Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

Kwa upumbavu wako unadhani Dhahabu inakuwa ni block moja kubwaaa kwa pamoja. Ndio ufinyu wako umeishia hapo.
Tatizo huna ujuzi wowote wa kuhusu madini unajifanya unajuuua. Hala inawezekana tangu uzaliwe hujawahi hata kuona dhahabu.
Nenda shule kwanza siyo kuja hapa na kutafuta vitu kwa lengo la kupotosha, Mpumbavu wewe.
We sokwe kweli! Mimi ni Mtu wa Kimataifa nisijue Gold Ingots, unaona Unavyoongea Kw Makalio Kwani hapo juu Hiyo Picha ya Vipande vya Chahabu Kaweka nani? Unakurupuka Kutaka sifa za Fisiemu unajibu hoja bila hata Kusoma! Tazama mada kuu kama hutaona Picha ya Vipande nya dhahabu Vimepangwa! What the hell do you take me for!

Soma kwanza Kabla hujafuungua Matako na Kuhara Utumbo!
 
Hata kama mimi ningelikuwa ni ACACIA ningelikataa hiyo ripoti. Lakini ukweli unabaki pale pale. Tumeumizwa kiasi cha kutosha. Tumenyonywa kiasi cha kutosha. Sasa tunataka mapinduzi. Mapinduzi ya kurejesha heshma ya kiuchumi nchini kwetu.

Hamkulazimishwa na hao wazungu Kusaini amikataba, Mlijiona Wajanja sana Mlivyokuwa Mkisaini Ninyi CCM na Magufuli Mnafiki Mkubwa akiwepo kama Mbunge wa Chato na Waziri Wabunge wote wa CCM akiwemo Magufuli Mliiuza Nchi kwa Kikapu cha Mkono, sasa Mnajidai wakombozi? Si Mliposhauriwa na Chadema Mliwazomea na Kuwaambia Watasoma Namba! Mafisi Ninyi Bebeni Msalaba wenu Mliouchonga wenyewe! Magufuli Wakati mikataba hii inapitishwa na Wabunge wa CCM wakati wa Mkapa Alikuwepo kama Mbunge! Wakati wa Kikwete alikuwepo leo hii anaita wengine ati Stupid! What the hell did he do back then! Bora waketi nao haya Makampuni wawaombe Waweke Mikataba mipya ambayo iko fair, kuwaonyesha Makampuni ya Marekani Utemi Magufuli ataumia! Na nchi itaumia sana. Kwani wanayo Mikataba! Hii yote ni kwa Sababu ya Mijambazi mipiga Makofi ya CCM!
 
Mwisho wa siku faida ni kubwa kuliko tunachopata kama nchi.
Msituhamisishie magoli.madini yana hela.
Na wamepiga haswa.
 
Nimekuambia andika kiswahili. Wewe hapo Shekilango unajifanya umekuwa mzungu.
Wewe kama umelipwa na hawa mabwenyenye hapa umegonga mwamba. Unakuja kwenye mitandao na kuropoka tu wakati hujui chochote. Ungekuwa umesoma angalau. Unadhani tukikaa kimya wewe waona ndio umejitawala kweli na kuanza kupotosha taarifa za muhimu.
Yaani unakuwa kama katoto kadogo kweli hujui hata tofauti ya Uzito na Ujazo. Unapoongelea density unajuwa unaongelea nini? Upumbavu wako usiulete kwa watu wasomi utaumbuka bure. Jifurahisheni nyie kwa nyie mitaani huko. Wewe umeambiwa Tones halafu unaleta volume.
Volume inapimwa kwa meter lakini uzito unapimwa kwa Newton au Kg.
Mpumbavu kweli.

Poor Skunk, where do you get a mandate to command me what Language should I use? Who the *** does your ass think it is? Nakujua Uko hapo Ubungo shekilango!
Yap na Hapa ni Pale Ubongo Tanesco! Unataka nikupe mfano mwingine kuhusu Density, Kichwa Fupafula lako ni way denser than brainy head ya Gorilla!
 
Imekuuma nini mkuu mpaka uniandikie kwa kizungu namna hii?
Naamini hujanitukana au sio? manguli kiinglish mliopo jamvini mnitonye kama imekaa vibaya!!😀
Mkuu sina tabia ya kutukana watu. Matusi huonyesha ukosefu wa hoja.
 
Kuna njia nyingi ya kufikisha ujumbe. Matusi ni kukosa ustaarabu unless otherwise.
Nikupe mfano mdogo:-
Ukikitaja 'kipara' cha mzee mkapa katikati ya mazungumzo inaweza kuwa tusi ikiwa kuna mvutano wa hoja, lakini vinginevyo inakuwa ni sifa kuuuuubwa ya usomi.

(Tuko pamoja mkuu wala hatubishani)
 
The hell dhumuni lake halikuwa Kuonyesha Dhahabu hiyo Inasafririshwaje! Who cares inavyosafirishwa huko Japani. Kwa akili na Nadharia ni Kuwa alitaka Kuwahadaa kwa Wale wasiojua Density ya dhahabu ikoje, Alitaka Kudanganya Kuwa Dhahabu hiyo inajaza Malori mawilli na pickups! Key word "Inajaza" Mtazungusha maneno Mpaka kesho Video Iko wazi Magufuli alisema, Dhahabu hiyo ni Malori mawili na Pickup pamoja na Kivokswagon vyote vikiwa vimejaa, "DHAHABU TUPU" Ule ulikuwa ni Uwongo! Period!
You are openly lying and concorting imaginary hypothesis for reasons only known to yourself. On this, you leave no doubt in one's mind that you are led by vested interests or pure hatred towards a certain group, people or person.
 
