Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,202
- 12,900
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
Pia soma: Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa
Raia mwema linastahiki kufungiwa linapotosha sana
Mnataka katiba mpya ili ichekelee upuuzi kama huo wa hilo gazeti? Hivyo vichwa vyao vya habari unaona vipo sahihi? Kwa nia yenu hii ovu ya kutaka katiba mpya basi hamtokuja ipata, nchi lazima iwe na nidhamu na njia zake za kujiendesha! Huo upuuzi wenu tafuteni nchi nyingine mkaufanye! Mother endelea kuchapa hawa wajasiriasiasa waliopoteana kwa sasaKwani ukivaa nguo za ccm zile njano na kijani na kofia unakuwa ni mwanachama wa chadema?
Je vipi lingeripoti kwamba ni mwanachama wa chadema wangelifungia?
Sheria za hii Nchi Kama zisipobadilishwa hata aje malaika gani ni upumbavu tu utaendelea
Katiba mpya haikwepeki
We need constitutional reform.