Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

We Malndu acha upotoshaji usio na tija, fuso limeandikwa kwa mfano 7 ton, sasa tonn ni volume au mass.
**** sehemu wametaja litres au meter cubic katika hayo maelezo mpaka ukosoe.
Upo form one ee
Sikiliza alikuwa akizungumzia Volume wise, Zungusheni Bashite Mchoke Video iko wazi! Kuna hata Mahali akisema, "Imejaa dhahabu tupu" Vyote ni dhahabu tupu"

Kuna wale waliosema dhahabu ni asilimia 0.02 tu kwenye huo mchanga.
 
Mimi nashangaa wataalamu wanaleta ripoti ambayo haiko sawa, wanataja thamani ya jumla, hawataji gharama zozote ambazo zimetumika mpaka kontena zile kufika bandarini, wanashindwa kutuambia sisi kodi yetu ni kiasi gani? Hiyo ndio haki yetu sio kutaja mabilioni ya pesa
 
kwani hata hicho kidogo kilichokuwa kinapelekwa nje kilikuwa hatupati kitu mchanga ndio ulikuwa ofa tu kwa wazungu
 
Sikiliza alikuwa akizungumzia Volume wise, Zungusheni Bashite Mchoke Video iko wazi! Kuna hata Mahali akisema, "Imejaa dhahabu tupu" Vyote ni dhahabu tupu"

Nimekuambia dogo fata yako usijaribu kuanza kujifanya unajua sana.
Hapo wapi rais kasema Density? Unaweza kuweka proof hapa.
Hapa president kaongelea Tones. Sasa unataka kuleta taarifa za kudangaya.
Niambie sehemu gani President kasema Density?
 
Sasa ndio uinuke na kuanza kupotosha. Nimekueleza ondoa siasa za maji taka.
Mpaka sasa hivi kwenye chama cha hao akina Mnyika mmewakumbatia akina Sumaye, Lowasa na Kingunge.
Mwenyekiti wenu Mbowe mpaka kafukuzwa NHC kwa kukwepa kulipia pango miaka mingi tu. Huyo huyo Mwenyekiti wenu anadaiwa na NSSF kwa kukopa mabillion ya mapesa na kashindwa kulipa.
Hivi wewe unaakili timamu?
Nimekueleza kama umetumwa na hao mabwana zako sisi tupo na data kamili. Wewe subiri dawa ikolee.
Yaani unaingia kwenye mitandao kupotosha kwa makusudi na kujifanya mwanasiasa.
Mnaiibia nchi halafu mnajificha kwenye mgongo wa siasa na kuanza kuilaumu CCM. Muda wenu umekwisha tunawabomoa wote na mabwana zako. Baada ya kumalizana na hao wazee wako tunawageukia nyie kwenye mitandao mnaoeneza taarifa za upotoshaji. Subiri tu tumalizane na mafisadi papa. Nyie mnaotumiwa ni kama kusukuma mlevi tu.

Mikataba mlisaini Nyie kwa Mbwewe, Nchi Mliiiuza Ninyi kwenye Kikapu! Mlipewa Lori Mwendeshe Mkalipeleka kwenye Mtaro, Kanuni ni moja Tu Keys Please! Uzalendo mnauona Leo! CCM mlisaini kuiuza nchi huku mkipiga vifijo kuwa Wembe ni Ule Ule! Subirini sasa Wamarekani wawanyoyoe kwa chupa!
 
Mimi nashangaa wataalamu wanaleta ripoti ambayo haiko sawa, wanataja thamani ya jumla, hawataji gharama zozote ambazo zimetumika mpaka kontena zile kufika bandarini, wanashindwa kutuambia sisi kodi yetu ni kiasi gani? Hiyo ndio haki yetu sio kutaja mabilioni ya pesa
Gharama ya nini hapo? Subiri wataalamu wa Uchumi watakuja kueleza hayo. Kuna team ipo inashughulikia hayo mambo.
Zaidi walikuwa wamejikita kwenye Quantity ya madini yaliyomo kwenye huo mchanga.
Yaani nyie wa upande wanufaika mnatafuta sababu ambazo wala hazina hata maana. Usijitoe akili wewe. Nani asiyekujua wewe?
 
Nimekuambia dogo fata yako usijaribu kuanza kujifanya unajua sana.
Hapo wapi rais kasema Density? Unaweza kuweka proof hapa.
Hapa president kaongelea Tones. Sasa unataka kuleta taarifa za kudangaya.
Niambie sehemu gani President kasema Density?

The *** aliyesema Density haikuhusishwa ni mimi. Its obvious hujasoma na kujua nilichosema unakurupuka tu kutafuta sifa za Kipumbavu. It seems you are full of assumptions, why I say so? U just call me Dogo! Am old enough perhaps to marry your mother! Mpuuzi unaniita dogo unanijua am nealy 50 I was not born yesterday!
 
Gharama ya nini hapo? Subiri wataalamu wa Uchumi watakuja kueleza hayo. Kuna team ipo inashughulikia hayo mambo.
Zaidi walikuwa wamejikita kwenye Quantity ya madini yaliyomo kwenye huo mchanga.
Yaani nyie wa upande wanufaika mnatafuta sababu ambazo wala hazina hata maana. Usijitoe akili wewe. Nani asiyekujua wewe?
Nanufaika kwa lipi? Hii nchi iliwahi kutawaliwa na Chama zaidi ya ccm? Majizi nyinyi, mafisadi nyinyi, sasa mnamuonyesha nani duniani kama tulikuwa tunaibiwa? Kwanini hamsemi kama nyinyi ndio Majizi wenyewe?
 
