Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Mbona sasa hao akina Sumaye, Lowasa na Kingunge ndio mmewakumbatia na wamekuwa mabwana wenu.
Hivi hujui kuwa hao akina mbowe wamekwepa kulipa kodi sana?
Nakushangaa sana kijana mdogo ujitoa ufahamu na kuanza kushabikia wizi wa wazungu.
Kama hujui kizungu piga kimya
 
Huna point wewe. Hujui chochote wewe ni bendera tu, fuata upepo. Leo mbowe akisema ujikate kidole waweza kujikata.
Nimekuwekea tu hao akina Sumaye, Mtei na Lowassa kama kwa mfano. Wapo wengi tu tukianza kuwaorodhesha hapa mpaka utapata aibu. Ona sasa akina Masha wapo huko huko kwenu.
Ngoja ni kuache tu maana ni kutokuelewa kwako.
Wewe una point gani?
 
Kuna njia nyingi ya kufikisha ujumbe. Matusi ni kukosa ustaarabu unless otherwise.

Na kama Mtu anayetumwa anakuja na Matusi, dharau na Kejeli ili kukutisha na kukunyamazisha? Mimi ni Mstaarabu sana ila Wajinga wa CCM waliokuwa wanasema Lowassa Kajinyea, Lowassa Anadhani Ikulu ni Wodini, ndio hao hao wanakuja hapa kutisha watu! Mimi sera yangu ni simple ukiwa Muungwana nakurudishia Uungwana Ukileta dharau na Matusi ili nikimbie, Nitakujibu kwa namna hiyo hiyo 10x over ili ukimbie wewe. Not for my sake, kwa sababu mimi sijali kutukanwa, ila Wanaotisha watu na kuwatukana hapa wana ajenda chafu! Ndio maana I hate what they do!
 
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.

Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)

Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.

Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.

Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.

demonocracy-gold-1_ton.jpg
Bill 300 sio mchezo zikizagaa mtaani!hata vyoo watu watasafisha kwa ulimi! Hawa jamaa wametuibia hata mkipamba kwa kiasi gani
 
Leo ndio unajua mnaibiwa, Mlipokuwa Mkisaini Mikataba kwa mbwembwe, na kashfa juu hamkujua! Leo ndio mnajifanya sazalendo? CCM mliuza Nchi Period!
Kumbuka masha,mahanga,sumaye na Lowassa walikuwepo? Sasa wewe endelea kukimbia kivuli chako.
 
Kuita
Na kama Mtu anayetumwa anakuja na Matusi, dharau na Kejeli ili kukutisha na kukunyamazisha? Mimi ni Mstaarabu sana ila Wajinga wa CCM waliokuwa wanasema Lowassa Kajinyea Lowassa Anadhani Ikulu ni Wodini, ndio hao hao wanakuja hapa kutisha watu! Mimi sera yangu ni simple ukiwa Muungwana nakurudishia Uungwana Ukileta dharau na Matusi ili nikimbie, Nitakujibu kwa namna hiyo hiyo 10x over ili ukimbie wewe. Not for my sake, kwa sababu mimi sijali kitukanwa ila, Wanaotisha watu na kuwatukana hapa wana ajenda chafu! Ndio maana I hate what they do!
Kuita kundi fulani la watu wajinga sio ustaarabu. Na mtu mstaarabu haachi tabia yake ya ustaarabu kwa kuwa mwingine kakosa ustaarabu. Swali, mwehu akikutukana utamtukana pia? Asiye na ustaarabu hana tofauti na mwehu na unapofanya kitendo kisicho cha kistaarabu, inamaanisha hiyo ndiyo tabia yako na sio kwamba umefanya hivyo kwa kuwa mwingine kakosa ustaarabu.
 
Hata wewe ni mjinga maana ya kusema Lori 2 na pick up 1, haina maana ni dhahabu itabebwa humo bali ni mfano wa uzito wa lori hizo 2 na pick up ndio sawa na uzito wa dhahabu hiyo
 
Ujazo my friend! Gold density is 19,320kg/M³ Maana yake ni kuwa Kipande cha dhahabu chenye urefu wa futi Tatu, upana waFuti tatu na kina cha futi tatu, kina Tani 19. Ukitaka kulinganisha uzito ingekuwa ni maji unahitaji Pipa Lenye ukubwa wa Mara 19 zaidi ya Kipande hiki ili uweze kulijaza Tani 19 za Maji.
I doubt your calculation, Gold 3 Cubic Feet=19Metric Tonnes...! Please revisit your calculations.
 
Density ya Maji ni 1000kg/m³ na Density ya Dhabu ni 19,320kg/m³ sasa mimi sio mtu wa kurudia mara kumi kumi! Roughly Tangi la maji lenye urefu wa mita moja na upana wa Mita moja na kina cha mita moja Ukilijaza maji litakuwa na Uzito wa Tani moja ie Kilo 1000, Sasa Tangi hilo hilo Ukimwaga hayo maji, Ukapanga Vipande vya dhahabu ndani yake mpaka Likajaa basi ukijaribu kulinyanyua kwa Winch ya crane utakuta Lina uzito wa Kilo 19,320 maana yake Tani 19.32.

Kama hutanielewa tena Basi. Nimesema Futi tatu kwa Kuwa huku Uswahilini kwetu tunatumka futi sana ila futi Tatu ni sentimeta 90 hivyo inapunja Meta kwa sentimeta 10. I was aware of that ndio maana nikasema density ni 19,320 Kg/m³
 
Walikuwepo! Sasa Wako wapi? Si walitiwa Kichefuchefu na Ushenzi Usaliti na Ufisadi wenu, Ndio wakaamua kwenda kujiunga na Chama Kinachojali nchi? Usihangaike na Walioondoka ni Unafiki, sema ambao Bado wako na Bado ni wapiga meza!
 
Walikuwepo! Sasa Wako wapi? Si walitiwa Kichefuchefu na Ushenzi Usaliti na Ufisadi wenu, Ndio wakaamua kwenda kujiunga na Chama Kinachojali nchi? Usihangaike na Walioondoka ni Unafiki, sema ambao Bado wako na Bado ni wapiga meza!
Unajua uhusiano wa mgodi wa Buzwagi, Rostam na Lowasa?
 
Sasa hivi kuna wataalam elekezi wengi sana humu JF.Mnasahau kuwa ile tume ilikuwa na maprofesa wa kemia na Geology nguli kabisa
 
Kama taifa bado tuna safari ndefuuu.yani hata yaliyosemwa jana na professors na kurudiwa na dereva wa roli bado raia hawaelewi,sijui itakumbukwanini baada ya mwezi
 
Back
Top Bottom