hahahaha....lol, naona leo Asprin umekuja na stail mpya. Ina maana hii post haikuwa kwenye jukwaa husika? ingetakiwa iwe hapa kwenye gazeti letu pendwa?Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10
mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo
safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta kijana unayeendana naye akupe kampani tuuu
hivi jamani nafasi za kazi voda zipo?
AN AMAZING DAY WITH MY FRIEND...
huyu ndio kiboko ya ma sista duu wa Dar...mkwanja anao...ofisi ni airpot lounges, hana shida ya pesa, mume mzungu what more could a girl ask for?
Sasa anamfaidi vipi Bishanga?Nilidhani ungemuonea huruma bashaija...... Eliza wa tegeta ni bonge la Dume!
hahahaha....lol, naona leo Asprin umekuja na stail mpya. Ina maana hii post haikuwa kwenye jukwaa husika? ingetakiwa iwe hapa kwenye gazeti letu pendwa?
Sasa anamfaidi vipi Bishanga?
"kaizer akutwa katika mtaro mkoa jirani baada ya kufakamia pombe alipokuwa amekwenda kwa matembezi w/end habari zaidi zitatolewa pindi muhusika atakapozinduka"
Hebu endelea kutujuza habari zake...Umeenda kumficha wapi? sijamuona tena baada ya kurusha lile kombora!!
excellent bana,ujanja wooooote unaingizwa mjini na aspirin? Wivu tu unamsumbua.We muulize fairway kaunta huwa anakunywa na nani?Gazeti letu la udaku limefikiwa na tetesi kuwa Bishanga amemweka ndani Eliza wa tegeta,
tulimtafuta mtu wa karibu na Eliza Tegeta ambapo hilo chanzo lilidai Eliza wa Tegeta ni dume la mbegu.
gazeti letu ilipowatafuta kwenye simu namba zao hazikupatikana hewani.
naona watu wengi wanadaadisi sana juu ya jinsia ya kongosho...sasa ngoja ntamvizia halafu nimfunue ile nguo yake....!!(sijui ni msuli au shuka lile..!?)...kisha ntakuja kuweka wazi hapa...ngoja tu..!!
yabainika:
kumbe Ashadii ni Wema Sepetu.
diamond (bishanga) + wema sepetu (Ashadii),well mmmmhhhh sounds nice!!!!!!!!
Yaani sikujua waswahili wanapenda udaku this much!
Shigongo alikua listed kwenye forbes list of rich tanzanians na alimshinda rostam na lowassa kwa utajiri.
habari zakusikitisha
baada ya kaizer kuzinduka katika usingizi wa pono uliochanganyika na mning'inio
amerukwa na akili na kwasasa anaongea vitu visivyoeleweka pia anachanganya
wageni wanaokwenda kumtembelea,
vyanzo vyetu vya habari vinapasha kwamba hii inatokana na muhusika kunywa pombe iliyochanganyika
na kinyesi pamoja na majivu ya sigara
hadi tunaingia mitambo muhika Kaizeer yupo kwenye gari ya wagonjwa tayari kukimbizwa katika hospital ya vichaa mjini dom akisindikizwa na Ashadii na Mr. Rocky
hapa nipo karibu na asprin ambaye ni ndugu wa karibu wa Kaizer
lakini ameshindwa kuongelea swala hili kutokana na mshangao alionao
nitaendelea kuwajuza hali ya mgonjwa inavyoendelea
hahahah...bishanga bana....could it be kwamba kuna watu wanasubiria kama fisi anavosubiria mkono wa binadamu udondoke? watasibiri sana lol
I back sweetie...huu ni UDAKU na upo kwenye UDAKU so utabaki kuwa UDAKU...lol:hug::hug:
Oh Sweetie.... (Kuna speacial treat leo.....:A S-heart-2🙂
tangazo maalum:
nahama rasmi uzi huu,narudi zagu nyumbani mmu,Tanmo byeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
It was good as long as it lasted,ciao and gratias amigo!!!!!!!!!!
we smile wewe hivi unampenda rejao au unapenda mpua wake ambao umekaa ka mpiga filimbi wa hamelini?
Hatimaye ukweli wadhihiri........ Blaki Womani ni shombe wa Kisomali.habari zakusikitisha
baada ya kaizer kuzinduka katika usingizi wa pono uliochanganyika na mning'inio
amerukwa na akili na kwasasa anaongea vitu visivyoeleweka pia anachanganya
wageni wanaokwenda kumtembelea,
vyanzo vyetu vya habari vinapasha kwamba hii inatokana na muhusika kunywa pombe iliyochanganyika
na kinyesi pamoja na majivu ya sigara
hadi tunaingia mitambo muhika Kaizeer yupo kwenye gari ya wagonjwa tayari kukimbizwa katika hospital ya vichaa mjini dom akisindikizwa na Ashadii na Mr. Rocky
hapa nipo karibu na asprin ambaye ni ndugu wa karibu wa Kaizer
lakini ameshindwa kuongelea swala hili kutokana na mshangao alionao
nitaendelea kuwajuza hali ya mgonjwa inavyoendelea
Hatimaye ukweli wadhihiri........ Blaki Womani ni shombe wa Kisomali.