, sijui uswizi na mambo mengine .
angalieni makundi hayo hayo yatasababisha matatizo chadema.
kwa wenye akili kidogo wanaangaika kutatua lakini kwa ninyi wenye akili nyingi mnaangaika kukanusha vitu vya kweli.
sasa zito huyo anautaka uwenyekiti na zaidi uraisi sijui mtamfukuza badala ya kujipanga kumshinda katika michakato ya kichama.[/QUOTE
DAH UMEFUNGA KAZI .....WASIPOELEWA BASI WATAKUWA NDO HAO WANATAKA KUKIUA CHADEMA
 
PM7-Pindua Mbowe Group.
 
Ningeshangaa kama usinge changia kwa kauli kama hii! Hebu nenda mbele zaidi na useme kwa kusadifu mizania. Zk nae alikuwa kwa maagizo ya nani?! Kabla kamati kuu haijapitisha mgombea weka kwenye mizani majina mawili uone la nani linamzidi mwenzake uzito halafu peleka ripoti Lumumba uone ukiwa una wakabidhi ripoti nyuso zao zitakuwaje.

Asubuhi njema! Naona wewe ndio umeingia kazini rasmi kama kawaida 24/7 baadae kidogo kaka.

hata kama slaa anamzidi zito kwenye mzani huoni kwamba democracy process ni muhimu zifuatwe ili kionekane kweli ni chama cha democracy...kwani katiba yenu inasemaje kuhusu upatikanaji wa mgombea.au family ya mtei ikitamka ndo final?
 
Chama alikianzisha mzee mtei na ndio mwenyewe haki na chama chake hakuna mwingine ..... Wengine mnapiga kelele tu ... Mtei na mkwee mbowe kashesema dr.slaa 2015...... Hakuna demokrasia ndani ya cdm...

Masalia si mmeanzisha CHAUMA? Kagombeeni huko ndiko kwenye Demokrasia.Hakika na aishi milele Ben Saanane aliyewafunua na kubaki uchi na malengo yenu haramu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom