Gazeti la Mzalendo: Prof. Mbwiliza, gwiji wa historia ya siasa amlilia Rawlings lakini ameshindwa kulilia demokraisia, haki na maendeleo ya Watanzania

Ujasiri wa wasomi wetu uliishia awamu ya 4. Namkumbuka Prof. Mbwiliza akiwa mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma alikataa kumdhamini Kikwete kuwa Rais huku wakihudumu wizara moja kipindi hicho akamdhamini Salim A. Salim.

Alidai kuwa JK hafai kuwa Rais wa nchi. Alipopata Urais baadae ndio bifu yao ilipoanza akatupwa nje ya system akarudi kufundisha na kufanya tafiti za kisiasa.
Ndio maana Rais wa Kenya akataka nchi jirani nayo ziwe na siasa zisizo za chuki!
 
Back
Top Bottom