Gazeti letu la Udaku JF..

breaking news:
Nyumba Kubwa has been divorced.Her husband says he divorced her because of rumours about her 'inapropriate' relationship with a person known by a single name 'bishanga'.More coverage news to follow.
Nalog off (source:washawasha).
 
Rejao ang'olewa pua akigombea baamedi kwenye bar ya bulyaga temeke,yadaiwa baamed mwenyewe jina lake linaanza na H....
 
Baada ya Bishanga kukataliwa na Husyninyo, amvurumushia skeno la kuwa baamedi na kumumunya pua ya Rejao hado kuimaliza yote akijidai ni mapenzi ya kimagharibi

habari kamimi uk wa krillion 6.
Rejao ang'olewa pua akigombea baamedi kwenye bar ya bulyaga temeke,yadaiwa baamed mwenyewe jina lake linaanza na H....
 
Dah!!! Kudadekiii...wajuba mmechafua CV yangu nikimdaka mmoja wenu lazima nikamlaze pale Keko....
 
Usikose gazeti klako ulipendalo la JF Udaku Jumatatu ijayo ikiwa na kali zifuataza:
Husninyo azua balaa mtaani. Kisa, afumwa na kopo la kuogea lililopota wiki iliyopita likiwa uvunguni mwa kitanda chake
Mchungaji masanilo atoa mpya msibani. Ametoa kisa gani, pata nakala yako kwa habari kamili
Faiza aibiwa mtandio, sasa hawezi kutoka ndani. Alonga na kumtaja mwizi wake. Ukitaka kumjua usikose nakama ya JF Udaku
Ubalozi wamnyima Viza The Finest. JF Udaku lina kisa kamili kwa nini ametendewa hivyo
Lizzy apanga kuhama mtaa baada ya muuza gongo wa mtaa kukamatwa na polisi. Alonga na JF Udaku na kuhoji sasa kinywaji atakopa wapi?
Na habari nyingine kemkem za kufurahisha na kuburudisha usikose nakala yakop. Wahi mapema kwa maana nakala ni chache
 
wala paparazi wako asipoteze muda,we nenda muhimbili kacheki Lizzy anaendeleaje,mi na eliza tumeondoka jana usiku na KLM,we are in Nassau,Bahamas kwenye hanemuni,tumefikia hoteli inaitwa Imperial Palace,chumba dola elfu nne kwa siku,karibu Mkuu!
Bishanga atoroka na mke wa mtu, ajificha Mareromango akisingizia yuko majuu
 
Kweli JF inatisha. Kuna ladha za kila aina.Hata udaku pia?
Nimecheka sana leo.Aliyetia fora ni Rejao na TF hahahha.....
mbona mmeonewa sana kwenye kupakaziwa wapendwa?
 
Kweli JF inatisha. Kuna ladha za kila aina.Hata udaku pia?
Nimecheka sana leo.Aliyetia fora ni Rejao na TF hahahha.....
mbona mmeonewa sana kwenye kupakaziwa wapendwa?
Ndio walio jibu sana uchokozi pale mwanzo basi ikawa funier kuwatangaza wenyewe. lol
 
yabainika:
Kongosho kumbe ni androgynious,si mwanamke na wala si mwanaume,taarifa hizi zimedhibitishwa na dokta mkuu wa muhimbili dr the Rocky.
 
Ndio walio jibu sana uchokozi pale mwanzo basi ikawa funier kuwatangaza wenyewe. lol
Oh ok!!
Nimeshindwa kufuatilia uzi ulivyoanza hadi sasa ila hzo posts chache nilizoweza kusoma ni wao wametawala, wakifuatiwa na Lizzy, Bishanga,FF..........
So funneyyyy!!
 
Thread hii ilinifanya jana nichelewe kulala
baba mwenye nyumba amfungia Excellent nje baada ya kuchelewa. mqwenyewe asema alikuwa cafe akacheleweshwa na sred za JF. lakini wajuzi wasema alikuwa kwa bibi poa akipata machozi ya simba
 
Samora10 akamatwa,aswekwa ndani central police maputo,hii ni baada ya kuji masquerade kuwa yeye ndo last born wa samora machel kumbe ni mmang'ati wa mbulu kulalaleki alitaka kumtapeli reginald mengi wa msumbiji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…