- Thread starter
- #261
Wewe si mwanafamilia wa Mbowe na Mtei.
Mpaka sasa umefikisha shilingi ngapi tangu juzi?
Wewe si mwanafamilia wa Mbowe na Mtei.
watch your bloodpressure man,i dont want to endup with a murdercase.TAKE EASY
Pilipili usiyoila yakuwashia nini.Huna udhu wa kuulizia Demokrasia ndani ya Chadema.Nenda Lumumba kaulize kuhusu Demokrasia.[/QU Natumain hatutakuona ukichangia thread yeyote inayowahusu CCM,tutakumbukusha methali nzuri uloiandika hapo juu kwamba pilipili usioila yakuwashian? Ungewashauri na wenzako wengi humu, kwao ya wenzao wanayakomalia ila ikija zamu yao wanataka watu wasiyaseme.
Pilipili usiyoila yakuwashia nini.Huna udhu wa kuulizia Demokrasia ndani ya Chadema.Nenda Lumumba kaulize kuhusu Demokrasia.[/QU Natumain hatutakuona ukichangia thread yeyote inayowahusu CCM,tutakumbukusha methali nzuri uloiandika hapo juu kwamba pilipili usioila yakuwashian? Ungewashauri na wenzako wengi humu, kwao ya wenzao wanayakomalia ila ikija zamu yao wanataka watu wasiyaseme.
Harufu ya Masalia.
Misheni yako imefeli vibaya.Kawaambie hivyo waliokutuma.
Mkuu utanigawia posho kidogo uliyopata.Maana kuanzia juzi tangu tamko hili thabiti limetolewa ulikuwa jamvini usiku na mchana.Night & Day...Mwakampya shemeji atapata cha kukaanga.
Narrow minded....
Gazeti la mwananchi lina maslahi na mtia nia mmoja wa Chadema katika kuusaka uraisi. Sina shaka hiyo heading pamoja na habari nzima itakuwa imeandikwa na kuhaririwa na mtia nia ndipo sasa ikaingizwa mtamboni kuchapwa.
Wacha waendelee na sarakasi zao tu lakini watambue kwamba sisi wenyewe tunajua nani atakayepeperusha bendera ya Chama chetu.
Na jambo la bahati nzuri ni kwamba hakuna vipande wala mapande ndani ya Chadema.
Mpaka sasa umefikisha shilingi ngapi tangu juzi?
Hivi CHADEMA ni mali ya mtu binafsi siyo? mbona wote mnamsakama Zitto tuu kwa nia yake ya kugombea uraisi. Kwani humo CHADEMA hakuna utaratibu wa watu kuomba nafasi na wakapigiwa kura?. Mnatutisha sana kwa sababu mnaonyesha jinsi gani mlivyo waovyo kwenye demokrasia.
Kitu kimoja tu cha msingi, msijidanganye, CHADEMA ni chama cha JF tu, ndiko alikotangazwa raisi mwaka 2010 kuwa SLAA, lakini mwisho wa siku mlipata wabunge wasiozidi 30 wa majimbo. Na sasa umaarufu wenu kimsingi haswa uko kwenye Jamii Forum tu. Watu wengi wameshawashtukia kwa kauli zenu, matendo yenu ambayo yanaashiria kukosa ukomavu kwenye siasa na mambo mbalimbali. Watu makini wameshaishtukia SACCOS hii ya Mtei. Mradi umeshakuwa mbovu. Wengi wenu mmeshaacha kufikiri kwa ubongo, badala yake mnatumia .... kufikiria, hakuna hoja, hoja yenu ni kwenda Ikulu 2015, Mtaisikia hivi hivi labda 2075
namskiliza jk hapa kwenye hotuba ya uzinduzi wa matokeo ya sensa
kikwete anapenda sifa sana
chipukizi wanamsifu hapa kwa tambo na kejeli yeye anacheeeeka,,
gesi haitoki mtwara kwa taarifa yake
na chadema ipo imara,,hakuna vipande vipande pale
hatutaki watu wa chadema kuingilia mgogoro wa gesi ya mtwara. Sisi watu wa mtwara tunawaambia wakae mbali kabisaaa. Shame upon them
chademakasmtei bana... Zzk alipotanganiza nia, mtei alikuja juu na kumwambia huu si wakati muafaka na atakivuruga chama. Mbowe kamtangaza slaa..mtei anaona ni wakati muafaka na si kuvuruga chama. Siasa za bongo ni full usanii na umimi.
Yani IT DOESNT MAKE ANY SENSE.mtu na mkwe wake wanakaa huko migombani then jamaa anaibuka kwenye public na kutangaza mgombea..demokrasia ya wapi hii ...KISHUMUNDU?..