Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
Fuso Fighter moja inabeba kati ya tani 7.5 hadi tani 7.7. Sasa ukiwa na Fuso mbili na kila Fuso ikabeba tani 7 (jumla tani 14), na tani 5.3 zilizobaki zikapakiwa kwenye pickup/canter, upotoshaji unakuja wapi? Mambo ya density hayana umuhimu hapa sababu realistically speaking, hiyo dhahabu itakuwa kwenye vipande aka gold bars and definitely NOT a one cubic meter mass of gold at 19.3 tonnes.
 
Kizunguzungu mtindo mmoja.

Phd holder ndio alituambia hivyo!!!!

Halafu yeye anawashangaa wenzie eti ni maprofessor gani!!😀😀
Unatakiwa kuelewa kuwa unapozungumza na watu ambao siyo conversant na field unatumia graphic language. Alichokuwa akikieleza Rais ni uzito wa dhahabu husika siyo volume ya gari. Kama gari ni la tani 7 huwezi kuweka zaidi ya uzito huo ingawa quantity inaonekana kidogo hivyo kuacha nafasi kubwa kwenye gari. Tumieni akili kuelewa the message that is being communicated. kama hujaelewa uliza, waswahili husema kuuliza si ujinga, ingawa ndivyo.
 
Nyie watu inaonekana mnafikiri kwa kutumia makalio, hii tume Kazi yake ni kuchambua kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia , kwa maana nyingine ni tume ya majiologist au kwa Kiswahili wataalamu wa miamba. Tusubiri hiyo tume ya wanasheria na wachumi ndio itakuja na hesabu mnayotaka na mikataba tuliyoingia na hayo makampuni. Haya ni ya utangulizi tu, sababu kupinga kila zuri linalofanywa mkiambiwa ni nyumbu mnalialia.
 
Ushaambiwa tani sasa unakuwa na akili kuwa TANI MOJA ya chuma ni nzito kuliko TANI MOJA ya manyoya.

Kumbe huko kwingine huwa unakisia tu
Either huna akili au hesabu ilikupita pembeni.
Mwenzako anaongelea density wewe unaongelea uzito.
Ni vitu viwili tofauti.
Lorry linapimwa kwa cubic meter / tonnes.
 
Kwahiyo hapo barabarani Tanroads wanapima density!? Acha upuuzi wako wa udreva wa mchanga.
 
Wewe ndio unataka kupotosha yaliotokana na ripoti nipashe wako sahihi kwani wao wamenukuu kutokana na ripoti alioisoma rais
 
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
Usiwe mjinga.wawaambue!!!???. Wewe na nani??!!! Sema kw niaba yako.ni wewe pekeee ambae hujaelewa kinachosemwa.na c kwa 7bbu huna uwezo wa kueleea.bali njaa na masirahi binafc zinakuongoza.weka mbele uzalendo.
 
Nyie watu inaonekana mnafikiri kwa kutumia makalio, hii tume Kazi yake ni kuchambua kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia , kwa maana nyingine ni tume ya majiologist au kwa Kiswahili wataalamu wa miamba. Tusubiri hiyo tume ya wanasheria na wachumi ndio itakuja na hesabu mnayotaka na mikataba tuliyoingia na hayo makampuni. Haya ni ya utangulizi tu, sababu kupinga kila zuri linalofanywa mkiambiwa ni nyumbu mnalialia.
Kama ujuzi wa tume unaishia ktk kuchambua kiasi cha madini,nani aliwaambia watoe thamani ya madini "walioyobaini"?,ilihali wao ni mbumbumbu wa masuala ya fedha na uchumi?.
 
Acha ujinga sawa. Sisi tunaahisira na wazungu wewe unaleta masihala. Kama huna cha kucomment kaa kimya.
 
We Malndu acha upotoshaji usio na tija, fuso limeandikwa kwa mfano 7 ton, sasa tonn ni volume au mass.
**** sehemu wametaja litres au meter cubic katika hayo maelezo mpaka ukosoe.
Upo form one ee
 
Usiwe mjinga.wawaambue!!!???. Wewe na nani??!!! Sema kw niaba yako.ni wewe pekeee ambae hujaelewa kinachosemwa.na c kwa 7bbu huna uwezo wa kueleea.bali njaa na masirahi binafc zinakuongoza.weka mbele uzalendo.
Uzalendo Unaujua Leo Mlipokuwa Mkisaini hiyo Mikataba kwa Mbwewe na Kuwaita akina Mnyika na Tundu Lisu Vichaa mlitanguliza uzalendo? Mshenzi nchi CCM mliuza wenyewe kwenye kikapu cha Mkono leo mnataka Uzalendo Kwa wengine, Go tohell!
 
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
Tatizo uandishi wa kiutafiti Tz haukubaliki wandishi wetu wanaripoti walichokisikia bila kuchuja waache waandike hivyo hivyo
 
Uzalendo Unaujua Leo Mlipokuwa Mkisaini hiyo Mikataba kwa Mbwewe na Kuwaita akina Mnyika na Tundu Lisu Vichaa mlitanguliza uzalendo? Mshenzi nchi CCM mliuza wenyewe kwenye kikapu cha Mkono leo mnataka Uzalendo Kwa wengine, Go tohell!
Sasa ndio uinuke na kuanza kupotosha. Nimekueleza ondoa siasa za maji taka.
Mpaka sasa hivi kwenye chama cha hao akina Mnyika mmewakumbatia akina Sumaye, Lowasa na Kingunge.
Mwenyekiti wenu Mbowe mpaka kafukuzwa NHC kwa kukwepa kulipia pango miaka mingi tu. Huyo huyo Mwenyekiti wenu anadaiwa na NSSF kwa kukopa mabillion ya mapesa na kashindwa kulipa.
Hivi wewe unaakili timamu?
Nimekueleza kama umetumwa na hao mabwana zako sisi tupo na data kamili. Wewe subiri dawa ikolee.
Yaani unaingia kwenye mitandao kupotosha kwa makusudi na kujifanya mwanasiasa.
Mnaiibia nchi halafu mnajificha kwenye mgongo wa siasa na kuanza kuilaumu CCM. Muda wenu umekwisha tunawabomoa wote na mabwana zako. Baada ya kumalizana na hao wazee wako tunawageukia nyie kwenye mitandao mnaoeneza taarifa za upotoshaji. Subiri tu tumalizane na mafisadi papa. Nyie mnaotumiwa ni kama kusukuma mlevi tu.
 
Back
Top Bottom