That is you! Mjinga bado ni Njinga, Mpumbavu bado Nimpumbavu, wewe unataka Ustaarabu wa Kunyang'anya Computer na Kumsaidia Lipumba Kutuma watu Kuwapiga waandishi wa Habari! Mini nataka Ustaarabu wa Mwalimu Nyerere Mara zisizo na Idadi aliwaita Wajinga wajinga na Wapumbavu wapumbavu. Na kama wewe sio Mnafiki naomba Uangalie Webster's Dictionary uniambie Maana ya Neno stupid! Kisha Uniambie kama Uko tayari kumkaripia Magufuli Kumuita yule ndugu aliyemfukuza Stupid! Kama Hutafanya hivyo basi Utakuwa ni Unafiki Kuniambia mimi nisitumie neno mjinga!