Unatakiwa kuelewa kuwa unapozungumza na watu ambao siyo conversant na field unatumia graphic language. Alichokuwa akikieleza Rais ni uzito wa dhahabu husika siyo volume ya gari. Kama gari ni la tani 7 huwezi kuweka zaidi ya uzito huo ingawa quantity inaonekana kidogo hivyo kuacha nafasi kubwa kwenye gari. Tumieni akili kuelewa the message that is being communicated. kama hujaelewa uliza, waswahili husema kuuliza si ujinga, ingawa ndivyo.
Kwani mkuu ni wewe ndio ulikuwa unasoma ile ripoti jana!!!?
Naona kama akili yako ina matege vile!!! Wasiliana na ccbrt usikute hata matege ya akili wanayamudu kama ya miguu.
 
The **** aliyesema Density haikuhusishwa ni mimi. Second Am old enough to marry you mother. Mpuuzi unaniita dogo unanijua am nealy 50 I was not born yesterday!
Nimekuambia andika kiswahili acha kujifanya mzungu wakati wewe ni mweusi tii. Tena unakaa bongo hapa hapa.
Acha kuleta upotoshaji hapa. Report inaongelea uzito wewe unaleta habari za ujazo, si ni upumbavu huu.
Lengo lako hasa ni lipi kuleta upotoshaji kwenye public? Hapo ubungo ndio unataka kuanzisha kampuni ya kueneza propaganda?
Hujui kilo moja ya manyoya ni sawa na kilo moja ya jiwe? Unajifanya mtu mzima wakati wewe mtoto mdogo bado unanuka maziwa mdomoni. Halafu issue za kumwingiza mama yangu katika upumbavu wako uishie huko huko. Mimi sijataja wazazi wako.
 
Nanufaika kwa lipi? Hii nchi iliwahi kutawaliwa na Chama zaidi ya ccm? Majizi nyinyi, mafisadi nyinyi, sasa mnamuonyesha nani duniani kama tulikuwa tunaibiwa? Kwanini hamsemi kama nyinyi ndio Majizi wenyewe?
Mbona sasa hao akina Sumaye, Lowasa na Kingunge ndio mmewakumbatia na wamekuwa mabwana wenu.
Hivi hujui kuwa hao akina mbowe wamekwepa kulipa kodi sana?
Nakushangaa sana kijana mdogo ujitoa ufahamu na kuanza kushabikia wizi wa wazungu.
 
Nyie ni walewale tunawafahamu subirini tumalize hii issue. Tunaanza kuwagonga humu kwenye mitandao.
Kategeshe Makalio kwa CCM Nguchiro wewe utamgonga nani! Huna kifua ndio maana unatumia matako, by the way where you come from, what do they use for brain? Testicles? That will be bad news for you because you do not have the later either!
 
Mbona sasa hao akina Sumaye, Lowasa na Kingunge ndio mmewakumbatia na wamekuwa mabwana wenu.
Hivi hujui kuwa hao akina mbowe wamekwepa kulipa kodi sana?
Nakushangaa sana kijana mdogo ujitoa ufahamu na kuanza kushabikia wizi wa wazungu.
Mikataba ya madini walisaini chadema,? Bado Mikataba ya gas mmefisadi nchi, mmepitisha kwa hati ya dharura, adui WA nchi hii ni ccm na vibaraka wake,
 
Nimekuambia andika kiswahili acha kujifanya mzungu wakati wewe ni mweusi tii. Tena unakaa bongo hapa hapa.
Acha kuleta upotoshaji hapa. Report inaongelea uzito wewe unaleta habari za ujazo, si ni upumbavu huu.
Lengo lako hasa ni lipi kuleta upotoshaji kwenye public? Hapo ubungo ndio unataka kuanzisha kampuni ya kueneza propaganda?
Hujui kilo moja ya manyoya ni sawa na kilo moja ya jiwe? Unajifanya mtu mzima wakati wewe mtoto mdogo bado unanuka maziwa mdomoni. Halafu issue za kumwingiza mama yangu katika upumbavu wako uishie huko huko. Mimi sijataja wazazi wako.

Tani moja ya Manyoya Inajaza Malori Mangapi? Na Tani moja ya mawe hajazi hata lori moja! Again sikiliza mara mbili elewa kabla ya kuropoka!
 
Kategeshe Makalio kwa CCM Nguchiro wewe utamgonga nani! Huna kifua ndio maana unatumia matako, by the way where you come from, what do they use for brain? Testicles? That will be bad news for you because you do not have the later either!
Nimekuambia andika kiswahili. Wewe hapo Shekilango unajifanya umekuwa mzungu.
Wewe kama umelipwa na hawa mabwenyenye hapa umegonga mwamba. Unakuja kwenye mitandao na kuropoka tu wakati hujui chochote. Ungekuwa umesoma angalau. Unadhani tukikaa kimya wewe waona ndio umejitawala kweli na kuanza kupotosha taarifa za muhimu.
Yaani unakuwa kama katoto kadogo kweli hujui hata tofauti ya Uzito na Ujazo. Unapoongelea density unajuwa unaongelea nini? Upumbavu wako usiulete kwa watu wasomi utaumbuka bure. Jifurahisheni nyie kwa nyie mitaani huko. Wewe umeambiwa Tones halafu unaleta volume.
Volume inapimwa kwa meter lakini uzito unapimwa kwa Newton au Kg.
Mpumbavu kweli.
 
Back
Top Bottom