Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

Kwani ukivaa nguo za ccm zile njano na kijani na kofia unakuwa ni mwanachama wa chadema?

Je vipi lingeripoti kwamba ni mwanachama wa chadema wangelifungia?
Nilitege.ea ccm ndio wangeanza kukanusha ila hii serikali ni ya kihuni Sana nayo.

Sheria za hii Nchi Kama zisipobadilishwa hata aje malaika gani ni upumbavu tu utaendelea.

We need constitutional reform.
 
Mnataka katiba mpya ili ichekelee upuuzi kama huo wa hilo gazeti? Hivyo vichwa vyao vya habari unaona vipo sahihi? Kwa nia yenu hii ovu ya kutaka katiba mpya basi hamtokuja ipata, nchi lazima iwe na nidhamu na njia zake za kujiendesha! Huo upuuzi wenu tafuteni nchi nyingine mkaufanye! Mother endelea kuchapa hawa wajasiriasiasa waliopoteana kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…