Name calling! mtu wa aina hiyo, tena anae m'winda kongosho ni mmoja tu hapa jf. lolDuh, ze gazeti iz bak..
Jei efu selebriti The Finest amgongea jiti mwandishi wetu kwenye kituo cha daladala. Amlaumu Invizibo baada ya singo yake kutofanya vizuri. Adai sauti ya Invizibo imeharibu pozi..
Kumbe Kongosho ni Dume? Kijeba mmoja wa Kihaya anusurika kufa kwa mshtuko kwa aliyoyaona.
Name calling! mtu wa aina hiyo, tena anae m'winda kongosho ni mmoja tu hapa jf. lol
Name calling! mtu wa aina hiyo, tena anae m'winda kongosho ni mmoja tu hapa jf. lol
Olala! You mean hashy ni polygamist? Sasa Michelle kakubali?ujue mie ni mke mwanza wa Michelle?
Mme mkubwa atanuna ukiniita ivo bana.
Olala! You mean hashy ni polygamous? Sasa Michelle kakubali?
'Baada ya RussianRoulette kukosa usingizi mfululizo
aishtukia Avatar yake kuwa ndio chanzo na kuamua kuibadili kimya kimya'
Afu aje airudishe ile
Kile kifua hunipunguzia stress zangu kweli
Hata hii ni nzuri
Ila mie ni addict wa vifua saa sita
Name calling! mtu wa aina hiyo, tena anae m'winda kongosho ni mmoja tu hapa jf. lol
mie namhurumia mtu huyo
asante kwa kunitetea
asije wakampaisha bure
Mtaje, acha woga ban a!
@RussianRoulette uko wapi bibie? nime ku miss!!!!!!!!!!Hivi nilikua wapi? mbona sikuiona hii thread? hahahaha
@Level Akutwa na @TANMO Mitaa ya Magomeni mapipa akiwa amelewa chakaliiiMzizi mkavu apandishwa kizimbani mahakama moja na mzee wa loliondo mwasapile
Nipo mkuu MziziMkavu...naona leo umeamua kulisoma tena gazeti letu la Udaku JF... Hivi ulipata habari kua EMT ni kibabu? Miaka yenyewe sio mbaya ila sasa anavo jifanya pedeshee humu ndani watoto hawakutegemea atakua wa 1947. hahahaha@RussianRoulette uko wapi bibie? nime ku miss!!!!!!!!!!
Kongosho asababisha pressure ya Bishanga kwenda juu na sukari kwenda chini baada ya post yake ninayo inukuu hapa. Invisible akanusha kauli hili: hakuna PM zilizo changanya amwambia TANMO, mwandishi wetu wa habari.matengenezo ya jf yazua balaa, PM za members zahamishiwa inbox ya kongosho.
Wadau kadhaa wapanda dau ili afute PM zao, wengine wajitosa kununua PM za mastaa wa jf.
Stay tuned kwa matukio zaidi.
Ila yanayompata Bishanga PM yanatia huruma.
MziziMkavu unayo dawa yoyote ya kupunga uzee.Nipo mkuu MziziMkavu...naona leo umeamua kulisoma tena gazeti letu la Udaku JF... Hivi ulipata habari kua EMT ni kibabu? Miaka yenyewe sio mbaya ila sasa anavo jifanya pedeshee humu ndani watoto hawakutegemea atakua wa 1947. hahahaha