Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Mikataba ya madini walisaini chadema,? Bado Mikataba ya gas mmefisadi nchi, mmepitisha kwa hati ya dharura, adui WA nchi hii ni ccm na vibaraka wake,
Kwani Sumaye siyo Chadema, Akina Mtei siyo chadema, Lowassa siyo chadema. Mbona unakuwa kama mwehu vile?
 
Kulikuwa na sababu Gani ya Kuelezea Ni Malori Mangapi Yanayobeba Tani 15 za Dhahabu iwapo hakutaka kuonyesha Malori Mawili yaliyosheheni dhahabu, na Pickups zilizosheheni dhahabu Jambo ambalo sio Kweli. Na kusema Ukweli ndivyo alivyosema exactlly, "zimejaa Dhahabu tupu"

Kwani Sumaye siyo Chadema, Akina Mtei siyo chadema, Lowassa siyo chadema. Mbona unakuwa kama mwehu vile?
Kazi uliyojipa haitakulipa? Kwa sababu huna ujualo, umekuja kutafuta nafasi ya kuonekana na Wana lumumba pole sana, nikupe namba ya makonda labda, ila hapa unabwabwaja hujui lolote,
 
Tani moja ya Manyoya Inajaza Malori Mangapi? Na Tani moja ya mawe hajazi hata lori moja! Again sikiliza mara mbili elewa kabla ya kuropoka!
Kwa upumbavu wako unadhani Dhahabu inakuwa ni block moja kubwaaa kwa pamoja. Ndio ufinyu wako umeishia hapo.
Tatizo huna ujuzi wowote wa kuhusu madini unajifanya unajuuua. Hala inawezekana tangu uzaliwe hujawahi hata kuona dhahabu.
Nenda shule kwanza siyo kuja hapa na kutafuta vitu kwa lengo la kupotosha, Mpumbavu wewe.
 
Kazi uliyojipa haitakulipa? Kwa sababu huna ujualo, umekuja kutafuta nafasi ya kuonekana na Wana lumumba pole sana, nikupe namba ya makonda labda, ila hapa unabwabwaja hujui lolote,
Huna point wewe. Hujui chochote wewe ni bendera tu, fuata upepo. Leo mbowe akisema ujikate kidole waweza kujikata.
Nimekuwekea tu hao akina Sumaye, Mtei na Lowassa kama kwa mfano. Wapo wengi tu tukianza kuwaorodhesha hapa mpaka utapata aibu. Ona sasa akina Masha wapo huko huko kwenu.
Ngoja ni kuache tu maana ni kutokuelewa kwako.
 
Elimu Elimu ni Muhimu. ni sawa na kubeba taruma ya za tani tatu kwenye kirkuuu!!
kinachojalisha hapa ni uzito na si vinginevyo.... pickup hilux ya 1 ton inamaana itabeba kitu cha 7 ton kwa sababu ujazo wake unawezekana kwenye hilux!!!! aibu

Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
 
Ndio maana hata hao ACACIA wanashangaa hiyo ripoti.

Hata kama mimi ningelikuwa ni ACACIA ningelikataa hiyo ripoti. Lakini ukweli unabaki pale pale. Tumeumizwa kiasi cha kutosha. Tumenyonywa kiasi cha kutosha. Sasa tunataka mapinduzi. Mapinduzi ya kurejesha heshma ya kiuchumi nchini kwetu.
 
Nyie watu inaonekana mnafikiri kwa kutumia makalio, hii tume Kazi yake ni kuchambua kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia , kwa maana nyingine ni tume ya majiologist au kwa Kiswahili wataalamu wa miamba. Tusubiri hiyo tume ya wanasheria na wachumi ndio itakuja na hesabu mnayotaka na mikataba tuliyoingia na hayo makampuni. Haya ni ya utangulizi tu, sababu kupinga kila zuri linalofanywa mkiambiwa ni nyumbu mnalialia.

Kama ndivyo, angesubiri tume zote zimalize kazi maadam ni yeye kaziteua, then akitoka kwenye media awalishe wananchi taarifa za uhakika na sio kutuchanganya wananchi. Wengi hupenda kucrame na kuimba taarifa ya awali, kumgeuza kifikra tena inakuwa taabu. We need constructive and systematic reports.
 
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg

Tumewakamata safari hii. Mmetuibia sana. Halafu ni jambo la kushangaza kuona watanzania wachache wanashirikiana na wazungu kupora utajiri wa africa. Ni ajabu sana hii. Nimeishi ulaya, lakini sijawahi kuona watu weusi wanashirikiana na wazungu kupora utajiri wa ulaya na kuuleta africa.
 
Kwani mkuu ni wewe ndio ulikuwa unasoma ile ripoti jana!!!?
Naona kama akili yako ina matege vile!!! Wasiliana na ccbrt usikute hata matege ya akili wanayamudu kama ya miguu.
Sisi tunaojua, tukiona mtu anatoa majibu haya tunajua huyo tayari kafika mwisho wa reli yake. Pole
 
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
Hizo lawama zako zipeleke kwa mh rais aliye toa hizo data.
 
Kizunguzungu mtindo mmoja.

Phd holder ndio alituambia hivyo!!!!

Halafu yeye anawashangaa wenzie eti ni maprofessor gani!!😀😀
..Hapo chacha, tena mtukufu yeye alisema hizo tani 15 zinabebwa na malori mawili ya tani 7 na pick up moja.
 
Mlipaswa kuwa Wazalendo mlipokowa Mnasaini Mikataba huku mkituzomea "wembe ni Ule ule" Nani aliyesaini Miswada hii ya Madini sio ninyi washenzi mnaojifanya kulia leo?
Walioharibu ndio hao wanajisahihisha au nalo hilo ni kosa UZALENDO KWANZA
 
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
Hata ingekuwa, bado ni wizi tu na wahusika wanyongwe kabisa
 
jamani mbona mapovu,vyovyote ilivyo WIZI haukubaliki
 
Back
Top Bottom