Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Nicas Mtei kapeleka posa kimya kimya kwa muimbaji mmojawapo kwa Ambassadors of Christ Kigali Rwanda a.k.a KWETU PAZURI
 
Last edited by a moderator:
Baraza la mawaziri kufumuliwa Tena Jk kuchukua vichwa ndani ya JF...
zomba kuula uwaziri wa Gesi
fazaa kuwa kadhi mkuu
Rutashoba waziri wa Sheria na katiba

Duduwasha Waziri wa Starehe

Waziri wa Fedha bado
 
Kwanza ntaanza kwa kukusanya gesi zote za Watanzania walio hai kwa jina la kitaalam "mashuzi". Zile za Mtwara na Lindi tutaziacha hukohuko ardhini mpaka ziishe hizi tulizonazo wenyewe na hazihitaji utaalaam kutoka kwa kina Cameron kuzishughulikia.
 
oi oi oi oi
 
Breaking News: Baada ya misukosuko bungeni, Anna Makinda ameamua kuachia ngazi. Nafasi yake atamwachia Madam B.
 
Kwanza ntaanza kwa kukusanya gesi zote za Watanzania walio hai kwa jina la kitaalam "mashuzi". Zile za Mtwara na Lindi tutaziacha hukohuko ardhini mpaka ziishe hizi tulizonazo wenyewe na hazihitaji utaalaam kutoka kwa kina Cameron kuzishughulikia.
😛ound:
 
This thread will never die...
As time goes naona watu wanaanza kuweka udaku wa kweli sasa. hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom