TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.
Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)
Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.
Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.
Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.