britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,177
- 41,623
Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya.
Britanicca
Britanicca
Msemaji wa Serikali atakuja kutoa ufafanuziGazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya.
View attachment 3364690
Britanicca
Samia ameharibu sana mambo kwa kushindwa tu kuruhusu demokrasia kuchukua mkondo wake.Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya.
View attachment 3364690
Britanicca
Au watawaita wachocheziWanaweza kukana wakasema huyo hatakuwa samia wa nchi ghana.
Mimi nimejiandikisha kigongoni shule ya msingi-arusha sitopiga kuraNo reforms no election
Natoa taarifa kuwa nimejiandikisha kituo cha shule ya msingi minazini iliyopo kurasini Dar.
Mm SITAPIGA KURA lakini nitafuatilia
Ole wake mtu apige kura kwa niaba yangu hapo October
Sure ameharibu vibaya angeruhusu demokrasia ata ya kubumba angeshinda uraisi Kwa raha ,,viti 272 vya ubunge we kubali poteza viti 30, angekuwa na hasara ganiSamia ameharibu sana mambo kwa kushindwa tu kuruhusu demokrasia kuchukua mkondo wake.