Gazeti la rai laondolewa sokoni leo

TANleaks

Member
Dec 22, 2010
24
0
Gazeti la Rai limekusanywa leo na halipatikani kabisa. Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa lilikuwa na habari inayoonyesha kuwa Beno Malissa na Ridhwan Kikwete wanaandaa mapinduzi ya kumng'oa Katibu wa UVCCM Martine Shigella. Taarifa za ndani kutoka Habari Cooperation zinaeleza kuwa habari hiyo iliwanukuu wenyeviti 17 wa UVCCM mikoa ambao walikuwa wakipingana na harakati hizo. Tena inaelezwa kuwa Usalama wa Taifa wamepewa jukumu la kuhakikisha gazeti hilo haliingii mtaani. Wenye taarifa zaidi mnaweza kuendelea ikiwemo kutupa habari iliyosababisha gazeti kukusanywa.
 
Limekusanywa vipi? ina maana watu waliokuwa wameuziwa wamenyang'anywa copy zao??? fafanua please. Lakini ni kweli Rai halipo mtaani leo
 
Mimi nimelitafuta tangu jana sikulipata.

Kama ni hivyo tunaomba mutufanyie scanning na sisi tupate kuona ni kitu gani kimeandikwa. Au Generali afanye sacrifice kidogo alipost kwenye web.
 
Generall hayuko Habari corporation na hili gazeti haliko chini yake tena.
 
Wakuu vipi tena hivi kuna watu wenye akili bado wanasoma Rai ?????
 
Acheni kuchakachua maneno/majina.

Ni Raia Mwema ndilo limekuwa adimu.

Rai? Hii toilet paper iko tele kwa newspaper vendors.
 
Limekusanywa vipi? ina maana watu waliokuwa wameuziwa wamenyang'anywa copy zao??? fafanua please. Lakini ni kweli Rai halipo mtaani leo
Mkuu Kiburunye nilikuwa pale ubungo mataa mida ya asubuhi nikaona vijana wa magazeti wanaitana....kisa kuna mswahili fulani anauliza UNAYO MANGAPI RAI LETE....Unapewa mshiko anayatia ndani ya gari....
 
Hata mimi nauliza ni RaiaMwema la Jenerali Ulimwengu? au ni Rai la yule raia wa Iran Rostam Azizi?
 
Gazeti la Rai limekusanywa leo na halipatikani kabisa. Taarifa tulizonazo zinaeleza kuwa lilikuwa na habari inayoonyesha kuwa Beno Malissa na Ridhwan Kikwete wanaandaa mapinduzi ya kumng'oa Katibu wa UVCCM Martine Shigella. Taarifa za ndani kutoka Habari Cooperation zinaeleza kuwa habari hiyo iliwanukuu wenyeviti 17 wa UVCCM mikoa ambao walikuwa wakipingana na harakati hizo. Tena inaelezwa kuwa Usalama wa Taifa wamepewa jukumu la kuhakikisha gazeti hilo haliingii mtaani. Wenye taarifa zaidi mnaweza kuendelea ikiwemo kutupa habari iliyosababisha gazeti kukusanywa.

Mbona unajichanganya, toka lini Rai inatoka J5 au unatafuta gia ya watu kukufahamu.
Acha uwongo wako.
 
Is this true????..... Kama kweli basi kuna watu wana matatizo kichwani in this age you can not stop information...
 
mie ninalo mkononi kwahiyo natakiwa kurudisha au...

Mimi nimelitafuta tangu jana sikulipata.

Kama ni hivyo tunaomba mutufanyie scanning na sisi tupate kuona ni kitu gani kimeandikwa. Au Generali afanye sacrifice kidogo alipost kwenye web.

good question...kama ni raia mwema sawa...lakni rai? am worried of these news...

Hii habari ya akina ridhwani na beno mbona inafahamika tu

jaribu ku-scan na uweke habari yake hapa

Hata mimi nauliza ni RaiaMwema la Jenerali Ulimwengu? au ni Rai la yule raia wa Iran Rostam Azizi?

Mbona unajichanganya, toka lini Rai inatoka J5 au unatafuta gia ya watu kukufahamu.
Acha uwongo wako.

Is this true????..... Kama kweli basi kuna watu wana matatizo kichwani in this age you can not stop information...

Huyu kakurupuka na habari

Ni Raia Mwema si Rai

Rai siku hizi inatumika kama toilet paper watu hawaisomi

Hiyo habari ya benno malisa, ridhiwan na uv-ccm inapatikana kwenye gazeti la rai la leo nami nimeliona asubuhi maeneo ya mabibo kwenye kibanda cha kuuzia magazeti labda kama wameyakusanya ni baadae. Kuhusu raia mwema kweli jana halikupatikana baadhi ya maeneo lakini baadae nilifanikiwa kuliona kwa mtu na habari kubwa iliyozungumzwa humo ni ile ya siri ya ccm kung'ang'ania kukamata halmashauri za mwanza, arusha na mbeya ambapo siri hiyo inaelezwa kua ni kuficha ufisadi wa kutisha uliopo kwenye halmashauri hizo....
 
Nilidhani ni Raia mwema kumbe ni Rai! Hivi Rai bado lipo kwenye soko? Sina kumbukumbu kabisa ya gazeti hili (kama ni gazeti) katika orodha niliyonayo ya magazeti hakuna jina la Rai.
 
Back
Top Bottom