Nikupe mfano mdogo:-
Ukikitaja 'kipara' cha mzee mkapa katikati ya mazungumzo inaweza kuwa tusi ikiwa kuna mvutano wa hoja, lakini vinginevyo inakuwa ni sifa kuuuuubwa ya usomi.

(Tuko pamoja mkuu wala hatubishani)
Ok sir.
 
The hell dhumuni lake halikuwa Kuonyesha Dhahabu hiyo Inasafririshwaje! Who cares inavyosafirishwa huko Japani. Kwa akili na Nadharia ni Kuwa alitaka Kuwahadaa kwa Wale wasiojua Density ya dhahabu ikoje, Alitaka Kudanganya Kuwa Dhahabu hiyo inajaza Malori mawilli na pickups! Key word "Inajaza" Mtazungusha maneno Mpaka kesho Video Iko wazi Magufuli alisema, Dhahabu hiyo ni Malori mawili na Pickup pamoja na Kivokswagon vyote vikiwa vimejaa, "DHAHABU TUPU" Ule ulikuwa ni Uwongo! Period!
You are openly lying for reasons best known to yourself. However, you leave no doubt in one's mind that you are led by vested interest or pure hatred towards a certain group of people or person.
 
Haya mengine matuchanganya hasa wananchi wale waliosoma kwa shule zileee za bwana yuleee

Wakati mkuu anasema malori mawili na pick up unafkiri wananchi hasa waliokimbia hesabu wanafkiria nini
Pengine mkuu alitaka kick kisiasa kwa kutumia advantage ya uelewa wa wanchi wake maana naogopa kesi ya uchochezi kusema mkuu kila kitu kwake ni siasa
 
Alisema anajiita Prof kumbe ni Doctor.

Mkulu yeye ni PhD holder ya Chemistry toka UDSM!
Sielewi ni vipi ameshindwa kutofautisha Density of Gold and other metals ndani ya Makinikia au Makinika(yaani kuwa Makini) kwenye hizo containers!
Yaani inachekesha kama Rais tena mtaalamu wa Kemia anashindwa kutofautisha ujazo na uzito wa Dhahabu kwa Tani na kulinganisha na Fuso 2 na P/up 1 kana kwamba umebeba tenga za Kebichi na nyanya!!!!
Naanza kuona kwa nini Ben Saanane hatunsye leo baada ya kuhoji uhalali wa PhD ya mkulu!!!!
So sad to speak! Mungu aturehemu.
 
Hamkulazimishwa na hao wazungu Kusaini amikataba, Mlijiona Wajanja sana Mlivyokuwa Mkisaini Ninyi CCM na Magufuli Mnafiki Mkubwa akiwepo kama Mbunge wa Chato na Waziri Wabunge wote wa CCM akiwemo Magufuli Mliiuza Nchi kwa Kikapu cha Mkono, sasa Mnajidai wakombozi? Si Mliposhauriwa na Chadema Mliwazomea na Kuwaambia Watasoma Namba! Mafisi Ninyi Bebeni Msalaba wenu Mliouchonga wenyewe! Magufuli Wakati mikataba hii inapitishwa na Wabunge wa CCM wakati wa Mkapa Alikuwepo kama Mbunge! Wakati wa Kikwete alikuwepo leo hii anaita wengine ati Stupid! What the hell did he do back then! Bora waketi nao haya Makampuni wawaombe Waweke Mikataba mipya ambayo iko fair, kuwaonyesha Makampuni ya Marekani Utemi Magufuli ataumia! Na nchi itaumia sana. Kwani wanayo Mikataba! Hii yote ni kwa Sababu ya Mijambazi mipiga Makofi ya CCM!

Sasa ndio umeandika nini hapa?? Hata mgonjwa wa kipindu pindu hawezi kuharisha namna hii.
 
Sasa ndio umeandika nini hapa?? Hata mgonjwa wa kipindu pindu hawezi kuharisha namna hii.

Mwanamalundi,
This is a sukuma name! Sasa usitake kuonyesha UKABILA wa kichizi kumtetea mkulu kwa vile mnatoka kumoja! Just call a spade a spade and not a big spoon!
Anachoongea TL Marandu ni ukweli mchungu! Mikataba yote ya madini Magufuli alikuwa Mbunge wa Chato na Waziri kwenye Serikali Awamu ya 3 ambako Mikataba yote ya madini ilisainiwa!
Hivo anachofanya Magufuli kwa sasa ni maigizo ya Kisiasa nothing else!
 
Mkuu uko sawa. Nakubaliana na hoja yako. Tatizo ni pale mtu anapokuja na lugha ya kashfa na matusi. Dawa yake ni kumjibu hivyo hivyo, kwa lugha kali ili apate ladha ya lugha chafu anayotumia katika jukwaa letu tukufu. Mfundishe jinsi ya kuandika hoja badala ya viroja. Otherwise, I respect you so much my learned brother.
 
Back
Top Bottom