Gazeti letu la Udaku JF..

tokea nimeijua jf hamna topic iliyonichekesha kama hii.

Marytina je??????????????
marytina atoswa na mzungu wake,ni yule aliempeleka vacation dubai,AMPONDA asema kwanza haui mapenzi ni legelege SANA, ADAI PIA HAWEZI KUISHI HATA SEKUNDE MOJA BILA MWANAUME, ahaha kutafuta mateja uswahilini

 
He hii ni thread ya kufungia mwaka duh nimecheka sana aisee
sherehe ya besedei ya Dena Amsi yaingia tope...atoroka ukumbini na kuwaacha wageni waalikwa na kukutwa nyuma ya ukumbi kakumbatiwa na Bujibuji...wageni waalikwa wasusia sherehe ...mwenyewe aulizwa na kusema : hata wajinyonge kwake nimefika!!
 
HATARI .... ni kwa waandishi wa gazeti la udaku JF..Super Moderator aingia mtaani kusaka wabaya wake...inasemekana anatembea na gobole la BAN..ahojiwa na kusema kwa nyodo :

Hahahahaha, ngoja sasa niwarudilie watu wote walio nitaja kwa hasiraaaaa hahaha
Yaani nyinyi watu hamfai kabisa! hahahahaha nimecheka sana, ngoja niondoke kwanza maana 'ze job won't do itself" hahahaha
 
Pamoja na The Boss kuishi maisha mazuri kupita maelezo,wazazi wake bado wanalala katika nyumba ya mbavu za mbwa kijijini kwao.
Baada ya kufumaniw,Dr.Riwa ampa Tanmo betri za saa badala ya Klorokwini,macho ya Tanmo sasa yanafumba na kufumbuka kama saa za kimwekumweku.
Aminata 9 na Saint Ivuga wafungishwa ndo ya mkeka na X-Paster.
Imefahamika kuwa Feis buku ana mpenzi nje ndoa.
Bikra wa kiume abakwa na Missy baada ya kujiunga katika forum hii jana.
Badili tabia aibiwa kufuli yake na Kaka Jambazi.
Flora Msoffe ana mapenzi ya kisela na Njiwa.
Imefahamika kumbe Tausi Mzalendo ana mapenzi na Mafia Kisiwani.
Afrodenzi na Dena Amsi wazichapa kavukavu.
Kongosho kumbe ni Waziri Starehe na Mambo yasiyo ya Lazima katika serikali ya Jakaya Kikwete.
Rejao,Malaria Sugu,Faiza Foxy,Njiwa na mwita 25 waanzasha chama chao cha siasa.Chama Cha Tanganyika(CCT)
Excellent atoa single mpya ya Taarabu.
Kaka Kiiza apiga picha zote za fumanizi la Smile.
Sniper akodishwa kutoka Al shabab na Daughter ili kuja kuwaua vigogo wa serikali ya Jk
Nalog off
 
Hahahahaha, ngoja sasa niwarudilie watu wote walio nitaja kwa hasiraaaaa hahaha
ILE PARTY YA KUMKARIBISHA NYANI NGABU NYUMBANI KWA RUSSIANRoulette WAGENI WAKIONGOZWA NA LIZZY NA THE BOSS WAGOMA KULA CHAKULA,
CHAKULA KILIKUWA NI MAHARAGE NA SAMBUSA, RUSSIANRoulette AWABEMBELEZA ADAI AMEYAPIKA KWA UTAALAMU MKUBWA ADAI ANA PHD YA UPISHI WA MAHARAGE AWAONYESHA CHETI.
 

Hiyo kweli udaku,mwandishi amenifananisha.

Kijana aliyeishi maisha magumu miaka 34 iliyopita,biashara yake ya kuuza matembele mitaa ya mbagala kiburugwa yamwnua kiuchumi,sasa anajulikana kwa jina la Papa washawasha mjini.
 
Taharuki blue pearl hotel;The Finest aaibishwa akiwa ktk kidate na Sweetlady,Sharobaro wa ukweli Klorokwin aibuka na kumvua viatu alivyokuwa amemuazima,Sweetlady aficha sura yake kwa aibu
 
Baada ya shangazi kumdhalilisha mkewe; Washawasha sasa ahaha!kamfukuza mkewe ili amfuatilie jirani aliyeacha chupi bafuni.Yabainika jirani mwenyewe ni Cantalisia.
hahaha haya bana 😛oa.Nalog off
 
Hiyo kweli udaku,mwandishi amenifananisha.

Kijana aliyeishi maisha magumu miaka 34 iliyopita,biashara yake ya kuuza matembele mitaa ya mbagala kiburugwa yamwnua kiuchumi,sasa anajulikana kwa jina la Papa washawasha mjini.
hahaha eh bana eh 😛oa! Kiburugwa ndio uswazi kwangu aisee,nani kakuambia? Excellent anyang'anywa mic na Malila alipokuwa akiutambulisha wimbo wake mpya wa Kinanda unaoitwa ''Nataka kuoa'' Nalog off
 
imegundulika kuwa Mchungaji Masanilo amesilimu.
Hii ni baada ya kuhadiwa kisima cha mafuta huko Arabuni dats why ana aibu kuingia JF
 
LOLZZZZZ.
Mkongwe mmoja wa JF (jina kapuni kwa woga wa ban) akamatwa akiiba sigara aina ya nyota kwa sindano aliyounganisha na mti. Mwenye duka aahidi kumfikisha kortini.
Du! Hiyo mbinu kali, nilikuwa sijapata kuisikia!
 
imefahamika kuwa feisbuku ni mtoto wa kizito mmoja huko uarabuni,
alitorokea bongo akifuata penzi la mwita25.
 


Ha ha ha ha ha ha kweli huu ni udaku kha???
 
Mlimbwende matata wa jf mwenye bikira aamua kuiweka sokoni bidhaa hiyo, mlimbwebde huyo anayejulikana kwa jina la Zinduna amenyetisha anamlenga pedeshee maarufu hapa jf.
Habari kamili uk 69815
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…