Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Baada ya Baba V kwenda jela ,sasa hali si shwari,apelekewa barua ya kusimamishwa uongozi,na tetesi zinasema noahism amepewa kiti rasmi
 
Last edited by a moderator:
Hali si shwari kwa mwenyekiti wa CC kashfa zazidi kumuandama
1. Kontena la kondomu feki laingia chitchat, zakutwa zikiuzwa chitchat pub,
2.watoto wa mwenyekiti walamba division foo
3.suala la CV ya mwenyekiti lazua utata ahojiwa amesomea chuo gani maana taarifa zake zilizopo ni kidumu primary school ,
 
Ibrekie hapa hapa

Ila tuache utani, JF kuna udaku kulik0o gazeti la SANI! I was shocked nipo zangu facebook naona mtu ananiomba urafiki. Nikamwambia mbona sikujui kaka? Jamaa alinambia yeye ananifaham sana (note that I don't even use my real name on FaceBook). Akasema I am Roulette wa JF, I am XXX wa twitter, I am XXX wa LinkedIn etc. Wakati bado nashangaa shangaa akanambia nisiwe na wasiwasi maana yeye anajua sana kutunza siri, mfano anajua fulani wa JF anadate fulani, anajua alter ID ya fulani ni fulani, anajua fulani anaishe sehem fulani etc. By the time I had recovered my senses I just blocked the guy! Kama hapo anajiona ni mtunzi wa siri sijui angekua mropokaji ingekuaje Yaa Illahi!
Cc AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Heh, ndo maana mie fb napaogopa
Ila uliinjoi kwa kupata maneno kadhaa wa kadhaa, mie sio mbea kabisa, hebu nimegee nani anadate nani :smile-big::tape2:


Lazima akutishe, kwanza yeye taarifa zote hizo anatoa wapi?

Rule no1: Ukiona mtu ansema maneno ya watu sana kwako, jua na yako yako hadharani, bora um-block kabisa.

Ila tuache utani, JF kuna udaku kulik0o gazeti la SANI! I was shocked nipo zangu facebook naona mtu ananiomba urafiki. Nikamwambia mbona sikujui kaka? Jamaa alinambia yeye ananifaham sana (note that I don't even use my real name on FaceBook). Akasema I am Roulette wa JF, I am XXX wa twitter, I am XXX wa LinkedIn etc. Wakati bado nashangaa shangaa akanambia nisiwe na wasiwasi maana yeye anajua sana kutunza siri, mfano anajua fulani wa JF anadate fulani, anajua alter ID ya fulani ni fulani, anajua fulani anaishe sehem fulani etc. By the time I had recovered my senses I just blocked the guy! Kama hapo anajiona ni mtunzi wa siri sijui angekua mropokaji ingekuaje Yaa Illahi!
Cc AshaDii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom