Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Ukweli mchungu sana lakini this time mtaelewa tu!! zibueni masikio yenu msikie vizuri na kama hamtaki yatazibuliwa kwa lazima!!!!
 
Hivi wataalam wa serikali ndio wanajua kila kitu?!
 
Kizunguzungu mtindo mmoja.

Phd holder ndio alituambia hivyo!!!!

Halafu yeye anawashangaa wenzie eti ni maprofessor gani!!😀😀
Whatever level of education you hold, it leaves a lot to be desired. The president didnt talk about volume but weight/mass. And, indeed when you talk about tonnage you are talking about weight. So, it is still true that 15tonnes of Gold will need two 7tonnes fuso plus a one tonne pick up.
 
Sasa ukitaka kusafirisha mzigo huo kwa Fuso utauweka wote kwenye fuso moja kwa sababu tu nafasi ipo? Hiyo Fuso itatembea ikibeba (say) tani 50 za dhahabu?
 
Sasa mleta mada hapa anashangaa nini hadi aseme Nipashe wamedanganya?
 
Imekuuma nini mkuu mpaka uniandikie kwa kizungu namna hii?
Naamini hujanitukana au sio? manguli kiinglish mliopo jamvini mnitonye kama imekaa vibaya!!😀
 
Either huna akili au hesabu ilikupita pembeni.
Mwenzako anaongelea density wewe unaongelea uzito.
Ni vitu viwili tofauti.
Lorry linapimwa kwa cubic meter / tonnes.
Nyie ndio mna elimu hewa
 
Nilivyoelewa kiasi hicho ni kile kinachobebwa kwenye hayo makontena wanasema mchanga ambapo wauze tulikuwa hatupati hata sent so mhe rais yuko sawa na nipashe wako sawa
 
katika tamthilia ya kitanzania kali za kuwahi kutokea karne ya 21 ni "JUMBA LA DHAHABU" ila hii ya "MCHANGA WA DHAHABU" Ikauzwe hollyhood
 
Kwani uzito wa maembe tani 1 ni tofuti na uzito wa majani ya chai tani 1!!!? cha msingi idadi ya tani za uzito hazibadiliki afu jamaa hawajaota ndotoni,wamenukuu
 
Swali moja tu, mchanga utaendelea kupelekwa nje au hautapelekwa?!
Kimkataba ule mchanga ni mali yao na wanausafirisha kwenda kutoa dhahabu iliyobaki. Kwani migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu 50% ya dhahabu hubaki kwenye makinika (concentrate) so lazima ipelekwe kwenye smelter ili kuiondoa iliyobaki. Na hatuna smelter wao hulipa tu 4% ya kilichomo kwenye makinika. See attachment
 

Attachments

Mnahangaika bure bavicha....maana kila kina mmebaki wenyewe tu hata magazeti pendwa yenu yako kwa Magufuli, Lissu na wenzake wako kwa Magufuli
Ni uvyama tena. Mnendekeza sana siasa hata kwenye masuala ya kitaifa. kama ni faida tutaipata wote na kama ni kuumia ni wote. Wasio na vyama mnawakera sana. Tujadili hoja na sio utoto wa vyama vyenu hivyo ambavyo havichafanya cha maana kwa nchi hii.
 
Ni uvyama tena. Mnendekeza sana siasa hata kwenye masuala ya kitaifa. kama ni faida tutaipata wote na kama ni kuumia ni wote. Wasio na vyama mnawakera sana. Tujadili hoja na sio utoto wa vyama vyenu hivyo ambavyo havichafanya cha maana kwa nchi hii.

Huyo kijana ndiyo analeta siasa.
 
!
!
Hizi [HASHTAG]#Phd[/HASHTAG] nyingine hizi ni sawa na za kina Hemedi tu au yale ya vyeti halali vya elimu feki. Hivi mkuu huwa anatafakari au anashauriwa vizuri kabla hajaongea au kuamua chochote?
Atashauriwa and na alishasema hataki ushauri? Kwa hii ripoti alichukua dakika ngapi kuitathmini kabla hajaja na mbwembwe zake?
 
Sasa ukitaka kusafirisha mzigo huo kwa Fuso utauweka wote kwenye fuso moja kwa sababu tu nafasi ipo? Hiyo Fuso itatembea ikibeba (say) tani 50 za dhahabu?
The hell dhumuni lake halikuwa Kuonyesha Dhahabu hiyo Inasafririshwaje! Who cares inavyosafirishwa huko Japani. Kwa akili na Nadharia ni Kuwa alitaka Kuwahadaa kwa Wale wasiojua Density ya dhahabu ikoje, Alitaka Kudanganya Kuwa Dhahabu hiyo inajaza Malori mawilli na pickups! Key word "Inajaza" Mtazungusha maneno Mpaka kesho Video Iko wazi Magufuli alisema, Dhahabu hiyo ni Malori mawili na Pickup pamoja na Kivokswagon vyote vikiwa vimejaa, "DHAHABU TUPU" Ule ulikuwa ni Uwongo! Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…