sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
duhhhhhhhh chabo tena
hahahahahaahah
naona umenianzia ..
Breaking news Husninyo adokeza anataka kuweka avatar ya sura yake kabisa . Husninyo alipiga picha hii dakika 30 zilizopita.. na mpiga picha wenu Da mie..
Hahahahaha!!! LolBreaking news Husninyo adokeza anataka kuweka avatar ya sura yake kabisa . Husninyo alipiga picha hii dakika 30 zilizopita.. na mpiga picha wenu Da mie..
HALI YAZIDI KUWA TATA KUHUSU WIGI LA afrodenzi...yasemekana lilipotea katika mazingira ya kutatanisha kutoka kwa mmiliki wake halali Faiza foxy..mwenyewe adai tangu lipotee amekuwa akivaa baibui kuficha kichwa chake..pia alonga kuwa anamjua mwizi wake (jina kapuni)..na kesi ipo polisi..Siri zaidi zafichuka kuhusu wigi la afrodenzi,aliliazima kwa lizzy,yeyebmwenyewe akataa kumzungumzia sakata hilo akwepa kamera aingia mitini.
duhhhhhhhh chabo tena
hahahahahaahah
naona umenianzia ..
Breaking news Husninyo adokeza anataka kuweka avatar ya sura yake kabisa . Husninyo alipiga picha hii dakika 30 zilizopita.. na mpiga picha wenu Da mie..
Ritz aja juu baada ya Husniyo kutaka kuweka picha yake halisi,asema kuwa kama kweli huyo ndio husninyo basi ni ndugu yake maana wanafanana sana na avatar ya ritz.
Kibarua cha Sulpadoxine matatani..!! Bosi wake adai sulphadoxine ni mgonjwa na ameshatafuta daktar bingwa kutoka milembe..acheka pake yake ofisini..wahisi ni kichaa!! Amepatwa na nini....soma zaidi ukurasa wa 119..Hiii thridi kiboko maana mtu unacheka peke yako hadi wateja wanakushangaa,hasa sisi ambao tupo kastama kea,acha tuuuu.
Wacha1 na Peasant washangilia ushindi wa timu zao kwa staili ya aina yake. Watembea nusu uchi mitaani wakishangilia..
:lol::lol:The finest na bujibuji waumizana vibaya baada ya kutokea mabishano kuwa Avatar ya katavi ndio sura yake halisi,The finest aingia mitini baada ya kuzidiwa nguvu.Katavi aja juu apanga kwenda mahakamni kuwashitaki wote wawli,habari kamili ukurasa wa 1115.
Kibarua cha Sulpadoxine matatani..!! Bosi wake adai sulphadoxine ni mgonjwa na ameshatafuta daktar bingwa kutoka milembe..acheka pake yake ofisini..wahisi ni kichaa!! Amepatwa na nini....soma zaidi ukurasa wa 119..
Dena Amsi na Kabakabana
DJ babu akichanganya mambo kwenye JF bday party ya wapendwa wetu wawili.. Picha na mtunzi wenu Katavi..
Nyote mnakaribishwa..
HABARI NJEMA KWA WOOTE...!! HATIMAYE GAZETU LA JF UDAKU KUWA KAMA KITABU..IDADI ZA KURASA ZAZIDI KILA SIKU...SASA ZADAIWA KUFIKIA KURASA 50,000 MPAKA KUFIKIA MWISHO WA SIKU YA LEO..YASEMEKANA WATU MAARUFU JF WAOONGOZA KWA SKENDO CHAFU..MMILIKI WA JF KUANDAA SHINDANO LA KUMPATA KINARA WA SKENDO...the finest aonekana kuongoza akiwaacha Husninyo, lizzy, afrodenz, mzizi mkavu na sulphadoxine kwa karibu sana..The finest na bujibuji waumizana vibaya baada ya kutokea mabishano kuwa Avatar ya katavi ndio sura yake halisi,The finest aingia mitini baada ya kuzidiwa nguvu.Katavi aja juu apanga kwenda mahakamni kuwashitaki wote wawli,habari kamili ukurasa wa 1115.
ngoja wakuone kina sijui nini na sulfa..maana kamera zao ni noma aiseee..
Hili gazeti la udaku mimi nitakuwa sina skendo kabisa
Kutokana na kwamba JF imeweza kuwa mtandao mkubwa ambao imetokea kuwepo hata Masupastaa wake nadhani ni muda mwafaka kwa wajasiriamali tukaanzisha Gazeti letu ambalo litakuwa linatoa habari kuhusu watu maarufu wa Jf, nina imani tutapata soko.
hebu fikiria vichwa vya habari kama:
--"Siwezi kuchangia mada bila kuvuta msuba" King'asti
--"Sitaki mwingine, wa sasa ananitosha" Nazjaz
--Nyani Ngabu abaka tena, madaktari wasema tatizo lake linatibika
--Kongosho aapa kunywa sumu iwapo atamkosa The Boss
--Mzee Mwanakijiji afumaniwa na Agel Msoffe wakiwa katika mkao wa hatari
--"Marafiki zangu wote ni wanafiki" - Lizzy
--"Ninamzimia sana Invizibo" - Mamndenyi
--Mzee Mtambuzi akiri kumsaliti mkewe mara kumi
--"Nimashatembea na wanawake 1000" - Bishanga
--Figanigga aka mzee wa Mia apata kimwana mpya, asema ndoa ni kabla ya mwaka mpya
--Kumbe na usista duu wake wote Husninyo anaishi kwa mikopo!!!!
--The Finest agonganisha vimwana, mwenyewe aingia mitini , tifu zito latokea
--"Nilianza kunywa pombe nikiwa na miaka mitatu" - Babu Asprin
--Asilimia kubwa ya waumini wangu ni Wanawake - Rev Masanilo
--PAW amlima Ban Washawasha kwa kulog off kila mara
--Saint Ivuga anyang'anywa mke
Hivyo ni kwa uchache tu, wazo hilo kwa yeyote ambaye yuko interestedi awasiliane na mimi tuanze utaratibu wa kulisajili Gazeti letu kabla ya mwaka mpya..
Mapendo.
TANMO
Please ackowledge source
ahahaaaaaaaaaaabreaking news: Ma moderators wa jf kuanzisha utaratibu mpya wa pm.. Yadaiwa pm zooote zitakuwa zinakuja kama post za kawaida hadharani..lengo ni kudhibiti tabia za watu wanaotumia pm kutongozea wake za watu...