Kwani Sumaye siyo Chadema, Akina Mtei siyo chadema, Lowassa siyo chadema. Mbona unakuwa kama mwehu vile?Mikataba ya madini walisaini chadema,? Bado Mikataba ya gas mmefisadi nchi, mmepitisha kwa hati ya dharura, adui WA nchi hii ni ccm na vibaraka wake,
Kwani Sumaye siyo Chadema, Akina Mtei siyo chadema, Lowassa siyo chadema. Mbona unakuwa kama mwehu vile?
Kazi uliyojipa haitakulipa? Kwa sababu huna ujualo, umekuja kutafuta nafasi ya kuonekana na Wana lumumba pole sana, nikupe namba ya makonda labda, ila hapa unabwabwaja hujui lolote,Kwani Sumaye siyo Chadema, Akina Mtei siyo chadema, Lowassa siyo chadema. Mbona unakuwa kama mwehu vile?
Kwa upumbavu wako unadhani Dhahabu inakuwa ni block moja kubwaaa kwa pamoja. Ndio ufinyu wako umeishia hapo.Tani moja ya Manyoya Inajaza Malori Mangapi? Na Tani moja ya mawe hajazi hata lori moja! Again sikiliza mara mbili elewa kabla ya kuropoka!
Huna point wewe. Hujui chochote wewe ni bendera tu, fuata upepo. Leo mbowe akisema ujikate kidole waweza kujikata.Kazi uliyojipa haitakulipa? Kwa sababu huna ujualo, umekuja kutafuta nafasi ya kuonekana na Wana lumumba pole sana, nikupe namba ya makonda labda, ila hapa unabwabwaja hujui lolote,
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.
Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)
Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.
Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.
Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.
Ndio maana hata hao ACACIA wanashangaa hiyo ripoti.
Nyie watu inaonekana mnafikiri kwa kutumia makalio, hii tume Kazi yake ni kuchambua kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia , kwa maana nyingine ni tume ya majiologist au kwa Kiswahili wataalamu wa miamba. Tusubiri hiyo tume ya wanasheria na wachumi ndio itakuja na hesabu mnayotaka na mikataba tuliyoingia na hayo makampuni. Haya ni ya utangulizi tu, sababu kupinga kila zuri linalofanywa mkiambiwa ni nyumbu mnalialia.
Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.
Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)
Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.
Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.
Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.
Sisi tunaojua, tukiona mtu anatoa majibu haya tunajua huyo tayari kafika mwisho wa reli yake. PoleKwani mkuu ni wewe ndio ulikuwa unasoma ile ripoti jana!!!?
Naona kama akili yako ina matege vile!!! Wasiliana na ccbrt usikute hata matege ya akili wanayamudu kama ya miguu.
Hizo lawama zako zipeleke kwa mh rais aliye toa hizo data.Kwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.
Ambalo wamelisahau ni Density ya Dhahabu, Dhahabu ina Density ya 19,320 Kg/M³ hii ina maana Mita moja ya Ujazo wa Dhahabu ni Tani 19.32 sasa hii ni zaidi ya Tani hizo 15. Ukweli ni kuwa ingawa utahitaji Lori la Tani angalau 20 kubeba Tani 15 za Dhahabu, ujazo wake ni kama Pipa moja tu la maji. (Less than 1 M³)
Pia Nipashe wamejaribu Kuchanganua Tsh, Trilioni 294 ambazo Kwa Miaka 17 dhahabu kusafirishwa nje zingepatikana.
Hata Kama Kweli kulikuwa na Dhahabu ya Kiasi hicho, Hapo kuna Gharama za Usafishaji, Nishati Usafirishaji nk. Na kisha baada ya grarama zote kuondolewa ndipo kuna kiasi Kinabakia, hicho ndicho Kinalipiwa Kodi, Kodi ambayo Kwa Mbwewe CCM waliwasamehe. Kinachobaki ni Royalty na sijui ilikuwa ni asilimia 7 au 2 sasa Hizo Trilion 294 Ambazo wanawahadaa nazo Watanzania Ziko wapi. Wow ingekuwa hata Hiyo dhahabu inachimbwa na Migodi ya Umma na 100% ya dhahabu Tunaipata na Kuuza Sisi wenyewe bado Kungekuwepo na gharama ya Mishahara, Nishati, Usafirishaji Uwakala wa amasoko etc. Bado tusingepata hicho kinachoitwa Trillion 294. Iweje Upigie Mahesabu ya aina hii kwa Migodi Binafsi.
Au Watuambie hizo Trillion 294 ni 7% tu ya Royalty! Wow Itakuwa Tanzania kuna dhahabu Kuliko Mchanga wa Bahari basi.
Kama ni kweli au uongo basi atakuwa kadanganywa mwenye nchiNdio maana hata hao ACACIA wanashangaa hiyo ripoti.
..Hapo chacha, tena mtukufu yeye alisema hizo tani 15 zinabebwa na malori mawili ya tani 7 na pick up moja.Kizunguzungu mtindo mmoja.
Phd holder ndio alituambia hivyo!!!!
Halafu yeye anawashangaa wenzie eti ni maprofessor gani!!😀😀
Yeye anazungumzia UBEBAJIanahisi mmeingizwa chaka na mnashangilia! dhahabu nyingi kiasi hicho! hebu muwe mnafanya kajiutafiti kabla ya kushangilia basi!
Walioharibu ndio hao wanajisahihisha au nalo hilo ni kosa UZALENDO KWANZAMlipaswa kuwa Wazalendo mlipokowa Mnasaini Mikataba huku mkituzomea "wembe ni Ule ule" Nani aliyesaini Miswada hii ya Madini sio ninyi washenzi mnaojifanya kulia leo?
Hata ingekuwa, bado ni wizi tu na wahusika wanyongwe kabisaKwenye Gazeti La Nipashe leo ambalo link naiweka Wamedai kuwa Dhahabu inayokuwa kwenye Makontainer 227 ni Takriban Tani 15 Za Dhahabu. Na kwa Mbwembe nyingi wakasema kuwa Kiasi hicho cha dhahabu kinajaza Malori ya Fuso Mawili na Pickup Moja.